Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Wewe umepangiwa zamu ya kuchambua mchele na mkeo? Yeye BM kapangiwa tena na mwanamke ambaye siyo wake ila anaishi nae na hapigi maneno! Ila analipiwa kodi tu na kupush ndinga kali kali za mzee [emoji1]
Nimeangali profile yako, umejiunga 2011.
Inaonyesha wewe ni lizee lillilokosa busara, mlevi mavi, huna akili, una hoja za kiboyo.

Inaelekea unachambia majani mjinga mkubwa wewe.

Achana na kijana wa watu, stori iwe ya kutunga au ya kweli inakuuma nini?

Nani alikwambia stori lazima iwe ya kweli hapa jf?
Kisichokufaa wewe kinawafaa wengine.
Una ufalla mwingi nashangaa umeachwa unatamba hapa.
Nitaenda nawe bapa to bapa firauni mkubwa wewe
 
Moderator
Maxence Melo
Kuna wakati mnakosea sana kwa kuwaachia watu aina ya Hossam kudhalilisha wasimuliaji wanaojitoa kuburudisha na kuleta mvuto wa watu kuingia jf.
Ufike wakati muwalinde wadau wenu wanaoendeleza uhai wa jf.

Mnaachaje watu wanashambuliwa bila sababu wala ushahidi?

Utafika wakati watu wataogopa kuanzisha stori kwa ujinga huu mnaouruhusu.
Stori nyingi zinaishia njiani kwasababu mnaruhusu watu kushambuliwa bila sababu.

Ukosoaji ni mzuri huongeza umakini lakini huu anaoufanya Hossam ni udhalilishaji.

Je mnasubiri tuvutane mje kutupiga BAN?

CHUKUENI HATUA MAPEMA

Invisible
Maxence Melo
Moderator
 
Moderator
Maxence Melo
Kuna wakati mnakosea sana kwa kuwaachia watu aina ya Hossam kudhalilisha wasimuliaji wanaojitoa kuburudisha na kule mvuto watu kuingia jf.
Ufike wakati muwalinde wadau wenu wanaoendeleza uhai wa jf.

Mnaachaje watu wanashambuliwa bila sababu wala ushahidi?

Utafika wakati watu wataohopa kuanzisha stori kwa ujinga huu mnaouruhusu.
Stori nyingi zinaishia njiani kwasababu mnaruhusu watu kushambuliwa bila sababu.

Ukosoaji ni mzuri huongeza umakini lakini huu anaoufanya Hossam ni udhalilishaji.

Je mnasubiri tuvutane mje kutupiga BAN?

CHUKUENI HATUA MAPEMA

Invisible
Maxence Melo
Moderator
Umemaliza?
 
Hata sisi walaji wa huduma za wasimuliaji tunahaki ya kuhoji huduma mbovu wewe wacha woga! Kila nilichoandika ni yeye BM ndiyo alisimulia. Unashoboka na lugha yangu au presentation hujapenda? Wacha hizo maneno jaribu kuwa critic. Wewe Ontario hakukupiga hela? Juzi huyu BM hakuomba hela? Sasa wapi nimemdhalilisha? Unajua kudhalilishwa wewe?

Yeye alisema kalipiwa geto na binti, mimi nikirudia hilo ndiyo wewe unaona namdhalilisha? Wacha ushamba!
 
Wewe huhoji umeenda mbali zaidi, unamtusi na kumdhalilisha BM X6
Ukosoaji mzuri sio lazima umdhalilishe mtu?

Mkosoe bila udhalilishaji hii inakubalika.

Usitufanye wote hatuna akili kama wewe
 
Tunga yako sasa kama ni rahisi uwazavyo...? Unakaza fuvu tupe hadithi ya kutoka katika utashi wako.
 
Tunga yako sasa kama ni rahisi uwazavyo...? Unakaza fuvu tupe hadithi ya kutoka katika utashi wako.
Wastage of time! Nenda bungeni kagonge meza kila hoja bila kuhoji kama wanavyofanya wenye mtazamo wako. Lazima ujifunze kuhoji kwa namna mbalimbali kijana!
 
Wewe huhoji umeenda mbali zaidi, unamtusi na kumdhalilisha BM X6
Ukosoaji mzuri sio lazima umdhalilishe mtu?

Mkosoe bila udhalilishaji hii inakubalika.

Usitufanye wote hatuna akili kama wewe
Nionyeshe hilo tusi!
 
Lazima ujibiwe kulinga na kiwango cha upumbaf wako.
Ukichekewa utatuona wote mafalla kama wewe.
Niko tayari wani ban lakini sio kuacha udhalilishaji huu usio na sababu
Nina shaka na uelewa wako. Mkuu naona unaumiza sana shingo
 
Mkuu kwa replies zako humu unaonekana kabisa unapiga gambe[emoji28][emoji28][emoji28] tena sio vibia hivi vya watoto ila ni vitu konki...

Uko wapi Mkuu leo tukapige hata black & white moja tupate experience ya maisha kidogo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Najua kabisa nikinunua b&w moja lazima uitishe vant kwa meza[emoji3][emoji3]

Anyway leo uzi uko hot sana bado kijana wangu wegero kwetu na mwenzie Chizi Maarifa hawajatia timu humu
Uzi wa kibwege huu. Siku hizi Dar tumebaki wanaume wachache sana. Wengi wavulana na waliogeuzwa jinsia.
 
Back
Top Bottom