BM X6
JF-Expert Member
- Nov 24, 2020
- 1,376
- 4,222
- Thread starter
- #2,901
Wale jamaa Pesa yao huwa wanaitoa kwa mwezi, Kila mwisho wa mwezi Accountant anawatumia Invoice, so nina uhakika watakuwa wameiweka kwenye mahesabu ila Mimi kama Mimi hawajanidai kwakweliAnhaa hapo sawa mkuu
Na ile Kampuni uliwalipa 10m ambayo ni thamani ya mzigo
Vipi kuhusu transportation fees hawakudai fidia pia? Au ilijumuishwa humo humo kwenye hela uliyolipa