Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Mkuu, Caryn hana ubaya hata kidogo, Nakumbuka aliniambia If you claim to love someone you don't stop loving them even when their decision is not in your favor

Kwahiyo maisha yanaendelea tu kama hakijatokea kitu
Muombe Caryn ukasimamie kwenye duka lake lile ili ujipange uone utafanya nini baadae.
 
Huu uzi ni upuuzi tu. Anyway BM hakuna msala mpya tukupe hela ukalipe? Nina shida though, eti unalala nyumba moja na binti halafu bilabila . Una tatizo! Mara oohh demu wangu haji pasaka mara oohh nilikwenda Mwanza ila sikuonana nae, ujinga tu. Anyway lete upuuzi zaidi maana wengi humu ni aina yako
Sasa wewe unafanya nini hapa?si uende kwa watu wa aina yako?
 
Tatizo limeanza baada ya Mzee kujua unaishi na mwanae, ulikiuka kanuni za biashara na kazi. Mapenzi na Kazi.

Hakuna kubahatisha eti utakaa na mwanamke bila kuchakata nyapu yake.

Wewe na caryin ndio mnajua hamfanyani. Wengine wanaamini kanuni ya ' N & S pole'

Ushaur wangu..jitahidi ukae mbali na caryin , mzee hatashindwa kukuua. Stay far away, na utafute kibarua kingine... Sisi tuliosoma Cuba tunaiona kwa rangi hiyo
 
Nyamongo sehemu gani?

Kwinogo, Magena, Nyangoto, Kerende, Nyabichune, mjini kati, Boom Gate, Nyamikoma, Nyabirama, Kiribo, Komasebe, Gesegereri, Nyabuchichibhu?

Wapi mkuu?
Me nakaa kwinogo Kitongoji Kemambo.
Msalimie mzee Sasi hapo, ex military man[emoji23][emoji23]
 
Tatizo limeanza baada ya Mzee kujua unaishi na mwanae, ulikiuka kanuni za biashara na kazi. Mapenzi na Kazi.

Hakuna kubahatisha eti utakaa na mwanamke bila kuchakata nyapu yake.

Wewe na caryin ndio mnajua hamfanyani. Wengine wanaamini kanuni ya ' N & S pole'

Ushaur wangu..jitahidi ukae mbali na caryin , mzee hatashindwa kukuua. Stay far away, na utafute kibarua kingine... Sisi tuliosoma Cuba tunaiona kwa rangi hiyo
Mzee amuue Bm kwa sababu zipi mkuu
 
Tuseme hii ndo "mkataa pema pabaya panamuita" ama!!
Hizo chance ulizo zigeuzia kisogo duuh!!

Ila nafkir kama ni somo umelielewa vizuri, naamn hayatajirudia aya yakupotezea fursa ili umridhishe mtu, ona yeye alivo serious na kaz yake amekuwajbisha mara ya pili sasa pengine na zaid.
 
Kumuua si angemuua opportunist, usimtishe msela b'n
 
Kosa ulilofanya mwanetu bm ni kuruhusu kuongozwa na carren hata nje ya kazi...! Siku zote wanaume ndio tumepewa jukumu la kuwaongoza hao viumbe, ukienda kinyume lazima likukute jambo. Usimwendekeze tena huyo mrembo, ishi nae kiume kama mwanaume...!
 
Tuseme hii ndo "mkataa pema pabaya panamuita" ama!!
Hizo chance ulizo zigeuzia kisogo duuh!!

Ila nafkir kama ni somo umelielewa vizuri, naamn hayatajirudia aya yakupotezea fursa ili umridhishe mtu, ona yeye alivo serious na kaz yake amekuwajbisha mara ya pili sasa pengine na zaid.
Watu ambao wanaokuwaga serious sana kwenye jambo fulani , pia huwa hawako makini kwenye hisia za watu wengine...huwa hawajali wengine, sio makini kwa kusense wengine watajiskiaje....kakukataza kwenda china as if kakuandalia kitu cha maana sana hapo ulipo, ila ndio unafukuzwa kazi hata hastuki

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Bm kwa upande wangu nawaza hivi kipindi umeibiwa huo mzigo ungejipenyeza bandarani kwa mtoto mmoja wa mjini umpe kaka tenda /oda unahitaji mzigo kama huo na utamtoa vizuri fasta ungeupata mzigo wako
 
Hili suala ni zito Sana bwana BM, Mzee kugundua unaishi na mwanae, ni kosa kubwa mno Kwa uaminifu wake kwako.

Ulifanya kosa kubwa Sana kumkalibisha huyo msichana kwako, hakukuwepo na ulazima wa yeye kuja kuishi na haimake sence kabisa.

Kwa Mzee uaminifu umeshuka kwasasa, japokuwa ana matumaini makubwa na wewe kwakujua kuwa umekengeuka tu labda tuseme ujana ndio umekutawala, lakini hii isikuvunje moyo.

Nikushauri, kitu mtoe hapo kwako huyo binti na hakikisha unaanza rasmi kutafuta kibarua kingine.

Wewe ni Bora sana, Mzee atakuita siku moja.
 
Tuseme hii ndo "mkataa pema pabaya panamuita" ama!!
Hizo chance ulizo zigeuzia kisogo duuh!!

Ila nafkir kama ni somo umelielewa vizuri, naamn hayatajirudia aya yakupotezea fursa ili umridhishe mtu, ona yeye alivo serious na kaz yake amekuwajbisha mara ya pili sasa pengine na zaid.
Mkuu sijafanya kumridhisha mtu, bali kuna makubaliano tuliafikiana ndio maana nikakataa kwenda hiyo safari ya China, ni vile tu sijasimulia ndio maana umejaji hivyo
 
Yaani tufanye kazi tuweke mipango, nikukaribishe tule chakula na familia za nje. Kumbe una mlawiti Caryn??

Hapo BM hajui anapimwa au laa, Mzee aliomba ashawishiwe akafanyie kazi Kwa Michele.

Mzee anamtegemea sana caryn
Duh! Sijaelewa hapo, kwamba nimemlawiti Caryn?
 
Tatizo limeanza baada ya Mzee kujua unaishi na mwanae, ulikiuka kanuni za biashara na kazi. Mapenzi na Kazi.

Hakuna kubahatisha eti utakaa na mwanamke bila kuchakata nyapu yake.

Wewe na caryin ndio mnajua hamfanyani. Wengine wanaamini kanuni ya ' N & S pole'

Ushaur wangu..jitahidi ukae mbali na caryin , mzee hatashindwa kukuua. Stay far away, na utafute kibarua kingine... Sisi tuliosoma Cuba tunaiona kwa rangi hiyo
Duh! Yule Mzee hana ubandidu huo asee, ila nitajaribu kuzingatia ushauri wako
 
Watu ambao wanaokuwaga serious sana kwenye jambo fulani , pia huwa hawako makini kwenye hisia za watu wengine...huwa hawajali wengine, sio makini kwa kusense wengine watajiskiaje....kakukataza kwenda china as if kakuandalia kitu cha maana sana hapo ulipo, ila ndio unafukuzwa kazi hata hastuki

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Yes, kuna kitu Cha maana tuliongea na niliona kina make sense
 
Back
Top Bottom