Wale jamaa Pesa yao huwa wanaitoa kwa mwezi, Kila mwisho wa mwezi Accountant anawatumia Invoice, so nina uhakika watakuwa wameiweka kwenye mahesabu ila Mimi kama Mimi hawajanidai kwakweliAnhaa hapo sawa mkuu
Na ile Kampuni uliwalipa 10m ambayo ni thamani ya mzigo
Vipi kuhusu transportation fees hawakudai fidia pia? Au ilijumuishwa humo humo kwenye hela uliyolipa
Ahahah, kwamba Mzee anataka wajukuu, Dah! Kama ni kuwaza umewazia mbali sanahivi kweli kosa moja du hapa kuna namna wanakuchezea possible ofisi yako na kampuni ya huo mzigo lao moja kama umelipa kwa nini kampuni ishinikize ,na huenda huu ni mchezo wa mzée mwenye huenda kathibitisha kwa binti yake caylin kuwa pamoja na kulala eoom moja zanziba na bado kaja mwenyewe kuishi kwako bado bila bila mzee kaona huenda wewe kuna shida sehemu, mzee anahitaji wajukuu nawe unazuga please yaaani kifuoi napata kuwaza sana
Mkuu, Caryn hana ubaya hata kidogo, Nakumbuka aliniambia If you claim to love someone you don't stop loving them even when their decision is not in your favorsasa upo home huyo Carlyin akirudi home jioni anakuongeresha nini?? je Anaku suport kwa lolote?? na vipi mambo ya msosi anawahi kupika au ni vipi
Nyamongo sehemu gani?Mkuu mm nipo kwa Wakurya huku Mkoa wa Mara, Tarime sehemu moja inaitwa Nyamongo...Karibu tupate kichuli
Anhaa nimekupataaWale jamaa Pesa yao huwa wanaitoa kwa mwezi, Kila mwisho wa mwezi Accountant anawatumia Invoice, so nina uhakika watakuwa wameiweka kwenye mahesabu ila Mimi kama Mimi hawajanidai kwakweli
Kuna jamaa ndio anaenda na Opportunist, huyo jamaa hii ni mara ya pili Sasa Caryn kumtumia, lakini hajamuajiriAnhaa nimekupataa
Nakumbuka Caryn alikwambia no one has got your back like she does
Kwahyo saivi Opportunist ndo Anatimba Zenji mwenyewe au kuna mtu wamemuweka
Pole kwa majanga BM kipindi hiki ulivyo simamishwa vuta kumbukumbu kwa utulivu uone makosa yalifanyika wapi.Duh[emoji1544] mnanisaidia kuwaza vitu ambavyo hata sikufikiria kuviwaza, all in all chochote kinawezekana
Sasa huku unafuata nini? Hebu tuache bwanaSana. Nenda Intelligence soma uzi wa "Tarehe 18 May 1985" uone mwamba anavyokoga nyoyo! Kashusha nondo ushindwe wewe tu.
Huyu kijana na mwenzie wa Buguruni na hatma yao anatia huruma tu, anatumia nguvu sana kuunga unga story ya kubuni isiyo na maana kabisa.
Nadhani mods waweke utaratibu wa vihatarishi bvya utapeli wa mtandao ambao huyu kijana nahisi anaelekea huko yeye na genge lake.
Sidhani kama Caryn atakubali.Wacha tuone kama Michelle ataendelea na msimamo wake wa kukuhitaji ukafanye kazi kwake.
Kumbuka aliwahi kuonya kuhusu kuchanganya mapenzi na kazi. Japo wakati huo alimzungumzia michelle.. lkn pia ameshaamini beyond reasonable doubts kua ww una mahusiano na mwanae Carryn, na ndio sababu ya ww kukataa kwenda china. Hakutaka tu kukuambia kua amepunguza umuhimu wako kwake baada ya kugundua unaishi na mwanae. Ameamua atoe role moja ili kusiwe na muingiliano wa kimaslahi na kuharibu kazi.Duh[emoji1544] mnanisaidia kuwaza vitu ambavyo hata sikufikiria kuviwaza, all in all chochote kinawezekana
Nakufahamu bro.Ati?
Kwenye hili la Michelle kumtaka BM kwe kampuni yake ndo na Mimi Sasa naamini kuwa inawezekana Mzee anahusika na kupotea kwa mzigo maana nakumbuka Michelle alisema Mzee ndo amemshauri akaongee na BM Ili awe dereva wakeWacha tuone kama Michelle ataendelea na msimamo wake wa kukuhitaji ukafanye kazi kwake.
Shukrani Mkuu [emoji1545]Pole kwa majanga BM kipindi hiki ulivyo simamishwa vuta kumbukumbu kwa utulivu uone makosa yalifanyika wapi.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app