Muombe Caryn ukasimamie kwenye duka lake lile ili ujipange uone utafanya nini baadae.Mkuu, Caryn hana ubaya hata kidogo, Nakumbuka aliniambia If you claim to love someone you don't stop loving them even when their decision is not in your favor
Kwahiyo maisha yanaendelea tu kama hakijatokea kitu
Sasa wewe unafanya nini hapa?si uende kwa watu wa aina yako?Huu uzi ni upuuzi tu. Anyway BM hakuna msala mpya tukupe hela ukalipe? Nina shida though, eti unalala nyumba moja na binti halafu bilabila . Una tatizo! Mara oohh demu wangu haji pasaka mara oohh nilikwenda Mwanza ila sikuonana nae, ujinga tu. Anyway lete upuuzi zaidi maana wengi humu ni aina yako
Huu ndio utu uzimaTawile mkuu!
Msalimie mzee Sasi hapo, ex military man[emoji23][emoji23]Nyamongo sehemu gani?
Kwinogo, Magena, Nyangoto, Kerende, Nyabichune, mjini kati, Boom Gate, Nyamikoma, Nyabirama, Kiribo, Komasebe, Gesegereri, Nyabuchichibhu?
Wapi mkuu?
Me nakaa kwinogo Kitongoji Kemambo.
Mzee amuue Bm kwa sababu zipi mkuuTatizo limeanza baada ya Mzee kujua unaishi na mwanae, ulikiuka kanuni za biashara na kazi. Mapenzi na Kazi.
Hakuna kubahatisha eti utakaa na mwanamke bila kuchakata nyapu yake.
Wewe na caryin ndio mnajua hamfanyani. Wengine wanaamini kanuni ya ' N & S pole'
Ushaur wangu..jitahidi ukae mbali na caryin , mzee hatashindwa kukuua. Stay far away, na utafute kibarua kingine... Sisi tuliosoma Cuba tunaiona kwa rangi hiyo
Yaani tufanye kazi tuweke mipango, nikukaribishe tule chakula na familia za nje. Kumbe una mlawiti Caryn??Mzee amuue Bm kwa sababu zipi mkuu
Kumuua si angemuua opportunist, usimtishe msela b'nTatizo limeanza baada ya Mzee kujua unaishi na mwanae, ulikiuka kanuni za biashara na kazi. Mapenzi na Kazi.
Hakuna kubahatisha eti utakaa na mwanamke bila kuchakata nyapu yake.
Wewe na caryin ndio mnajua hamfanyani. Wengine wanaamini kanuni ya ' N & S pole'
Ushaur wangu..jitahidi ukae mbali na caryin , mzee hatashindwa kukuua. Stay far away, na utafute kibarua kingine... Sisi tuliosoma Cuba tunaiona kwa rangi hiyo
Watu ambao wanaokuwaga serious sana kwenye jambo fulani , pia huwa hawako makini kwenye hisia za watu wengine...huwa hawajali wengine, sio makini kwa kusense wengine watajiskiaje....kakukataza kwenda china as if kakuandalia kitu cha maana sana hapo ulipo, ila ndio unafukuzwa kazi hata hastukiTuseme hii ndo "mkataa pema pabaya panamuita" ama!!
Hizo chance ulizo zigeuzia kisogo duuh!!
Ila nafkir kama ni somo umelielewa vizuri, naamn hayatajirudia aya yakupotezea fursa ili umridhishe mtu, ona yeye alivo serious na kaz yake amekuwajbisha mara ya pili sasa pengine na zaid.
[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]Sipo Mkuu
Kuna Jambo maybe sijaelewa HV ukipakiza mzigo bandarini na wewe ukichukua si kuna kuhakiki Kwa maana kama haupo wenye meli wakulipe na mzigo mkubwa hivyo umepotea wapSipo Mkuu
Mkuu sijafanya kumridhisha mtu, bali kuna makubaliano tuliafikiana ndio maana nikakataa kwenda hiyo safari ya China, ni vile tu sijasimulia ndio maana umejaji hivyoTuseme hii ndo "mkataa pema pabaya panamuita" ama!!
Hizo chance ulizo zigeuzia kisogo duuh!!
Ila nafkir kama ni somo umelielewa vizuri, naamn hayatajirudia aya yakupotezea fursa ili umridhishe mtu, ona yeye alivo serious na kaz yake amekuwajbisha mara ya pili sasa pengine na zaid.
Duh! Sijaelewa hapo, kwamba nimemlawiti Caryn?Yaani tufanye kazi tuweke mipango, nikukaribishe tule chakula na familia za nje. Kumbe una mlawiti Caryn??
Hapo BM hajui anapimwa au laa, Mzee aliomba ashawishiwe akafanyie kazi Kwa Michele.
Mzee anamtegemea sana caryn
Duh! Yule Mzee hana ubandidu huo asee, ila nitajaribu kuzingatia ushauri wakoTatizo limeanza baada ya Mzee kujua unaishi na mwanae, ulikiuka kanuni za biashara na kazi. Mapenzi na Kazi.
Hakuna kubahatisha eti utakaa na mwanamke bila kuchakata nyapu yake.
Wewe na caryin ndio mnajua hamfanyani. Wengine wanaamini kanuni ya ' N & S pole'
Ushaur wangu..jitahidi ukae mbali na caryin , mzee hatashindwa kukuua. Stay far away, na utafute kibarua kingine... Sisi tuliosoma Cuba tunaiona kwa rangi hiyo
Yes, kuna kitu Cha maana tuliongea na niliona kina make senseWatu ambao wanaokuwaga serious sana kwenye jambo fulani , pia huwa hawako makini kwenye hisia za watu wengine...huwa hawajali wengine, sio makini kwa kusense wengine watajiskiaje....kakukataza kwenda china as if kakuandalia kitu cha maana sana hapo ulipo, ila ndio unafukuzwa kazi hata hastuki
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app