Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Kama mambo yameanza kukaa sawa watu wanafurahi. Usione member tunashusha nondo kama tunakufokea ni kwamba wengi wanakuelewa pia sana sana wengi wanategemea maisha yako kushine sana mwamba. Sasa ukija kama ulivyokuja hapo juu kuharibikiwa, tena kote kote,watu wanaumia huenda zaidi ya wewe mchezaji.
(Mzee karudi nini?)

Ila mimi mambo yakirudi sawa. Naomba uwe upande wa mzee sana. Hizo nafasi anazokupa usizipotezee
 
Kabisa aache kabisa
 
Pamoja sana blaza [emoji1477]
 
Relax bro, muendelezo anytime...nasubiri imalizikie kunyesha nihakiki panapovuja
Nakutakia kheri naimani umepitia comments nyingi utakuwa umejifunza jambo , wewe ni mpambanaji sana naunaconnection imesimama , nakutakia baraka
 
Bwana BM X6, Katika maisha kuna mkanganyiko, ni kama grafu inavyopanda na kushuka, hii Hali uliipitia hata kipindi cha nyuma pale ulipoacha kazi na ukawa jobless. Unaona jinsi maisha yalivyokuwa magumu kwako? Enhee Hali ndio inavyokuwaga.

So tayari upo kwenye hali ya grafu kushuka na sasahivi ni wakati wa kuipandisha iwe mahala pake na pengine zaidi.

Brother fear a woman, mwanamke aliumbwa kuwa chini ya mwanaume kwahiyo wewe hebu mpe kisogo huyo Carlin kabisa hana msaada wowote kwako na wewe na katika mlolongo wako wa maisha Mzee ndio mlifahamiana kwahiyo ni mtu muhimu mno kwako.

Mzee akirejea hebu fanya uongee nae na kwasasa uwe bega kwa bega nayeye maana ulimfahamu kabla ya hawa akina Carlin na Dada yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…