Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Ubaya wa Connection (sijui ni kwangu tu au na wengine pia inawatokea) ni kwamba ukiwa na kazi ndio kazi zingine zinajileta, Sasa hivi nipo juu ya mawe sizioni tena zile Offer zilizokuwa zinakuja mbele yangu
Dah kwel bro sema piga moyo konde maana hata dhahabu hupita kwenye moto ndiy iwe na thaman.. [emoji124]
 
Jamaa anadhani kila anayekuja na story humu basi anashida na buku mbili mbili.

Mwambie mshkaji watu tunajitafuta kinamna nyingine

Mwambie asiwe na wasiwasi muendelezo ataupata hapa hapa hakuna Cha wasup Wala telegram

Mwambie mshkaji kuna wenzake ambao wanasoma huu Uzi wamenipa kilo za kutosha nawasafirishia mizigo yao na ninapata Commission yangu hivyo Sina haja na Buku tano yake

Mwambie mshkaji wenzake wanajifunza kupitia hii story na sio kuwaza ngono kama anavyowaza yeye

Mwambie mshkaji, anayetaka nimgonge ana thamani kubwa kuliko ngono

Mwambie mshkaji nguvu za kiume tunazo ila tuna mahala specific pa kuzitumia

Mwisho kabisa mwambie mshkaji asiwe na hofu leo leo atapata muendelezo, lakini najua katika huo muendelezo nitam disappoint kwasababu bado sijamgonga Caryn
MWAMBIE MSHIKAJI Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji850]
 
Aache ushamba. Hawa na mahadithi yao ya hovyo wanaanzaga hivi hivi. Tukiwakemea utasikia oohh silipwi, upuuzi tu. Mimi nimempa kitu clear kabisa kuwa naelewa anataka kupiga hela so afanye faster tumpe. Kwanza ukiangalia porojo zake hazina logic yaani episode na episode hazileti theme moja. Ni mjanja mjanja tu.

Unakumbuka Ontario alivurugika kichwa akaja humu na story ndefu za forex? Maelezo meeengi ila ujinga tu. Tukatoa tahadhari tukazomewa. Mwisho wa siku waulize wazee humu utapata feedback.

Huyu kijana wetu na mwenzie wa Buguruni na hatma yao kaja kivingine. Kwanza mshapigwa michango najua, na sasa subirini. Tatizo wengi wanavutiwa na porojo za mabinti bila kujua huo ndio mtego wake. Wenye akili tushajua mapema tu.
kaka tuache tu tupigwe au tuendelee kudanganywa wngine hapa ndo sehemu ya kujifunza vitu sio pa kuggombana
 
hivi kweli kosa moja du hapa kuna namna wanakuchezea possible ofisi yako na kampuni ya huo mzigo lao moja kama umelipa kwa nini kampuni ishinikize ,na huenda huu ni mchezo wa mzée mwenye huenda kathibitisha kwa binti yake caylin kuwa pamoja na kulala eoom moja zanziba na bado kaja mwenyewe kuishi kwako bado bila bila mzee kaona huenda wewe kuna shida sehemu, mzee anahitaji wajukuu nawe unazuga please yaaani kifuoi napata kuwaza sana
Mi nahisi Mzee kaicheza hii ili aone Caren atachukua uamuzi gani au pia na Caren mwenyewe anajua mchezo mzima ila wanataka kumpima kijana, kumbuka mara ya mwisho mzee alimwambia kijana alisikitika kijana alivyoacha kazi halafu hakumjulisha sasa anataka kuona na hili hatamwambia? Kitu kingine inawezekana mzee alikasirika baada ya kijana kumktalia kwenda China na pengine anajua kabisa amekataa kwa ajili ya Caren ingawa yeye alitoa sababu nyingine
 
Mkuu BM nafikiri hapo nimeelewa sasa. Unapoteza muda kujiweka kwa mtu asie na umuhimu kwako Caryn.
Nafikiri bora uende sambamba na mzee tu,achana kumsikilizia huyo binti.
Kwanza alikufanya ukaachana na Acauntant,na ukaacha na nafasi ya wazi aliyokuandalia Accountant.
Maana mpaka sasa ungekuwa ndio boss wa hapo. Angalau hata ungekuwa na maamuzi yako mpaka sasa. Ungemsikiliza tu yeye halafu usitekeleze anachohitaji. Mbona kwa Caryn unamfuata anachotaka,japo nia yake Caryn anakuandaa uwe wake,japo sina uhakika wewe uko tayari,japo nimehisi na wewe unajaribu kuzitengeneza hisia zako kwa Caryn.

Pili alikuambia uache kazi ukamsikiliza bila hata kumshirikisha mzee hilo swala ksbb ya Caryn. Lakini limekuletea shida kwa mtu ambaye ni muhimu kwako kuliko yoyote (mzee).

Tatu. Kakakudanganya kaje kulala kwako. Hata wewe bila kuwa wazi kwa mzee. Kama ulivyoanza na mzee na kumuelewa misimamo ya mzee. Ungeendekea kuwa upande wa mzee. Vinginevyo ungekataa kabisa,ungemhofu kum-disapoint mzee. Kumbuka pamoja na kwamba Caryn ni mtu mzima ana maamuzi yake,lakini ni mtoto wa mzee. Mzee yoyote atatamani mtoto wake awe kwenye mahusiano au ndoa isiyo yumbishwa na upepo wowote. (Ndio maana akakuuliza wewe ulisema una mwenzi wako. Pia akauliza una mipango gani na Caryn?. Uwe makini anza kujisahihisha).

Nne. Huyo huyo Caryn bado amekudanganya usiende China na wewe ukamuelewa sijui alichokuahidi. Lakini bado hakakupi umuhimu wowote. Hapa usitegemee ya kubahatisha ya mbele,fanya ya sasa ya muhimu kwako bila kusubiri usichokijua mbele.

Nafikiri sasa japo unaweza ukawa umechelewa ama la. Fanya maamuzi nenda kwa mzee kamuombe msamaha kwa kum-disapoint. Mueleze mambo yote yalivyoenda. Usimueleze kila kitu Caryn alichokudanganya,ila mgusie nguvu ya Caryn ilivyochukua nafasi fulani ktk maamuzi yako. Usimwambie kila hatua ya jinsi Caryn alivyocheza huo mchezo,ksbb mzee atakuona mzembe.

Pili chagua kuendelea kukaza kwa mzee huku ukimtarajia Caryn,japo huko iko wazi mpaka sasa ujue utachelewa sana. Na usipomuoa ndio ujue hutapata kabisa,msome.

Naona kabisa bado hujacheza vizuri huu mchezo. Umejiegesha kwa mtu anaetaka akutumie vile anavyotaka. Umechezea nafasi zote za mzee alizokuandalia.
 
Kumbuka aliwahi kuonya kuhusu kuchanganya mapenzi na kazi. Japo wakati huo alimzungumzia michelle.. lkn pia ameshaamini beyond reasonable doubts kua ww una mahusiano na mwanae Carryn, na ndio sababu ya ww kukataa kwenda china. Hakutaka tu kukuambia kua amepunguza umuhimu wako kwake baada ya kugundua unaishi na mwanae. Ameamua atoe role moja ili kusiwe na muingiliano wa kimaslahi na kuharibu kazi.

Sadly you are none of the above.

Natamani nikuambie cha kufanya lkn ngoja kwanza ni mute.

All the best BM X6

Ni mm mwanao wa damu huko rodini Land cruiser Prado.
Kabisa mzee amehisi tu umekataa kwenda China ksbb ya mwanae ili umle vizuri. Hakuna kingine awaza kwa nini ukatae nafasi ya China
 
Mwanangu umezingua sana hapo kwenye kumpiga sound careen
Basi tu namna ya njia aliyotumia kumpiga sound. Mbona Caryn alishajipiga mwenyewe sound ilikuwa ukitaka ni kumuangushaga tu. Mnapokoseaga vijana wa siku hizi ni hapo,unaanza kutengeneza mazingira seriously ya kumpiga sound. Wakati ktk hali waliyokuwa wanaendelea nayo ilikuwa simple sana mnajikuta tu imo bila hata sound moja. Ndicho alichotaka nae Caryn. Hizo sound tena ni kuyafanya mambo yawe ya kufikiria kwanza,magumu kuyaingia, makubwa kuyakabiri,kuyafanya yawe mazito,yawe serious.

Jinsi walivyokuwa hawa ukitaka kuna mambo kadhaa hapo ya kuyafanya,kwanza kuna tule tumichezo michezo ya hapa na pale huko ndani,yenyewe automatically yenyewe inajikuta imo hapo hamna ugumu. Pili mko mnapiga story umevaa bukta unausimamisha mzigo tu sana inatoka hatari. Hapo unatia na huruma na kujigeuza geuza kwenye kochi hapo,nae hawezi kuvumilia,maana ndio alichokifuata. Kuna namna nyingi tu inategemeana na mtu mwenyewe unamtengeneza vipi kuliwa.

Mwisho BM alishakula tayari huo. Sisi watu wazima na mzee tunajua kitambo
 
Back
Top Bottom