EMANUEL JOHN JOHN
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 502
- 461
Sema mze wangu ukipewa chance nyengine piga kazi,acha mazoea kwenye kazi# boss Hana rafiki.Mzee bado hajarudi ila niliongea nae kwa simu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema mze wangu ukipewa chance nyengine piga kazi,acha mazoea kwenye kazi# boss Hana rafiki.Mzee bado hajarudi ila niliongea nae kwa simu
Dah kwel bro sema piga moyo konde maana hata dhahabu hupita kwenye moto ndiy iwe na thaman.. [emoji124]Ubaya wa Connection (sijui ni kwangu tu au na wengine pia inawatokea) ni kwamba ukiwa na kazi ndio kazi zingine zinajileta, Sasa hivi nipo juu ya mawe sizioni tena zile Offer zilizokuwa zinakuja mbele yangu
Mkuu Bado haujanijibu uyo caryn Bado mnaishi nae nyumba moja iyo?[emoji1545]
MWAMBIE MSHIKAJI Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji850]Jamaa anadhani kila anayekuja na story humu basi anashida na buku mbili mbili.
Mwambie mshkaji watu tunajitafuta kinamna nyingine
Mwambie asiwe na wasiwasi muendelezo ataupata hapa hapa hakuna Cha wasup Wala telegram
Mwambie mshkaji kuna wenzake ambao wanasoma huu Uzi wamenipa kilo za kutosha nawasafirishia mizigo yao na ninapata Commission yangu hivyo Sina haja na Buku tano yake
Mwambie mshkaji wenzake wanajifunza kupitia hii story na sio kuwaza ngono kama anavyowaza yeye
Mwambie mshkaji, anayetaka nimgonge ana thamani kubwa kuliko ngono
Mwambie mshkaji nguvu za kiume tunazo ila tuna mahala specific pa kuzitumia
Mwisho kabisa mwambie mshkaji asiwe na hofu leo leo atapata muendelezo, lakini najua katika huo muendelezo nitam disappoint kwasababu bado sijamgonga Caryn
kaka tuache tu tupigwe au tuendelee kudanganywa wngine hapa ndo sehemu ya kujifunza vitu sio pa kuggombanaAache ushamba. Hawa na mahadithi yao ya hovyo wanaanzaga hivi hivi. Tukiwakemea utasikia oohh silipwi, upuuzi tu. Mimi nimempa kitu clear kabisa kuwa naelewa anataka kupiga hela so afanye faster tumpe. Kwanza ukiangalia porojo zake hazina logic yaani episode na episode hazileti theme moja. Ni mjanja mjanja tu.
Unakumbuka Ontario alivurugika kichwa akaja humu na story ndefu za forex? Maelezo meeengi ila ujinga tu. Tukatoa tahadhari tukazomewa. Mwisho wa siku waulize wazee humu utapata feedback.
Huyu kijana wetu na mwenzie wa Buguruni na hatma yao kaja kivingine. Kwanza mshapigwa michango najua, na sasa subirini. Tatizo wengi wanavutiwa na porojo za mabinti bila kujua huo ndio mtego wake. Wenye akili tushajua mapema tu.
Mwanangu umezingua sana hapo kwenye kumpiga sound careenHapana, ila anakujaga
Mi nahisi Mzee kaicheza hii ili aone Caren atachukua uamuzi gani au pia na Caren mwenyewe anajua mchezo mzima ila wanataka kumpima kijana, kumbuka mara ya mwisho mzee alimwambia kijana alisikitika kijana alivyoacha kazi halafu hakumjulisha sasa anataka kuona na hili hatamwambia? Kitu kingine inawezekana mzee alikasirika baada ya kijana kumktalia kwenda China na pengine anajua kabisa amekataa kwa ajili ya Caren ingawa yeye alitoa sababu nyinginehivi kweli kosa moja du hapa kuna namna wanakuchezea possible ofisi yako na kampuni ya huo mzigo lao moja kama umelipa kwa nini kampuni ishinikize ,na huenda huu ni mchezo wa mzée mwenye huenda kathibitisha kwa binti yake caylin kuwa pamoja na kulala eoom moja zanziba na bado kaja mwenyewe kuishi kwako bado bila bila mzee kaona huenda wewe kuna shida sehemu, mzee anahitaji wajukuu nawe unazuga please yaaani kifuoi napata kuwaza sana
Ni comment number 106Duh...hiyo comment yako unaweza kujua ipo namba ngapi? Kama inawezekana nitajie nirudi nikaisome
Mbona makosa ni mengi tu ya wazi. Soma hapo juu mkuuPole kwa majanga BM kipindi hiki ulivyo simamishwa vuta kumbukumbu kwa utulivu uone makosa yalifanyika wapi.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Apakue nini sasa hapo,hakuna cha kuendelea?. Halafu mtu yuko stressed bado mnamtaka aendelee?Bm x6 kumekucha tena macho yetu yapo kwa huu uzi wako tupakulie mapema tu
Kabisa mzee amehisi tu umekataa kwenda China ksbb ya mwanae ili umle vizuri. Hakuna kingine awaza kwa nini ukatae nafasi ya ChinaKumbuka aliwahi kuonya kuhusu kuchanganya mapenzi na kazi. Japo wakati huo alimzungumzia michelle.. lkn pia ameshaamini beyond reasonable doubts kua ww una mahusiano na mwanae Carryn, na ndio sababu ya ww kukataa kwenda china. Hakutaka tu kukuambia kua amepunguza umuhimu wako kwake baada ya kugundua unaishi na mwanae. Ameamua atoe role moja ili kusiwe na muingiliano wa kimaslahi na kuharibu kazi.
Sadly you are none of the above.
Natamani nikuambie cha kufanya lkn ngoja kwanza ni mute.
All the best BM X6
Ni mm mwanao wa damu huko rodini Land cruiser Prado.
Basi tu namna ya njia aliyotumia kumpiga sound. Mbona Caryn alishajipiga mwenyewe sound ilikuwa ukitaka ni kumuangushaga tu. Mnapokoseaga vijana wa siku hizi ni hapo,unaanza kutengeneza mazingira seriously ya kumpiga sound. Wakati ktk hali waliyokuwa wanaendelea nayo ilikuwa simple sana mnajikuta tu imo bila hata sound moja. Ndicho alichotaka nae Caryn. Hizo sound tena ni kuyafanya mambo yawe ya kufikiria kwanza,magumu kuyaingia, makubwa kuyakabiri,kuyafanya yawe mazito,yawe serious.Mwanangu umezingua sana hapo kwenye kumpiga sound careen
Kwahiyo ndiyo kusema Annie hana chake kwako, kama umeamua mtongoza carryTangu alivyoenda na Mchina hajarudi
Apakue nini sasa hapo,hakuna cha kuendelea?. Halafu mtu yuko stressed bado mnamtaka aendelee?
Tulia basiApakue nini sasa hapo,hakuna cha kuendelea?. Halafu mtu yuko stressed bado mnamtaka aendelee?