Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anytime bmAisee, naomba nitafute wasaa mzuri wa kuonana na wewe, una mengi ya kunieleza
Eniwei, Vote counted to Caryn
Utakuwa zouzou biddy🤣Bwana Bwana, mimi nipo 50/50 mwenzako
Kabla sijatoa kura yangu naomba ujibu swali hili.....je ushakula mzigo kwa Carryn?? Maana kuna mdau juu hapo cacoment umekula mzigo na hujabisha.kwamba una maanisha?
Najua unakoelekea, unataka ni confess sio?[emoji12]
You've said it all miss sijaona kosa la Annie na ukiangalia wanaomsapoti aende kwa Caryn wote ni wanaume.. Anadhani respect anayopata sasa kwa Ile familia ataipata tena akiwa son in law hajifunzi tu kwa yaliyomkuta opportunist 🤣🤣 unless atuambie hayupo seriousKama nakumbuka mwanzoni kabisa ulisema
Annie alikuwa na wewe kipindi huna kitu na aliwahi kukubustisha Enzi unasoma......mpaka sasa sijaona kosa ka Annie...ni either upendo umeisha au distance....as wanaume huwa hamuwezi kuvumilia umbali....unless Kuna issue umeficha kuhusu mahusiano yako na Annie....Familia ya Carren Ina nguvu sana ila hautaweza kuitawala kwasababu huna mabavu....utakuwa submissive kwao till your last breath...simaanishi Carren Ana akili kukuzidi ila she can twist you whatever she want...in short usiache mbachao kwa msala upitao
Akubali kupelekwa vile Familia inataka....akiambiwa kaa nyumbani anakaa njoo kazini huyooo anaenda [emoji3][emoji3]You've said it all miss sijaona kosa la Annie na ukiangalia wanaomsapoti aende kwa Caryn wote ni wanaume.. Anadhani respect anayopata sasa kwa Ile familia ataipata tena akiwa son in law hajifunzi tu kwa yaliyomkuta opportunist [emoji1787][emoji1787] unless atuambie hayupo serious
Kumbe ume notice hicho kitu, natafuta Wanawake waliopiga kura kwa Caryn, siwaoniYou've said it all miss sijaona kosa la Annie na ukiangalia wanaomsapoti aende kwa Caryn wote ni wanaume.. Anadhani respect anayopata sasa kwa Ile familia ataipata tena akiwa son in law hajifunzi tu kwa yaliyomkuta opportunist [emoji1787][emoji1787] unless atuambie hayupo serious
🤣🤣🤣 uwiii jamani nimecheka eti hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa CareenAkubali kupelekwa vile Familia inataka....akiambiwa kaa nyumbani anakaa njoo kazini huyooo anaenda [emoji3][emoji3]
Namshauri atumie akili sana hapa la sivyo atarudi na uzi mpya hatima ya maisha yangu ipo mikononi mwa careen[emoji2]
Dah, haya bhanaAkubali kupelekwa vile Familia inataka....akiambiwa kaa nyumbani anakaa njoo kazini huyooo anaenda [emoji3][emoji3]
Namshauri atumie akili sana hapa la sivyo atarudi na uzi mpya hatima ya maisha yangu ipo mikononi mwa careen[emoji2]
Kuna mchizi wangu flani hivi aliniambia namnukuu [emoji1484]Dah mimi sijui kwanini sina maelezo makubwa ya kumback up caryn lakini nadhani anakufaa kama mtashikana atakuvusha sana,Annie ni kweli unampenda na hana kosa ila hiyo distant relationship kwa miezi hii apa kati i can bet hauna same feelings kwake zitakua zimepungua kiasi ..kingine naona ni bora uwe “Opportunist”kama mwenzio[emoji23]…Chagua utapoona utatoboa kwenye hili game we need kibunda mzee.
yaa wewe umefikili kama mm pongeziMi ki ukweli hii story naifuatilia ila kuna sehemu naona as a man kuna sehemu unafeli. Sijui nature ya familia yako ila kwa ulivyojiweka ni kama umeshakuwa part ya familia ya mzee. Kuna vitu unashindwa kuvifanya kwa maendeleo yako wewe, ila unafanya kwa sababu ya nature ya watu
Jamani punguzeni hisia katika kupiga kura maana mnazidi kunipa Wakati mgumuAnnie umetoka nae mbali kakusapoti kwa mengi kipindi kile familia yao ilikuwa ya kishua leo hii hana maisha ya kishua anaanza upya na tegemeo lake lipo kwako anaimani mtafunga ndoa daaa kura yangu kwa Annie japo boss Caryn nae anakukubali.