BM X6
JF-Expert Member
- Nov 24, 2020
- 1,376
- 4,222
- Thread starter
- #3,181
CONFUSED [emoji53]If security is your first priority then stay with Anne,..If freedom( with its costs) I'd your first choice...go with Caryn.
Mambo ya sijui mmetoka mbali sio sababu...mapenz hayaendi kwa hisani na huruma, hamjaona nyie lolote laweza tokea. Angalia nan anafit zaid kwenye maisha yako yajayo tembea nae.
Mambo ya sijui Mali zitakufanya mtumwa, kama unanyota ya punda utakuwa mtumwa hata ukiwa maskini..kama hustler kamili utapindua meza.
Kwangu naona umezoea maisha yenye security so first choice ni Anne, ila nakushauri jaribu upande wa freedom, ni mchungu na utapambana haswa ila ukikomaa ndo kwenyewe na Caryn ndo mtu sahihi upande huo.
Nimekuelewa sana, lakini umenichanganya kidogo, hii kura yako inaenda kwa nani hasa?