Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

If security is your first priority then stay with Anne,..If freedom( with its costs) I'd your first choice...go with Caryn.

Mambo ya sijui mmetoka mbali sio sababu...mapenz hayaendi kwa hisani na huruma, hamjaona nyie lolote laweza tokea. Angalia nan anafit zaid kwenye maisha yako yajayo tembea nae.

Mambo ya sijui Mali zitakufanya mtumwa, kama unanyota ya punda utakuwa mtumwa hata ukiwa maskini..kama hustler kamili utapindua meza.

Kwangu naona umezoea maisha yenye security so first choice ni Anne, ila nakushauri jaribu upande wa freedom, ni mchungu na utapambana haswa ila ukikomaa ndo kwenyewe na Caryn ndo mtu sahihi upande huo.
CONFUSED [emoji53]

Nimekuelewa sana, lakini umenichanganya kidogo, hii kura yako inaenda kwa nani hasa?
 
Sawa kwa maana wote umeshafanya nao vitu sawa...huwezi kuwaita hawa ni wake zangu, kama hujawahi kulala nao...hahahahhahaha case closed

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Naam unajua najiuliza hapa kwamba kwanini bwana BM X6 anatupa kazi ya kupiga Kura kwa hawa wanawake wawili Annie na Carlin? Yani tupige kura nani zaidi ya mwenzake[emoji16]

Annie ndiye tunaemjua kuwa ndiye shemeji yetu kindakindaki, huyu Carlin kaingia tu katikati na kwanini Kura zipigwe ilihali miili haijakutana?

Ni ngumu sana kulala na mwanamke nyumba moja kwa almost Mwezi na uchafu then mkawa mnapishana mara jikoni mara bafuni na vitauro vifupi vilivyofungwa nusu kifua!

Mara sabuni yake bafuni inanukia Vizuri n.k

Wote ameshawala hawa mabinti ndio maana yupo njia panda .
 
Sawa, nyie nisingizieni tu

Kwahiyo hii vote tunampa nani? Annie or Caryn
 
Naam unajua najiuliza hapa kwamba kwanini bwana BM X6 anatupa kazi ya kupiga Kura kwa hawa wanawake wawili Annie na Carlin? Yani tupige kura nani zaidi ya mwenzake[emoji16]

Annie ndiye tunaemjua kuwa ndiye shemeji yetu kindakindaki, huyu Carlin kaingia tu katikati na kwanini Kura zipigwe ilihali miili haijakutana?

Ni ngumu sana kulala na mwanamke nyumba moja kwa almost Mwezi na uchafu then mkawa mnapishana mara jikoni mara bafuni na vitauro vifupi vilivyofungwa nusu kifua!

Mara sabuni yake bafuni inanukia Vizuri n.k

Wote ameshawala hawa mabinti ndio maana yupo njia panda .
Tumekosea sana kukubali ku vote ilihali jamaa haja confirm kama kamkula boss lady😬😬 ilitakiwa tugome kwanza hadi acomfirm ndio tuendelee
 
Tumekosea sana kukubali ku vote ilihali jamaa haja confirm kama kamkula boss lady[emoji51][emoji51] ilitakiwa tugome kwanza hadi acomfirm ndio tuendelee
Na hapo mm ndio namuona BM anautoto mwingi... ety hataki kusema kalala nae, hii inamaana gani... we si useme? Kama accountant kasema kamkula, vilevile kwa Annie, caryn ana nn? Mpaka ufiche? Dadaake anajulikana anapigwa miti na yule bumbuwazi opportunistic, sasa caryn unanipigisha kula kujua kama ni mtamu au vip, what a mess buddy?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Tumekosea sana kukubali ku vote ilihali jamaa haja confirm kama kamkula boss lady[emoji51][emoji51] ilitakiwa tugome kwanza hadi acomfirm ndio tuendelee
[emoji849]
 
Wanaume sometimes mnazinguaga Sanaa.

Umeanza na Annie tangu zamani, Leo hii kisa mjinga m1,1 unataka kumtosa.

Nakuambia, hakuna mapenzi kwako kwa Caryn ni nyege tu na vile kukaa pamoja na zaidi ndiyo mtu unayeshinda naye muda mrefu.

Watu humu watamtaka Caryn cox wengi wanapenda mserereko watataka kisa ni mtoto wa kishua,lakini kumbuka kama uliachana na accountant huwezi muweka mbali Caryn?

Mwisho kabisa, mwanaume siku zote yupo juu hapendi kuwa chini
Mwanamke unayetakiwa kuwa naye ni yule ambaye atakuwa loyal kwako

Aniie yupo royal sana kwako.

Caryn mtashindwana tu.
😂😂😂😂😂😂 Kwamba litamkuta jambo
 
Na hapo mm ndio namuona BM anautoto mwingi... ety hataki kusema kalala nae, hii inamaana gani... we si useme? Kama accountant kasema kamkula, vilevile kwa Annie, caryn ana nn? Mpaka ufiche? Dadaake anajulikana anapigwa miti na yule bumbuwazi opportunistic, sasa caryn unanipigisha kula kujua kama ni mtamu au vip, what a mess buddy?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Dah, blazee naona ku give up kwako is not an option

Eniwei, Naweza kusema haikuwa Planned lakini pia wasn't some kind of Kimasihara

CASE CLOSED
 
Dah, blazee naona ku give up kwako is not an option

Eniwei, Naweza kusema haikuwa Planed lakini pia wasn't some kind of Kimasihara

CASE CLOSED
Finally vote yangu kwa Carryn, yaani nilitia mgomo baridi wa kupiga kura mpaka season 3 kama ulivyosema majibu nitapata huko.
Mkuu mapenzi hayana dhamana, mapenzi sio kumhurumia mtu ukiwa na mtu sababu unamhurumia mmetoka mbali trust me utamtesa.
Nimempa kura yangu Carryn sababu maisha yenu mnaendana sana Annie masikini ni mpole sana. Ingawa she is good ila maisha yake atakuwa sad as long as Carryn and accountant are there to stay.
So ni bora uwe na carryn kimoja Annie aendelee na maisha yake outside thw picture.
Unaweza kuta nae huko yupo na lembebez wa kazini anakulia timing tuu ukosee kidogo ahamie mazima[emoji3][emoji3]
 
Dah, blazee naona ku give up kwako is not an option

Eniwei, Naweza kusema haikuwa Planed lakini pia wasn't some kind of Kimasihara

CASE CLOSED
Bmx6 ktk lost kubwa utakalofanya kumuacha annie na kubwa na Caryn napa Mzee hatapenda na kama anajambo kubwa juu yako trust me Atalicancel why anajua kbsa kichwani make mapenz na kazi mwisho kazi itaharibika tu kubwa zaid hata mwenye Mungu naamini atasikia zaidi kilio chan Annie maana alipokutoa bila yeye Honda leo usingefika hapo karisk pakubwa Anna hyo ni True Love ya Annie so choice is urs but please don't disappoint Annie she is wife material..
 
Go for Caryn sababu
1. Anna yuko mbali, obviously lazima anasaumbuliwa na mabosi huko, ipo siku ataliwa ama analiwa kimya kimya
2. Fimbo ya mbali ......( distance inapunguza upendo)
3. Caryn ni mwanamke anaekupa challenge kuliko Anna, na challenge ndo zinakujenga in life.
Nb. Ukiamua kuwa na Caryn usibadirike, ishi kama unavoishi maana ndicho anachokupendea
 
Familia ya mzee inakupenda kwasababu ya utashi na kazi zako kwao
Ukioa huko know that utakua a dog of a family kila utakachokifanya kitakua kwa asilimia 80% to protect that in law family
As ukiangalia ni familia ambayo imekua part of ur life daily
Na ufahamu wako kwa hiyo familia umebase sana PESA na biashara
Inabd ukae ufikirie je mazingira mengine tofauti na pesa/biashara unaweza kulink nao?? Je familia yako kwenu wanaweza kulink na familia ya mzee pamoja na careen?
Ukipata jibu then Go for Careen

Annie hadi sasa am sure hajaonyesha dalili za kubadilika (km zipo mchunguze) kama bado yuko loyal hana mtu na hana makando kando basi go for Annie

PS: As A Lady i vote for Annie
Caryn atakusumbua mbele(most of women wanaokua na pesa,cheo na akili ni wasumbufu lazima apate mtu wa kumu out smart) ila km unammudu careen then go for her i
 
Back
Top Bottom