Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

kwamba una maanisha?

Najua unakoelekea, unataka ni confess sio?[emoji12]
Kabla sijatoa kura yangu naomba ujibu swali hili.....je ushakula mzigo kwa Carryn?? Maana kuna mdau juu hapo cacoment umekula mzigo na hujabisha.
 
You've said it all miss sijaona kosa la Annie na ukiangalia wanaomsapoti aende kwa Caryn wote ni wanaume.. Anadhani respect anayopata sasa kwa Ile familia ataipata tena akiwa son in law hajifunzi tu kwa yaliyomkuta opportunist 🤣🤣 unless atuambie hayupo serious
 
Akubali kupelekwa vile Familia inataka....akiambiwa kaa nyumbani anakaa njoo kazini huyooo anaenda [emoji3][emoji3]
Namshauri atumie akili sana hapa la sivyo atarudi na uzi mpya hatima ya maisha yangu ipo mikononi mwa careen[emoji2]
 
Kabla sijatoa kura yangu naomba ujibu swali hili.....je ushakula mzigo kwa Carryn?? Maana kuna mdau juu hapo cacoment umekula mzigo na hujabisha.
Hili swali lako naomba nilijibu kwenye SEASON ya 3

Tafadhali piga kura
 
Kumbe ume notice hicho kitu, natafuta Wanawake waliopiga kura kwa Caryn, siwaoni

Ila Nadhani wapo, IDs tu ndio zinachanganya
 
Akubali kupelekwa vile Familia inataka....akiambiwa kaa nyumbani anakaa njoo kazini huyooo anaenda [emoji3][emoji3]
Namshauri atumie akili sana hapa la sivyo atarudi na uzi mpya hatima ya maisha yangu ipo mikononi mwa careen[emoji2]
🤣🤣🤣 uwiii jamani nimecheka eti hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa Careen
 
Akubali kupelekwa vile Familia inataka....akiambiwa kaa nyumbani anakaa njoo kazini huyooo anaenda [emoji3][emoji3]
Namshauri atumie akili sana hapa la sivyo atarudi na uzi mpya hatima ya maisha yangu ipo mikononi mwa careen[emoji2]
Dah, haya bhana

Eti "Kaa nyumbani" anakaa

"Njoo kazini" anaenda

Kwakweli hali ikiwa hivyo hata huo Uzi sileti, maana mtasema tulikuwambia sisi
 
Dah mimi sijui kwanini sina maelezo makubwa ya kumback up caryn lakini nadhani anakufaa kama mtashikana atakuvusha sana,Annie ni kweli unampenda na hana kosa ila hiyo distant relationship kwa miezi hii apa kati i can bet hauna same feelings kwake zitakua zimepungua kiasi ..kingine naona ni bora uwe “Opportunist”kama mwenzio[emoji23]…Chagua utapoona utatoboa kwenye hili game we need kibunda mzee.
 
Mzee anajua sana kusoma mtu na kumweka sehemu gani.
Kama utatumia akili basi bakia na Annie
Kama utatumia akili nyingi nenda na Caryn
 
Kuna mchizi wangu flani hivi aliniambia namnukuu [emoji1484]

"Kama itakulazimu kumpoteza unaempenda ili utimize ndoto zako usiogope ndoto ni muhimu kuliko mapenzi" Aisee ndio nazidi kuwa Dilemma

Eniwei, This vote Counted to Caryn
 
Mzee anajua sana kusoma mtu na kumweka sehemu gani.
Kama utatumia akili basi bakia na Annie
Kama utatumia akili nyingi nenda na Caryn
Ebhana eeh, Sasa hii kura yako tumpe nani? Akili nyingi au[emoji848]
 
Annie umetoka nae mbali kakusapoti kwa mengi kipindi kile familia yao ilikuwa ya kishua leo hii hana maisha ya kishua anaanza upya na tegemeo lake lipo kwako anaimani mtafunga ndoa daaa kura yangu kwa Annie japo boss Caryn nae anakukubali.
 
yaa wewe umefikili kama mm pongezi
 
Annie umetoka nae mbali kakusapoti kwa mengi kipindi kile familia yao ilikuwa ya kishua leo hii hana maisha ya kishua anaanza upya na tegemeo lake lipo kwako anaimani mtafunga ndoa daaa kura yangu kwa Annie japo boss Caryn nae anakukubali.
Jamani punguzeni hisia katika kupiga kura maana mnazidi kunipa Wakati mgumu

Eniwei, Vote counted to Annie [emoji294][emoji294]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…