Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Mkuu, mimi always nakuelewa na kukuamini sana. Once again, kila la kheri!
 
THE MOST BITTER TRUTH COMMENT

Eniwei! Vote counted to Caryn [emoji294][emoji294]
 
Kwasababu umesema hata wewe mwenyewe huelewi, ngoja basi nijaribu kuzoom kwa kutumia miwani yangu ya fundi saa kama itakusaidia kufanya maamuzi.

1. Kuwa mbali huyo wa kwanza kumetoa gap la huyo wa pili kuibuka. Kama angekuwepo sidhani ungekua kwy huu mkanganyiko

2. Wa kwanza inaonekana unakua free sana na unaweza kummudu kwa lolote lile. Inshort hapindui na anakupenda na una mpenda.

3. Huyu ya pili naona mazingira na tamaa za mwili zimekuingiza mkenge. Sidhani kama kuna hisia za penzi la kweli kwako zaidi ya kupita au kuonyeshea ukidume wako. Ingawa yeye anaweza akawa ana maanisha penzi kweli. Kumbuka huyu hana access ya wanaume tena wakufanya nao jokes. Unaweza kuwa a new world kwake (simaanishi kubikiri, ulimwengu wa kuwa na mpenzi freely)
Huyu wa pili ni mtu wa principles na amelelewa hivyo, itakubidi ujishushe sana ili kucope nae. Watu wengi wenye principles hutaka uzifuate au you will pay the price in consequences ni ngumu kuacha ipite hivihivi hasa kama ni repeatetion.

4. Love without conditions can break, but love with conditions does not exist. Uchaguzi ni wako [emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji1787]
 
Hii haikosi mapish
 
Kumkaza ajijue kabisa kumgusa penyewe ndio atashusha majeshi chini ,ila kama anajijua anashoo mbovu , kilele bibie hatakiona ama atakiona kwa nguvu ya energy na alkasusu abaki na annie
Aysee[emoji1430] Wacha nijitathimini[emoji17]
 
Mkuu hii namba tatu hii[emoji848] Eniwei acha nisiongee kitu, Muda ndio utaongea
 
Does this mean our votes will drive you to your final life mate decision between the two? I guarantee you making a big mistake by forgetting the past, otherwise you're making this to cherish yourself on how many people have been gotten to your story.
Sorry for my comment bro BM
 
Lengo sio kura tu, ila pia ni kupata some kind of comment kama yako, hii ni zaidi ya kura though ki protocol is not counted
 
Ndugu yangu BM X6 wanasema
"Love is a complicated journey strictly to those who are ready to endure heart broken"
Katika hili vyovyote iwavyo lazima kuna mmoja kati yako wewe, Annie na Caryn moyo wake utakuwa broken [emoji174]. That is another case, itashughulikiwa kwa namna yake pindi itakapojitokeza kwa wakati wake. Ni sawa na kusema ili ule yai ni lazima ulivunje kwanza ndipo upate kiini cha kukaanga. Katika hili maumivu ni lazima, na hayakwepeki.

Niungane na wengine ambao hawakuweka wazi kura zao wanampa nani kati ya Annie na Caryn (ingawaje nafsini ninaye candidate ninayem-prefer kati ya hao wawili) Naamini kupitia maoni ya tusio na upande na hata ya wengine bila kujali kama wana upande au la yanaweza kutoa mwanga na nguvu ya maamuzi, na pengine yakawa na kura ya VETO. Mawazo yangu ni kama ifuatavyo:-

1. Wakati mwingine ili kufanya maamuzi sahihi juu ya hatma ya maisha yetu au jambo tunalolitamani na kulihitaji yafaa kutumia akili zaidi kuliko hisia.

2. Annie na wewe mmekuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu, mmepitia ups and down kwa kiasi chake. Hivyo umemsoma vya kutosha. Hata hivyo umbali uliopo kati yenu kwa namna moja au nyingine umefifisha ile bond iliyopo baina yenu. Haiyamkuniki uende Mwanza zaidi ya mara moja, kisha ushindwe japo kuonana naye kwa salamu. Hivi Mzee ulishindwa japo kumwomba ridhaa kwenda kawasalimu jamaa zako, ili upate nafasi ya kuonana naye? Plus ulivyomkwepa kuja Dar kukutembelea. Yawezekana hapa napo nafasi ya upendo wako kwake ilianza/ iliendelea kufifia (who knows)

3. Caryn hujawa nae kwa kipindi kirefu kulinganisha na Annie, lakini wewe na yeye mmepata muda mwingi wa kuwa pamoja kwa karibu zaidi na hivyo kila mmoja kumsoma mwenzie. Licha ya hayo, napata hisia kwamba bado hujahitimu kumsoma Caryn, hasa kutokana na tabia yake ya kutotabirika au hali yake ya kujiamini kupita kiasi pengine ni kwa ajili ya financial stability yake au feminist character aliyonayo. Nahisi kuna jambo la ziada yanafaa ujiridhishe vya kutosha kabla hujafikia uamuzi wa mwisho kwake.

4. Wazo la wewe kusimama mwenywe kwa uwekezaji, sitalirejea. Limesemwa ipasavyo na wewe tayari uko na mawazo hayo. Na-cement kwa kukutaka uongeze juhudi kwenye hili.

5. Ingekuwa kwa kutumia akili za "kifyatu" ningeweza kukushauri uwezekano wa kuwajaza mimba wote wawili. Then hatma nyingine ingejulikana mbeleni. Katika hali ya halisi wazo hilo si jema, na si jambo la kiungwana kulifanya achilia mbali kuliwazia.

6. Maandiko ya Dini zote yametuelekeza kumtegemea Mungu kwa kila jambo. Yawezekana spiritual connection yako na "Sir God" iko down, lkn katika hili ni muhimu kumuomba na kumtumainia yeye. Naelewa kuwa yeye hawai wala hakawii katika kujibu maombi. Tena anajibu katika namna apendavyo. Zaidi sana anaujua mwanzo na mwisho wa maisha yetu. Inawezekana hapa tunajadili suala lako wewe na Annie na Caryn lakini Mungu amekupangia Fatuma wa Kwa Msisi Tanga[emoji12] (mtu tofauti kabisa). Kumbe basi, ni vyema pia kumshirikisha na kumtegemea Mungu ili akuvushe katika namna ya Ki-Mungu. Maana ni bayana kuwa jambo hili na hata hayo mengine unayoyapitia ni magumu na pengine hayawezekani kwa akili za kibinadamu pekee.

7. Nakutakia heri wakati wote.
Wasalaam.
 
Vipi mzee, kwa hiyo umeshapiga?? Asee dah
 
Me naona kwa jinsi unavomuweka Caryn , nahisi hamtatoboa labda itokee namna unavyojielezea ww usiwe hivyo. Uyo mwanamke anataka mwanaume mbabe ndio unamuweza ila ukiwa unamkubalia kila anachotaka ataanza kuona unaboa tu., So best bet yangu kaa nao wote as long as Annie yupo mbali mambo yanaweza kwenda tu.

Sababu kitendo tu, Caryn kuona kwamba unamuacha Annie sababu yake tayari unakuwa umepoteza vitu flani kimtazamo wa kianamke. Yeye hataona kwamba umethamini penzi lake bali ataona uwezi kusimamia unachokiamini au unachokitaka, so unaweza kuona kwamba ata mbeleni unaweza mgeuka ili uwe na mtu mwingine.

Wanawake wanapenda competition , hii ipo ndani yao hawawezi kiri hadharani. Nafikiri uishi kimasta tu, kwamba Caryn nafasi yako hii hapa, pambania penzi kama hauwezi tufanye mengine. Yaani hapa ni lazima umuoneshe akiamua kukaa sawa, pia akiamua kuondoka huogopi pia.

Sijui kama nimeeleweka, sio mzuri sana wa kuandika. Bali msomaji na msikilizaji zaidi.


Leo ndio Ile siku bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…