Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Ndugu yangu BM X6 wanasema
"Love is a complicated journey strictly to those who are ready to endure heart broken"
Katika hili vyovyote iwavyo lazima kuna mmoja kati yako wewe, Annie na Caryn moyo wake utakuwa broken [emoji174]. That is another case, itashughulikiwa kwa namna yake pindi itakapojitokeza kwa wakati wake. Ni sawa na kusema ili ule yai ni lazima ulivunje kwanza ndipo upate kiini cha kukaanga. Katika hili maumivu ni lazima, na hayakwepeki.

Niungane na wengine ambao hawakuweka wazi kura zao wanampa nani kati ya Annie na Caryn (ingawaje nafsini ninaye candidate ninayem-prefer kati ya hao wawili) Naamini kupitia maoni ya tusio na upande na hata ya wengine bila kujali kama wana upande au la yanaweza kutoa mwanga na nguvu ya maamuzi, na pengine yakawa na kura ya VETO. Mawazo yangu ni kama ifuatavyo:-

1. Wakati mwingine ili kufanya maamuzi sahihi juu ya hatma ya maisha yetu au jambo tunalolitamani na kulihitaji yafaa kutumia akili zaidi kuliko hisia.

2. Annie na wewe mmekuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu, mmepitia ups and down kwa kiasi chake. Hivyo umemsoma vya kutosha. Hata hivyo umbali uliopo kati yenu kwa namna moja au nyingine umefifisha ile bond iliyopo baina yenu. Haiyamkuniki uende Mwanza zaidi ya mara moja, kisha ushindwe japo kuonana naye kwa salamu. Hivi Mzee ulishindwa japo kumwomba ridhaa kwenda kawasalimu jamaa zako, ili upate nafasi ya kuonana naye? Plus ulivyomkwepa kuja Dar kukutembelea. Yawezekana hapa napo nafasi ya upendo wako kwake ilianza/ iliendelea kufifia (who knows)

3. Caryn hujawa nae kwa kipindi kirefu kulinganisha na Annie, lakini wewe na yeye mmepata muda mwingi wa kuwa pamoja kwa karibu zaidi na hivyo kila mmoja kumsoma mwenzie. Licha ya hayo, napata hisia kwamba bado hujahitimu kumsoma Caryn, hasa kutokana na tabia yake ya kutotabirika au hali yake ya kujiamini kupita kiasi pengine ni kwa ajili ya financial stability yake au feminist character aliyonayo. Nahisi kuna jambo la ziada yanafaa ujiridhishe vya kutosha kabla hujafikia uamuzi wa mwisho kwake.

4. Wazo la wewe kusimama mwenywe kwa uwekezaji, sitalirejea. Limesemwa ipasavyo na wewe tayari uko na mawazo hayo. Na-cement kwa kukutaka uongeze juhudi kwenye hili.

5. Ingekuwa kwa kutumia akili za "kifyatu" ningeweza kukushauri uwezekano wa kuwajaza mimba wote wawili. Then hatma nyingine ingejulikana mbeleni. Katika hali ya halisi wazo hilo si jema, na si jambo la kiungwana kulifanya achilia mbali kuliwazia.

6. Maandiko ya Dini zote yametuelekeza kumtegemea Mungu kwa kila jambo. Yawezekana spiritual connection yako na "Sir God" iko down, lkn katika hili ni muhimu kumuomba na kumtumainia yeye. Naelewa kuwa yeye hawai wala hakawii katika kujibu maombi. Tena anajibu katika namna apendavyo. Zaidi sana anaujua mwanzo na mwisho wa maisha yetu. Inawezekana hapa tunajadili suala lako wewe na Annie na Caryn lakini Mungu amekupangia Fatuma wa Kwa Msisi Tanga[emoji12] (mtu tofauti kabisa). Kumbe basi, ni vyema pia kumshirikisha na kumtegemea Mungu ili akuvushe katika namna ya Ki-Mungu. Maana ni bayana kuwa jambo hili na hata hayo mengine unayoyapitia ni magumu na pengine hayawezekani kwa akili za kibinadamu pekee.

7. Nakutakia heri wakati wote.
Wasalaam.
ANNIE & CARYN, We have lost another vote here

Eniwei! Hiyo namba 2 inaonesha kabisa kura yako ilikuwa inaenda kwa nani, lakini muhimu zaidi ni namba 6 nimeichukua na kuihifadhi itanisaidia hivi karibuni
 
Me naona kwa jinsi unavomuweka Caryn , nahisi hamtatoboa labda itokee namna unavyojielezea ww usiwe hivyo. Uyo mwanamke anataka mwanaume mbabe ndio unamuweza ila ukiwa unamkubalia kila anachotaka ataanza kuona unaboa tu., So best bet yangu kaa nao wote as long as Annie yupo mbali mambo yanaweza kwenda tu.

Sababu kitendo tu, Caryn kuona kwamba unamuacha Annie sababu yake tayari unakuwa umepoteza vitu flani kimtazamo wa kianamke. Yeye hataona kwamba umethamini penzi lake bali ataona uwezi kusimamia unachokiamini au unachokitaka, so unaweza kuona kwamba ata mbeleni unaweza mgeuka ili uwe na mtu mwingine.

Wanawake wanapenda competition , hii ipo ndani yao hawawezi kiri hadharani. Nafikiri uishi kimasta tu, kwamba Caryn nafasi yako hii hapa, pambania penzi kama hauwezi tufanye mengine. Yaani hapa ni lazima umuoneshe akiamua kukaa sawa, pia akiamua kuondoka huogopi pia.

Sijui kama nimeeleweka, sio mzuri sana wa kuandika. Bali msomaji na msikilizaji zaidi.
Hii kitaalamu inaitwa Vote Splitting, kuliko ikuwe waste tunai-count kwa wote hasa nikizingatia Paragraph yako ya Pili kutoka Mwisho (Itifaki imezingatiwa)

Counted to Annie [emoji294][emoji294]

Counted to Caryn [emoji294][emoji294]
 
MATOKEO YALIPOFIKIA KWA LEO
(Votes still being counted)

Kura Pacha Moja 1, Yani Voter mmoja kura yake imehesabiwa kwa Candidates wote wawili (Hii ni kwasababu maalumu, kutokana na Comment ya mpiga kura....Comment No. 3273)

Kura zilizoharibika ni 5

Annie Votes 18

Caryn Votes 23

Zoezi Bado linaendelea
 
MATOKEO YALIPOFIKIA KWA LEO
(Votes still being counted)

Kura Pacha Moja 1, Yani Voter mmoja kura yake imehesabiwa kwa Candidates wote wawili (Hii ni kwasababu maalumu, kutokana na Comment ya mpiga kura....Comment No. 3273)

Kura zilizoharibika ni 5

Annie Votes 17

Caryn Votes 22

Zoezi Bado linaendelea
Sema your so biased as story muda mwingi imemtaja carlyn kuliko annie so annie hajapewa narration inayohitajika ili tumpime na carlyn hapo sijui utafanyaje ila kuna vitu nataka nivijue kuhusu annie such as family backgroud Altitude life skills and personal goal plus achievement
 
Lengo sio kura tu, ila pia ni kupata some kind of comment kama yako, hii ni zaidi ya kura though ki protocol is not counted
And for sure I dont want to be a part of voters between the two coz every one of them has got a significant role in your life. Anne kakuvusha pakubwa tu kuanzia uko chuo and Caryn has just appeared katika mapambano yako ya sasa.
Ninachoshangaa ni kura zetu kukufanya wewe kuchagua mmoja wao lol!🙄 Mi nadhani the final decision ipo juu yako mwenyewe na msimamo ulishauonesha, vyengine hivi ni burudani tu na wasomaji wako au vipi bro?😂😂
 
Michael Jackson - Smooth Criminal

Annie are you okay
So Annie are you okay
Are you okay Annie
You've been hit by
You've been struck by
A Smooth Criminal

BM X6 The Smooth Criminal [emoji16][/b]
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Munausema sana.labda mimi nimutetee.sisi wengine mbona tumekua tunasoma kimya kimya bila kutia neno. Ukiwepo tunasoma ukiwa haupo hatusomi. This is ongoing events sasa kama je hajaenda kwa mzee wala ofisin unataka alete kisa kipi?
Watu hawana akili kabisa mkuu. Yaani mtu anawaambia hana cha kuhadithia ksbb kisa anachokileta hapa ni maisha halisi, lakini bado wanakomaa lete. Sijui alete nini sasa kama bado hajaishi vya kuleta?. Halafu kuna muda anawaambia yuko kwenye wakati mgumu,bado wanamwambia lete. Daah...! Nimeamini kweli ubinadamu kazi,pia kwenye wengi kila mtu ana lake.
 
Sema your so biased as story muda mwingi imemtaja carlyn kuliko annie so annie hajapewa narration inayohitajika ili tumpime na carlyn hapo sijui utafanyaje ila kuna vitu nataka nivijue kuhusu annie such as family backgroud Altitude life skills and personal goal plus achievement
SEASON 1 yote na SEASON 2 mwanzoni ndio Jina la Annie limetajwa sana, Safari yake ya Mwanza ndio imemtoa kwenye story, ila ngoja tuone kama story itaendelea labda jina lake lita appear mara kwa mara maana ndio amerudi rasmi
 
Watu hawana akili kabisa mkuu. Yaani mtu anawaambia hana cha kuhadithia ksbb kisa anachokileta hapa ni maisha halisi, lakini bado wanakomaa lete. Sijui alete nini sasa kama bado hajaishi vya kuleta?. Halafu kuna muda anawaambia yuko kwenye wakati mgumu,bado wanamwambia lete. Daah...! Nimeamini kweli ubinadamu kazi,pia kwenye wengi kila mtu ana lake.
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kura yangu Sidhani kama imehesabiwa ndani ya hizo#Team Caryn
Dah! Kweli nimeona comment yako sikui quote, ngoja nihakiki kwa mara nyingine inawezekana kura yako sijaihesabu asee
 
And for sure I dont want to be a part of voters between the two coz every one of them has got a significant role in your life. Anne kakuvusha pakubwa tu kuanzia uko chuo and Caryn has just appeared katika mapambano yako ya sasa.
Ninachoshangaa ni kura zetu kukufanya wewe kuchagua mmoja wao lol![emoji849] Mi nadhani the final decision ipo juu yako mwenyewe na msimamo ulishauonesha, vyengine hivi ni burudani tu na wasomaji wako au vipi bro?[emoji23][emoji23]
Kabisa hujakosea[emoji1477]

One love bro[emoji1479]
 
Watu hawana akili kabisa mkuu. Yaani mtu anawaambia hana cha kuhadithia ksbb kisa anachokileta hapa ni maisha halisi, lakini bado wanakomaa lete. Sijui alete nini sasa kama bado hajaishi vya kuleta?. Halafu kuna muda anawaambia yuko kwenye wakati mgumu,bado wanamwambia lete. Daah...! Nimeamini kweli ubinadamu kazi,pia kwenye wengi kila mtu ana lake.
Oyah Kaka Mkubwa, Final ya SEASON 2 nishaishusha, Pitia...kama ushaisoma basi unakaribishwa kupiga kura

Karibu
 
Michael Jackson - Smooth Criminal

Annie are you okay
So Annie are you okay
Are you okay Annie
You've been hit by
You've been struck by
A Smooth Criminal

BM X6 The Smooth Criminal [emoji16][/b]
Achana na Michael Jackson, nataka kujua kura yako inaenda kwa nani? ANNIE or CARYN
 
Back
Top Bottom