Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Mkuu wangu, Humu ndani Annie kapewa Airtiime kidogo sana compare na huyo Carryn!!!

Binafsi navutiwa na Annie na ndio pigo zangu mwanamke ukiwa mpole sio maneno mengi ndio nakufa kabisa!!
 
Daah...! Hii kali kuliko. Hakika natamani nipate hela hata kesho hii movie ni hela kubwa sana imo humu. Kule nyuma inasisimua na inmfanya mtazamaji atamani kesho itakuweje. Lakini huku mbele movie ndio imezidi kuua. Huu mchanganyiko eeeh....?! Hongera sana
 
Ila Careen nimemkubali sana aisee sio kwa confidence hiyo.. hivi hayo majibu aliyokuwa anakupa alikua na mood na aibu za kike kike au ndio alikua mkavu kama boss[emoji1787][emoji1787][emoji1787].. I bet kasoma IST huyo
Hapa lazima alishusha mood,aibu ya kike sana. Ile hali mpaka kufikia kuji-tune kushuka kusema kama kuna tabia zangu huzipendi niambie niko tayari kuziacha. Ile tu inatosha kuonyesha yuko mapenzini hasa. Japo mara nyingi ameonyesha kumfeel BM lakini hii hapa imedhihirisha amekwisha
 
Mkuu wangu, Humu ndani Annie kapewa Airtiime kidogo sana compare na huyo Carryn!!!

Binafsi navutiwa na Annie na ndio pigo zangu mwanamke ukiwa mpole sio maneno mengi ndio nakufa kabisa!!
Dah! Sasa tunafanyaje!?

Eniwei, Hii nayo imeenda kwa Annie
 
Kura yangu Sidhani kama imehesabiwa ndani ya hizo#Team Caryn
Mkuu kweli bhana, Kura yako ilinipita, halafu sio wewe tu. Nimehakiki nimegundua sikuhesabu kama kula 3 hivi
 
Shukrani mkuu

Haya tuambie upo upande gani?[emoji848]
 
Asante sana, na umetoa idea nzuri ya kupiga kura, itabidi tuitishe Uchaguzi, Binafsi nimewapitisha wote, so atakayepata kura nyingi ndio huyo huyo naruka nae

Annie kashajipatia kura ya kwanza


Wengine wataendelea...
Annie, do not dump this lady. The way you narrated about her, she loves you regardless of the circumstances.
 
UPDATES

Kuna kura kama 3 hivi zilinipita (Sikuzihesabu)

Kura 2 ni za Caryn na kura 1 ni ya Annie

So
DAY 1: Annie alipata kura 7 lakini Caryn alipata kura 12 na sio 11 kama nilivyoandika mwanzo

DAY 2: Annie alipata kura 18 na sio 17 kama nilivyoandika hapo awali na Caryn amepata kura 23 sio 22

Kura zinaendelea kuhesabiwa

Kazi iendelee....
 
Kwa hiyo tuseme kuwa uko na mahusianao na Caren kwa vile haufanyi Tena kazi kwao?Mana alisema atakuvumilia!

Tuweke sawa hapa kwanza
 
Binafsi niseme tu unahitaji kuwa na muda mrefu na ukaribu kwa miaka mingi na carin ili ilo jambo liwezekane ni lazima nakuambia bro ni lazima muendelee kuwa marafiki hivi hivi yani haupaswi kuzidisha hapa mlipo kwa mantiki iyo bas annie anabaki kuwa mwanake wa maisha yako braza usiteme big g kwa karanga za kuonjeshwa.
 
Asante sana kwa maoni[emoji1545]

Nadhani nitakuwa sahihi kama nitaihesabu hii kama kura kwa Annie
 
Sitaki kuamini eti huu mtanange unaendelea, hadi hapa Annie ndiye wife coz kashinda mechi nyingi ugenini, Careen yeye kuongelewa muda mrefu kwenye story ndio kumembeba so ni kama mechi zote kashinda uwanja wa nyumbani 😎 😎
 
Mara nyingi upendo unaanza na ukaribu uliopo baina yenu, Ukaribu waliokua nao umefanya wafike walipofikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…