Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukua Carren mkuu...Zoezi la kupiga kura linaendelea Annie Vs Caryn
Zoezi litachukua muda mrefu kidogo ili kuwapa watu wengi nafasi ya kushiriki
Zoezi litafungwa tarehe 31 na matokeo nitayaweka hapa hapa
Tarehe 1 mwezi wa 6 nitakuja na Summary muhimu ambayo itagusa mwanzo wa Story hadi hapa nilipofikia
Baada ya hapo mtanikosa JF kwa muda kidogo kwasababu ya Ugeni mzito
Matokeo hadi sasa yanasoma[emoji1484]
Annie 7
Caryn 12
Umekosea kuihesabu hii kura, badala ya kwenda kwa Annie we umeipeleka kwa Caryn.Sawa mkuu
Vote counted to Caryn
Asante sana ndugu yangu kwa kushiriki kwenye zoezi hili muhimuNikiwa kama mmoja wa wapiga kura kwenye mchakato huu wa uchaguzi kwa manufaa ya ndugu yetu mbwana mkubwa BM X6.
Mimi Mohamed idrisa kwa hiari yangu mwenyewe pasipo kushinikizwa na mtu, naamua kura yangu kuipeleka kwa mwanamke ambaye ana mapenzi ya kweli na mwenye ndoto ya kuwa na familia bora na ndugu yetu BM X6.
Caryn [emoji736]