Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa blaza ushauri mzurikura yangu ni kwa annie
carth atakuja kukufanya mtumwa aidha uje kuw finacial strong kuliko yeye na niachoona hawezi jiweka chini yako atataka awe na mamlaka. NB annie is the best.
Kura haziwezi kuamua yupi sahihi kwenye uhalisia, mwisho wa siku unaweza kuchaguliwa cary lakini asiwe huyo wa kwenye story, ni kama kutupa dhahabu ( Annie) na kuokota jiwe, mimi sio mtu wa kukoment na nimekwazika anavyomshindanisha Annie...BM X6 hiki kitedo cha kupiga kura kinaniudhi ila basi tu
Samahani mkuu kama nimekukwaza, najua kura haziwezi Kuamua kiuhalisia lakini Binafsi kuna kitu nakiangalia humu kupitia hizi hizi kuraKura haziwezi kuamua yupi sahihi kwenye uhalisia, mwisho wa siku unaweza kuchaguliwa cary lakini asiwe huyo wa kwenye story, ni kama kutupa dhahabu ( Annie) na kuokota jiwe, mimi sio mtu wa kukoment na nimekwazika anavyomshindanisha Annie...
Kura yangu iende kwa Annie mkuu..
Aah, ww hutakiwi kubalance mzani, chagua mmojaHaha mimi niko dilemma mkuu nashindwa hata nichague yupi, naweza kusema nami wote nimewapa mizani sawa kama wewe, nasubiri ulete tu majibu ya maamuzi utakayofanya
hahahaha vidole havina mifupaI swear mwanzo niliona umeandika "kitendo" [emoji3064]