BEST COMMENT
(Another Ballot Wasted)
Eniwei! Hujanifokea, sana sana nimei rank hii kama Best Comment kwa hii election though the vote has not been counted, ila nikiichambua hii comment naweza kujua hii kura Ina muhusu nani
Nitakujibu kama ifuatavyo, kwa mtiririko wa namba
1: Asante sana, nimepokea Maua yangu[emoji1545]
2: Hapa katika uwekezaji ndio maana nilikataa kurudi kazini, cos ni kitu ambacho nataka kukifanyia kazi wakati huu, japokuwa Biashara ninazotaka kufanya na kazi niliyoikataa ni vitu vinavyo relate.
3: Hii Paragraph ndio imefanya niipe hii comment points zake 3, hapa umemaliza Kila Kitu Sina Cha kuongeza[emoji1430]
4: Yeah, I'm very serious, lengo sio kura tu, lengo ni kupata Comment kama hizi, zinasaidia sana, kama hii comment imenifanya niwaze vitu ambayo hata sikuvifikiria au pengine nilivipuuzia
5: Nimeweka Candidates wawili tu kwasababu ndio nawaelewa zaidi, yani ukimuweka Michelle na Annie nitamchagua Annie. na ukimuweka Michelle na Caryn Obvious nitamchagua Caryn [emoji12]. Ila ukimuweka Annie na Caryn hiyo ni Another case, japokuwa umeongea point hapo kwa Michelle.
Speaking of Michelle, kama isingekuwa Mzee au Caryn hata Ile ofisini angempa Opportunist aiendeshe, hapa sina maana kwamba Caryn anashindwa kufanya hivyo lahasha! Character zao ni tofauti Michelle ameji position kama Housewife lakini kwa Caryn[emoji849], kwanza siku akishinda nyumba kutwa nzima basi ujue anaumwa
Kuhusu Accountant[emoji848]....Just forget her
6: To be honest sijafanya hivyo, ila akija kama yaliyomo yamo ni lazima nitajua tu, Sasa akijichanganya ndio amenipa sababu
7: Kwanza Ile Pisi (Caryn) niliipenda tangu namuona kwa mara ya kwanza, sema nilikuwa namuogopa kinoma[emoji2365] maana kwa jinsi alivyokuwa anajiweka plus nilikuwa sijamzoea
Wakati namtongoza huwezi kuamini kwa Wakati huo nilikuwa hata siwazi Kimasihara Wala Long term relationship, ila nilimtongoza ili kutaka kujua ananichukuliaje, ila chakushangaza jibu lake japo lilikuwa sio la kukubaliwa ila lile lilinifanya nimpende zaidi, imagine mtu ni rafiki yako halafu anakupenda kimapenzi lakini anahofia kukupoteza kama Rafiki endapo Mapenzi yakifika kikomo, kwangu nimechukulia huo kama upendo wa dhati
8: Rudi namba 4 nishalijibu
9: Sure, kama nitaangukia kwa Caryn basi nina kazi kubwa ya kufanya, kutokana na aina ya Mwanamke niliyekuwa nae hapo awali (Annie) kwa Caryn inahitajika kujipanga kisaikolojia kwani ni watu wawili tofauti kabisa, Kinachonipa moyo ni kwamba nishaishi naye so namjua kiasi chake
10: Nammudu kupitia Caryn, anajua kama Caryn ananikubali sana, na anajua Mzee anamkubali mwanaye Caryn, na anajua kama Caryn asingeafiki yeye kwenda China basi kweli asingeenda, hapo ndipo Power yangu inapopatikana, kwasasa Mimi Sina nguvu ya kumuadabisha in direct way, hata kupitia kwa Mzee sidhani kama hiyo power ninayo labda niende na sababu zenye mashiko, Lakini nikipitia kwa Caryn ni kitendo Cha Dakika 0 jamaa tunampokea Airport. Kwahiyo ananisikiliza kama anavyomsikiliza Mzee na kama anavyomsikiliza Caryn vile vile.
Kuhusu makubaliano hatuna makubaliano yoyote zaidi tu ya kazi
11: Nashukuru kama umeliona hili in positive way,
Mambo ya kuwepo kwa Bond kati ya Familia yangu na Caryn Dah! umeenda mbali sana, tunaweza tusifike huko mkuu, ngoja tuone hili linapitaje
All in All Baraka nimezipokea, Barikiwa nawe pia