Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Wajukuu, Wanangu na wazee wenzangu! Heshima kwenu nyote.

Sijisikii vizuri leo naumwa kidogo.

Niende kwenye mada...

1. Love is inversely proportional to distance.

Let love be "L" and distance be "D"

So L ≈ C/D where C is proportionality constant.

But C = a,b,c,d,e,f,t,w,r

Where a = age, b = beauty, c = characteristics, d = diseases, e = education (intelligence), f = family background, t = tribe, w = wealth.

Hence L = C/D

The more the distance the less the love

Ila C "result" ikiwa kubwa huongeza L kuwa kubwa.

Hii ni topic muhimu kwa vijana wanaotaka kuoa ama kuolewa hususani kwenye kuchambua hiyo "C"

2. Kwa waislamu, sisi wanaume tumeusiwa kuoa wanawake wawili, watatu hadi wanne, lakini 'tukishindwa' (kwa sababu mbalimbali' basi tuoe mmoja

Lakini pia tumeusiwa sisi kuwaoa kwa sababu za:-
(i) Uzuri wao
(ii) Ukwasi wao
(iii) Nasaba zao
(iv) Ucha Mungu wao.

Msisitizo ukawekwa kwenye ucha Mungu na kupuuza hayo matatu ya juu maana tutaongezewa...

Lakini atakaye chagua kuoa kwa sababu tatu za juu bila kuzingatia ucha Mungu 'huenda' akaangukia pabaya baada ya sababu hizo zilizomfanya aoe kuondoka.

Hapa napo panahitaji darasa lake.

3. "Hatma ya maisha yangu ipo mikonono mwa kijana wa Buguruni" ndiyo kichwa cha simulizi.

Hatma ya maisha YAKO ipo mikononi kwa kijana wa Buguruni!

Kijana wa Buguruni keshazingua 'big time'

Je, hatma ya maisha yako sasa ipo mikononi kwa 'Caryn?!'

Je, hatma ya maisha yako ipo Mikononi mwa Baba Caryn!?

Je, hatma ya maisha yako ipo mikononi mwa maamuzi yako ya kumchaguwa Anne ama Caryn ili uendeleze uhusiano wa mapenzi!!??

Bila shaka unapenda hatma hiyo iwe yenye furaha, amani, upendo na ukwasi.

Je ukwasi unapatikana kwenye Kampuni za Baba Caryn pekee?

Je, upendo upo kwa Caryn ama Annie, au wote??!!

Je, amani unaipata ukiwa kwa Annie ama kwa Caryn?!!

Je, furaha unaipata ukiwa na Caryn au Annie?!

Kura zetu hazitasaidia sana kwenye maamuzi yako juu ya Annie na Caryn, ingawaje inaleta burudani katika kuendeleza simulizi hususani katika kipindi hiki ambacho muendelezo umesimama...

Maamuzi sahihi unayo mwenyewe kwakuwa kuna mengi ambayo hujasimulia kuhusu hao akina Annie na Caryn.

Nakuwa miongoni wa waharibu kura kwenye hili.

Hii ni comment yangu ya kwanza humu, nichukue nafasi hii kukupa kongole kwa uandishi mzuri na kutumia muda wako mwingi kwenye kusimulia hii simulizi yenye mengi ya kujifunza.

#Pigania unacho kiamini.

JBoure59
Akili kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi kura haziwez kuwa sahihi sana kwa mtazamo wangu kwasababu zifuatazo

Moja Story ya Anne imesimuliwa kwa uufup sana humu tena kule mwanzon na hata akitajwa ni mistar michache tu

Ila kwa Caryn nafikir amechukua asilimia kubwa sana ya hii story so automatic tayar umemuweka Caryn juu ya Anne ww mwenyewe.

Sasa Mzee nikupe ushauri wa kiume hauitaji kupigiwa kura kujua nan anakufaa kwenye maisha yako ni kama vile utafuta sehem ya kujifariji if things will go wrong in future.

Kwa mtazamo wangu tayar Caryn anakuongoza kwenye mambo meng sana na sjui kama anajua kuna existence ya Anne, Maana kuna sehem aliuliza una Girlfriend na ukakataa.

Sasa mzee achana na Anne kabla hujafanya maamuzi ya kuanza na Caryn maana ndio unapoelkea tafuta better excuse ya kuachana nae thrwise kama hauko tayar hlo muweke wazi Caryn kwamba Anne ana exist akitaka na.yeye agombanie kombe then hapo utajua true character ya Caryn kama kwel anakuhitaj tu zat ekstenti
Paragraph ya mwisho nimeielewa sana, na sijui ulikuwa wapi, ungekuwa hata una like like kwenye Uzi pengine ningeshakutagi mapema sana

Eniwei! Vote counted to Caryn [emoji294][emoji294]
 
BM X6, najua unapenda sana BMW X6, ninayo moja ya siku nyingi kidogo, iko kwenye hali nzuri sana, namba C, mashine ya diesel.

I promise you, hadithi ikiisha ,ile chuma ni mali yako.
@TAJIRI MKUU WA MATAJIRI Mkuu Leo ndio Ile siku.

Eniwei kwanza piga kura, Kura yako ni muhimu, ukishamaliza kupiga kura usiondoke tafadhali, nataka tujadili ni namna gani naweza kupata lile Chuma, I mean Chuma Cha mjerumani si unaona nimeshaua Story

Kazi imebaki kwako kutimiza ahadi, nipo hapa nimekunja nne nakusubiri
 
Hilo lilikuwa ni jibu tu kwa jamaa

Hivi nishahesabu kura yako au bado hujapiga? Kama bando changamka bhana siku ndio zinayoyoma
Mm nakuonea huruma tu jamaa angu ,kuishi chini ya amri ya mwanamke(Caryn)dahh kibongobongo inataka roho yachuma sana.either uwe radhi kuishi kizungu kama wengi walivyoelezea kwa ufasaha humu ndani,all in all inategemea na hitaji la moyo wako,najua unatamani sanaa Caryen angekua na roho ya Anne.binafsi nampigia kura Anne,kwasababu mmetoka mbali na anasadifu maisha yawanaume wengi mahitaji yetu kutoka kwa mwanamke.japokua ningumu kuacha makampuni yaende hivi hivi.ushauri wangu be an alpha male brother,still inawezekana ukawa nao wote uwezo huo unao kabisa nasijajua unakwama wapi .hii ni africa brother,mambo ya kukaa na kademu kamoja for the rest of ur life unahatarisha usalama wako mwenyewe,na kusurrnder uhuru wako binafsi kwa mwanamkemmoja big No.kuna mwamba mmoja wakuitwa leadermoe japo kwasasa nimarehemu alipatwa na kigugumizi kama hiki cha kwako,lkn at the end alichagua kwenda nao wote na haikumdhuru kitu. Tena mwmba alikua nao mzungu mfiniland na mbongo kwa wakati mmoja,ikikupendeza tafuta story yake ujifunze mapito yake...au muone member wakuitwa@gilly atakusaidia pia.
 
siku carryn akijua background yako na Annie atavunjika sana moyo

kwa nature ya uanaume kama unahitaji peace of mind Annie anakufaa
 
Mm nakuonea huruma tu jamaa angu ,kuishi chini ya amri ya mwanamke(Caryn)dahh kibongobongo inataka roho yachuma sana.either uwe radhi kuishi kizungu kama wengi walivyoelezea kwa ufasaha humu ndani,all in all inategemea na hitaji la moyo wako,najua unatamani sanaa Caryen angekua na roho ya Anne.binafsi nampigia kura Anne,kwasababu mmetoka mbali na anasadifu maisha yawanaume wengi mahitaji yetu kutoka kwa mwanamke.japokua ningumu kuacha makampuni yaende hivi hivi.ushauri wangu be an alpha male brother,still inawezekana ukawa nao wote uwezo huo unao kabisa nasijajua unakwama wapi .hii ni africa brother,mambo ya kukaa na kademu kamoja for the rest of ur life unahatarisha usalama wako mwenyewe,na kusurrnder uhuru wako binafsi kwa mwanamkemmoja big No.kuna mwamba mmoja wakuitwa leadermoe japo kwasasa nimarehemu alipatwa na kigugumizi kama hiki cha kwako,lkn at the end alichagua kwenda nao wote na haikumdhuru kitu. Tena mwmba alikua nao mzungu mfiniland na mbongo kwa wakati mmoja,ikikupendeza tafuta story yake ujifunze mapito yake...au muone member wakuitwa@gilly atakusaidia pia.
Kwa Briefly uliyonipa kuhusu huyo jamaa, Nadhani kwa upande wake ilikuwa rahisi ku handle hao Wanawake wawili kwasababu hawakuwa karibu, Mmoja nje ya bara la Africa mwingine ndani ya Africa tena Tanzania! Hapo atakayeshindwa kuchezesha hilo game atakuwa mzembe sana

Kwangu kuna mtiti Mzee, angalau Annie makazi yake ingekuwa ni Mwanza hiyo ingekuwa nafuu kwangu, unajua hivi anavyokuja Dar sio kwamba anakuja na kurudi kazini! Hapana, ndio mazima hiyo

Halafu kumbuka Annie anapajua pale ofisini kwa Mzee ila hapa ninapokaa Sasa hivi ndio hapajui, lakini akifika Dar ni lazima afike hapa ninapoishi

Lakini ngoja tuone vile mambo yatakavyoenda
 
Hesabu kura yangu hyo kwa Anne mzee,nnakuombea mwisho mwema kama wasemavyo waungwana.ktk harakati zako mkuu.
 
Niko tofauti kidogo Nadhani ungejipanga kwanza katika nyanja nyingine za kimaisha, swala la mapenzi kwa sasa usilipe uzito sana.

Kamilisha kwanza mipango yako mingine ya kimaisha, jiweke safe side kwanza.
Sawa nimekuelewa, Sasa wakati najipanga na nyanja zingine za kimaisha na nafaa kumuweka akilini kati ya hao wawili, ili hapo badae nikiwa Niko sawa niweze kuendelea nae kimaisha
 
Back
Top Bottom