Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuu,naona umeniacha sehem,kwan ulishamjibu?Hadi nawapigisha kura hapa hujajua tu nimemjibu nini?
Hahahaha hii comment imenichekesha sanaNaiona vita ya Accountant na Annie ikihamia kwa Annie na Carryn!
Kama ulivyo amua kubaki na Annie mwanzo bila kumficha Accountant, hata sasa amua kubaki na mmoja tena kwa uwazi.
Kwa mtazamo wangu wewe sasa hutakiwi kupigania mapenzi bali maisha (mali)! Kama yupo anayeku-offer vyote at a time then go for her!
Kumbuka maisha uliyopitia ulipoacha kazi kisa kupigania penzi la Annie... yalikuwa mazuri?
Watu wengi wanadai uwe na Annie kisa kakuvumilia sana, bro... Carryn kakuvumilia sana pia. Kitendo cha kukukubali na ukapuku wako sio kidogo. Unafikiri ashakutana na vijana wa hadhi yake (kiuchumi) wangapi?
Nina mengi ya kuandika lakini muda hautoshi.
Kura yangu bado naipeleka kwa Carryn.
Dah sikutaka kucomment ila ngoja tu nicomment.Oyah Kiduku 42774277 shusha ego chini then vote
Asante sana, Aina hizi za kura ndio nitazi double CountCaryn ni aina ya wale wanawake Wanajuaga ku adapt na mazingira, so hata misimamo yake ya ajabuajab nikwa Sabab ya aina ya uhusiano mlionao (marafiki), mkiingia kwenye huba atabadili frequency kuwa kama mke, Tena uzuri yeye ndie amekupenda kwanza, Cha zaidi caryn ana kila kitu knachompasa mwanamke kua nacho bro, kama ni kuhusu tabia na misimamo yake ameshaahidi kubadilika, na hata kama wanaomzunguka wanaona hawez kubadilika basi jua hilo litawezekana kupitia penzi, nadhani unajua penzi lilivo na nguvu, kwa Sasa Naweza kusema kwa Sabab Annie Yuko mbali basi Caryn ni sawa na fisi unaemjua lakin Annie ni sawa na kondoo usiemjua coz huko aliko hujuw Nini kinaendelea, bnafsi huwa naamini nnachokiona[emoji120]
Caryn huyu anawezakukufanya uishi kwa majuto sana Annie ndo aina ya mwanamke anakufaa seems Yuko humble sana
Mzee wangu tangu ile story ya Hamida sijawahi kukusahau..Wajukuu, Wanangu na wazee wenzangu! Heshima kwenu nyote.
Sijisikii vizuri leo naumwa kidogo.
Niende kwenye mada...
1. Love is inversely proportional to distance.
Let love be "L" and distance be "D"
So L ≈ C/D where C is proportionality constant.
But C = a,b,c,d,e,f,t,w,r
Where a = age, b = beauty, c = characteristics, d = diseases, e = education (intelligence), f = family background, t = tribe, w = wealth.
Hence L = C/D
The more the distance the less the love
Ila C "result" ikiwa kubwa huongeza L kuwa kubwa.
Hii ni topic muhimu kwa vijana wanaotaka kuoa ama kuolewa hususani kwenye kuchambua hiyo "C"
2. Kwa waislamu, sisi wanaume tumeusiwa kuoa wanawake wawili, watatu hadi wanne, lakini 'tukishindwa' (kwa sababu mbalimbali' basi tuoe mmoja
Lakini pia tumeusiwa sisi kuwaoa kwa sababu za:-
(i) Uzuri wao
(ii) Ukwasi wao
(iii) Nasaba zao
(iv) Ucha Mungu wao.
Msisitizo ukawekwa kwenye ucha Mungu na kupuuza hayo matatu ya juu maana tutaongezewa...
Lakini atakaye chagua kuoa kwa sababu tatu za juu bila kuzingatia ucha Mungu 'huenda' akaangukia pabaya baada ya sababu hizo zilizomfanya aoe kuondoka.
Hapa napo panahitaji darasa lake.
3. "Hatma ya maisha yangu ipo mikonono mwa kijana wa Buguruni" ndiyo kichwa cha simulizi.
Hatma ya maisha YAKO ipo mikononi kwa kijana wa Buguruni!
Kijana wa Buguruni keshazingua 'big time'
Je, hatma ya maisha yako sasa ipo mikononi kwa 'Caryn?!'
Je, hatma ya maisha yako ipo Mikononi mwa Baba Caryn!?
Je, hatma ya maisha yako ipo mikononi mwa maamuzi yako ya kumchaguwa Anne ama Caryn ili uendeleze uhusiano wa mapenzi!!??
Bila shaka unapenda hatma hiyo iwe yenye furaha, amani, upendo na ukwasi.
Je ukwasi unapatikana kwenye Kampuni za Baba Caryn pekee?
Je, upendo upo kwa Caryn ama Annie, au wote??!!
Je, amani unaipata ukiwa kwa Annie ama kwa Caryn?!!
Je, furaha unaipata ukiwa na Caryn au Annie?!
Kura zetu hazitasaidia sana kwenye maamuzi yako juu ya Annie na Caryn, ingawaje inaleta burudani katika kuendeleza simulizi hususani katika kipindi hiki ambacho muendelezo umesimama...
Maamuzi sahihi unayo mwenyewe kwakuwa kuna mengi ambayo hujasimulia kuhusu hao akina Annie na Caryn.
Nakuwa miongoni wa waharibu kura kwenye hili.
Hii ni comment yangu ya kwanza humu, nichukue nafasi hii kukupa kongole kwa uandishi mzuri na kutumia muda wako mwingi kwenye kusimulia hii simulizi yenye mengi ya kujifunza.
#Pigania unacho kiamini.
JBourne59
Ni sawa tu, lakini mm mwenyewe sijajua nitaingia kwenye mahusiano na nani, kwasababu Annie mwenyewe kabla ya kuendelea nae kuna vipengele itabidi niviangalie kabla sija renew mkataba wa kuwa nae tena siunajua tulikuwa hatupo karibu muda mrefuUnapigisha watu kura ambazo kwa huyo Annie umemuelezea kiasi kidooogo sana, hatujui mlikotoka ups n down zenu tujue zikoje toka mwanzo, huyo Carryn vijana wenye hawajakaa kwa ndoa watampenda sababu ya mseleleko.......na mkiingia kwenye mahusiano ya kimapenzi haimaanishi lazima mfikie marriage, mnaweza kuwa vizuri kwenye urafiki ila mapenzini mkazinguana hata msifike tank bovu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nasema hivi " ukianza mahusiano ya kimapenzi na carryn mgombane muachane kwa aibu kubwa na kila kitu upoteze" nimekufokea na laana juu
Ukimaliza kukusanya kura ndio utaleta next episode au ndo umemaliza tufanye ku unsubscribe uzi?Ni sawa tu, lakini mm mwenyewe sijajua nitaingia kwenye mahusiano na nani, kwasababu Annie mwenyewe kabla ya kuendelea nae kuna vipengele itabidi niviangalie kabla sija renew mkataba wa kuwa nae tena siunajua tulikuwa hatupo karibu muda mrefu
So nitaangalia vipengele vyangu halafu nitaangalia na kura/maoni ya humu ili kukwepa kufanya maamuzi ya kibinafsi
Pengine labda mwenzangu alivyokuwa Mwanza hakufanya maamuzi ya kibinafsi so mimi nikija kufanya maamuzi ya kibinafsi pengine hiyo laana yako na yake ndio inaweza kunipata,
Kwa Caryn pia ni hivyo hivyo Kuna mambo nitaangalia na nitachungulia kura za humu zinasemaje kumuhusu ndio nifanye maamuzi
Eniwei! Nadhani hii kura umempa Annie bila shaka
Nice Kiduku, umetiririka vizuri umenyoosha kama unavyonyooshaga kwenye ICBMDah sikutaka kucomment ila ngoja tu nicomment.
Sijajua kama kumbukumbu zangu zipo sawa ila namuona Annie kama mtu wa ndio mzee. This is my only problem kwa Annie[emoji777].
Pia kitu Kingine ambacho sijajua kuhusu Annie, Sijui anabehave vipi akiwa na pesa, Na kama hajawahi kuwa na pesa(Pesa nyingi) Siku akizishika sijui atabehave vp?
March 2020 nikiwa Kenya, niliingia kwenye uhusiano na Dada mmoja hivi, Japo nilianza kufahamiana naye toka 2019 yeye alikuwa anasoma mwanza, Ni mtu wa Moshi. Huyu tumwite X.
X ni type ya wanawake ambao wanaume wengi wanatamani kuoa, hata mimi nilikuwa nawaza hivo, kwanza mpole, hana maneno mengi, beside kuwa mchaga lakini hakuwahi kuwa ombaomba, Ni mtu ambaye hakuwa na tamaa, Pia alikuwa na huruma sana.
Nakumbuka kuna siku nilikosea kumtumia hela badala ya kutuma Mpesa 22k nikatuma kama Vocha, Aiseeee aliumia sana mpaka tena me mwenyewe nikaanza kumuonea huruma, ingawa nilikuwa nineshatuma 22k nyingine.
Maisha yakasonga, August 2020 nikaanza kujisogeza kwa dada mmoja hivi,
Huyu alikua UDOM na nilianza kufahamiana naye toka 2018, Kiukweli lengo la kumtongoza huyu Dada ilikuwa ni kumla tu, Maana umbo lake kila nikimuona status whatsapp nilikuwa nadata sana. Huyu tumwite Y.
Y alikuwa anapenda sana utani, na hii ndio ilikuwa gear yangu ya kumuingia, Nilianza kumuita Romantic names kama utani, na yeye akawa ananiita hivohivo, mwezi wa 9 tukaja tukaonana, maisha yakaendelea na mpaka kufika december 2020 lengo langu likawa limeshatimia,
Huyu Y toka tukiwa marafiki alikuwa anaomba sana Pesa, Lakini ilikuwa ni katika utani so sikuwahi kumtumia, nilipoanza kujisogeza kwake kuna vitu kweli nikawa nampa hela na vingine napotezea. Mfano 2020 october alipoteza simu, me nikamnunulia simu nyingine, Pia kuna blanda alifanyaga huko Chuo me nikamfinance tu bila shida.
Mpaka 2021 inaanza huyu Y alikuwa ni very different person, Kwanza nilimkuta yuko sealed(Aiseee hawa wadada wanaopost memes waoneni tu hivihivi, wanaficha mengi). Kiufupi tu nilianza kufall mazima pia kwake. Japo huyu ni muongeaji kiukweli.
Sasa nikawa na watu wawili wote niko nao sambamba. Kibarua kama Chako cha sasa. [emoji23][emoji23][emoji23].
Late April 2021 nikaenda mwanza kwa X, nikaspend naye almost week nzima. It was my first time kuwa naye pamoja tangu nimtongoze. Things went very well. I saw X as more wife material kuliko Y.
At the same time, Niliona Loop ambayo naweza kumwacha Y japo kwa kosa la kutunga ila nilisuka mpango in such a way yeye ndio angejiona mkosaji.
Ipo hivi the moment nmemnunulia simu Y, hiyo simu nilikuwa naitrack na kuona Message zake, Calls, whatsapp text, pictures n.k. Nilifanya hili ili siku nikitaka kumuacha niwe na escape route. Ambayo hatokaa anilaumu kwamba nimemchezea na kumuacha.
Honestly demu alikuwa Loyal sana kwangu, masela kibao walikuwa wanaslide DM kwake ila alikuwa anawachomolea au kutowajibu kabisa.
Kuna picha nilizipata alipiga na mshikaji mmoja hivi, sasa hizo picha nilizitunza hiyo April, nikatengeneza fake whatsapp conversation kwamba kuna mtu anasema wewe ni mtu wake na amenitumia hizi picha na nikamind sana. Kiukweli hakuwa mtu wake,
Weeee demu akakaza, akasema yule siyo mtu wake, nikamuambia we umeamua kunidanganya, sikua ukiwa ready kuopen up tutazingumza, Bhana eeeeh tukapotezeana mwezi mzima,
Kiukweli nilijua ndio tumeachana, nikaendelea zangu na X, Mwezi mmoja baadae Y akaanza kunicheck Me nikawa namuignore, Alikuwa anataka sana tukutane tuyajenge na yale yaliyotokea aliamini tu kuna mtu alimzunguka na kutuma hizo picha kwangu,
Nilimkazia mpaka 09/2021 ndio tukaja tukarudiana, Honestly huyu mtu niliona ananipenda kuliko nilivyokuwa namuwazia. Basi nikaendelea nao wote wawili.
Sasa kuna kuna kitu kilikuwa kinanipa shida kwa X, Ni mtu asiyejali, Urudi saa 8 usiku nyumbani sawa, usafiri uende mkoa hatokuuliza chochote, kwamba ulifika salama, conversation zetu ziko very short, No stories between us labda mara mojamoja sana akiwa na mood. Hata calls zetu ni dakika moja au mbili. This was a redflag to me. Na yuko hivi toka nimeanza kumjua.
Mwaka jana mwezi wa 9 kuna siku niliongea naye muda mrefu sana kama Dakika 40 hivi, sijawahi kuongea naye muda mrefu hivi. Aiseee hii simu ilibadili mtazamo complete kuhusu X, Kuna vitu alijikoroga akaongea akaexpose attitude yake. Nikamuona kabisa huyu ni wale wanawake wa 50% 50%.
Kuanzia hapo nikaanza kukaa chonjo, Mwezi wa 12 nikaacha kabisa kumtafuta, na hajawahi kuniuliza chochote, tumeshaongea kwenye simu mara kadhaa na kuchat whatsapp mara kadhaa. So kwa sasa simuhesabii.
Nimebakia na Y, Last year alikula kitengo mahali, Yupo financially good na ameshaniback up sana baadhi ya vitu, Mungu akipenda mwezi 8 ntaenda kumtambulisha Home.
So narudi kwako @BMX6 angalia strength na weakness za kila mmoja, mwisho siku fanya maamuzi kwa usahihi.
Kuhusu Careen, Watu wanaosema kwamba hamtawezana sababu ya Attitude yake napingana nao, Hiyo attitude aliionesha wakati ambao hamkuwa kwenye mahusiano.
Hiyo kauli aliyosema kwamba "kama kuna vitu huvipendi kwake umwambie na yupo tayari kujirekebisha" Ina maana kubwa mno, Usiichukulie kurahisi.
All in all kila la heri mkuu, Usikurupuke kwenye maamuzi yako.
Sorry kwa post yangu ndefu.
Aysee, Haya bhanaNakumbuka kisa kimoja cha jamaa kuwapa pesa wa chumba wake watatu ili apime uwezo na busara zao kisha amuoe mmoja, jamaa akawapa pesa wa chumba wake ambao hawajuan kisha aka akawambia Ana safiri kwa mwaka mzima 34
Mke mmoja huyu Ali wekeza ile pesa badae a kanuna kiwanja akajenga nyumba ya kisasi Lakin Hati na kila kitu jina la mme wake,
Wapili yeye akafungua biashara ikakua aka sev pesa bank ikawa Mala tatu ya ile
Watatu yeye alikula Bata ikaisha
Jamaa alipo rud kila mwanamke aka mweleza jamaa kilicho tokea.
Lakin unajua kilicho tokea? Jamaa aliamua kumuoa mwanamke mwenye matako makubwa as we know Kati Yao mwenye matako makubwa msha mjua
Annie ndio wife material kula yangu kwake.