feisal firdaus
JF-Expert Member
- Apr 6, 2022
- 424
- 675
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, ingekuwa upendo unaamishika kirahisi ningekuambia namuomba Annie, kwa namna ulivyomuelezea kule awali wakati story bado changa she is wife material, ila ndio vile upendo auhami umemkosea sana huyu bibie.. sijui caryn kakuchanganya na nini na huyo ukimuoa kila siku atakuwa juu yako as kichwa cha familia mtahishia kushindana tu kwa namna ulivyomuelezea yuko mbali sana kutoka ulipo amekuzidi uchumi, akili labda nguvu ndio umemzidi, na ukitaka mwanamke akuendeshe akuzidi hizo vitu, time is the best teacher ngoja tusubiri..How do you tell a person that you're no longer into them without hurting their feelings?
Kula zimeibiwa muhesabu kula tulishakuwa na mashaka nae amelemea upande mmoja wa CarynELECTION RESULTS
ANNIE: Total Votes 79
CARYN: Total Votes 106
(Wakali wa mahesabu hapo ni asilimia ngapi kwa ngapi?)
Wapenzi na wadau wa Live story ya Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni wamempendekeza Caryn kama Mwanamke wa maisha yangu, Kwa matokeo hayo Binafsi nasema kuna haja ya kichwa Cha Uzi kibadilishwe na kuwa Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa Caryn
Asanteni wote kwa ushirikiano wenu [emoji1545]
Ni kweli Mkuu lakini Annie hata kama nikimuacha, nitahakikisha anabaki kuwa kama Rafiki kwangu, siunajua Love can be really without being foreverMkuu, ingekuwa upendo unaamishika kirahisi ningekuambia namuomba Annie, kwa namna ulivyomuelezea kule awali wakati story bado changa she is wife material, ila ndio vile upendo auhami umemkosea sana huyu bibie.. sijui caryn kakuchanganya na nini na huyo ukimuoa kila siku atakuwa juu yako as kichwa cha familia mtahishia kushindana tu kwa namna ulivyomuelezea yuko mbali sana kutoka ulipo amekuzidi uchumi, akili labda nguvu ndio umemzidi, na ukitaka mwanamke akuendeshe akuzidi hizo vitu, time is the best teacher ngoja tusubiri..
Ebu nioneshe mahali nilipoelemea kwa Caryn nduguKula zimeibiwa muhesabu kula tulishakuwa na mashaka nae amelemea upande mmoja wa Caryn
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ukweli wa yote ni wewe mwenyewe unaufahamu, ndg, kosea Kote ila usijekosea kufanya maamuzi yanayogusa hisia na maisha ya hao wanawake wawili, nadhani hata wewe baadae utajajutia sana na utakuwa huna namna ya kusahihisha pale ulipokosea! Ndg,Ni kweli Mkuu lakini Annie hata kama nikimuacha, nitahakikisha anabaki kuwa kama Rafiki kwangu, siunajua Love can be really without being forever
Ila bado nazichanga karata akifika ndio nitajua zaidi
Kwendraaa urafiki my foot, kama unamuacha acha aende kwa amani akakutane na watakaoiona thamani yake na naombea akusahau kabisa, huo urafiki unataka kutengeneza mazingira ya kupasha kiporo sio😁😁🤣Ni kweli Mkuu lakini Annie hata kama nikimuacha, nitahakikisha anabaki kuwa kama Rafiki kwangu, siunajua Love can be really without being forever
Ila bado nazichanga karata akifika ndio nitajua zaidi
ndicho ninachowaza kufanya,niko kwenye mazungumzo na mwanasheria wanguKata rufaa
kura nimepiga,wewe dada etu annie umemchoka tu,subiria bomb letuWakati Team Caryn wanashusha Nondo mlikuwa wapi?
Nitachangia malipo mama😅ndicho ninachowaza kufanya,niko kwenye mazungumzo na mwanasheria wangu
Usijali mambo yakienda sawa utaalikwa
Afadhal[emoji38]Nitachangia malipo mama[emoji28]
Nushukuru sana Kaka kwa ujumbe mzito, naamini Mungu ataniongoza katika kufanya maamuzi sahihiUkweli wa yote ni wewe mwenyewe unaufahamu, ndg, kosea Kote ila usijekosea kufanya maamuzi yanayogusa hisia na maisha ya hao wanawake wawili, nadhani hata wewe baadae utajajutia sana na utakuwa huna namna ya kusahihisha pale ulipokosea! Ndg,
Annie nadhani ndiye mwanamke aliyetoka na wewe mavumbini na aliweza kukuvumilia kwa ujinga na uchafu wako wote uliokuwa unamfanyia dhidi ya mwasibu, na hata pale ulipokuwa huna kitu pia hilo halikuwa ni tatizo kwake maana yeye aliasing katika upendo na mapenzi yake kwako, na ametumia hisia na akili kuwa kwako,
Lakini upande wa pili wa shilingi yaani
Carry! Huyu amekuwa karibu na wewe kutoka ana vile mzee wake amekuwa akikuelezea mbele ya familia yake, hivyo kama mtoto akataka kuthibitisha kile ambacho baba amekuwa akiwaeleza kuhusu wewe, carry yupo kwako kwa sababu ya potential yako uliyo nayo hana mapenzi ya dhati kwako kama Annie, ila yeye anakupenda maana anaamini una kitu ambacho kitawakisha mahali, ila wewe kama mwanaume fanya uamuzi sahihi wa nani hasa anastahili kuwa mke, na mama wa familia yako na msaidizi wako ambaye ataweza kukuvumilia bila manyanyaso ya aina yeyote ile,
Dah! Ila ww humpendi Caryn kabisa yani, kwani kakufanya nini?Aaah weeh haiwezekani naandamanaaa.. Haya BM kila la heri katika safari yako ya kubeba mikoba ya Caryn [emoji16][emoji16] ila utukumbukege na ka bonus kamoja ka njia utakayotumia kumuacha mtoto wa watu Annie bila kumuumiza
Annie hawezi kunisahau yule, Atakayemuoa atapata shida sanaKwendraaa urafiki my foot, kama unamuacha acha aende kwa amani akakutane na watakaoiona thamani yake na naombea akusahau kabisa, huo urafiki unataka kutengeneza mazingira ya kupasha kiporo sio[emoji16][emoji16][emoji1787]
Mkuu; nakushukuru kwa kongole. Na mimi nikiri kuwa, story ya BM pamoja na kuongelea maisha yake, lakini inatufundisha mambo mengi sana.Mkuu umeongea vitu vingi vyenye point sana. Yaani umenifanya niwaze hata vile ambavyo sikuwaza. Nimesoma pia majibu ya BM kwako,hakika kupitia hii nimejua mengi. Kwa namna fulani uhalisia,hata vile vitu hakuviweka moja kwa moja kwenye episode,kutokana na kutokuwa na sababu za moja kwa moja kuwekwa,lakini kupitia hii mengine yamefunguka.
Mpaka hapa naweza sema mpaka sasa BM yuko 60 Caryn na 40 inacheza kwa Annie. Kuna sababu za umbali na mengine yasiyoonekana kwa wazi.
Dah! Ila ww humpendi Caryn kabisa yani, kwani kakufanya nini?