BM X6
JF-Expert Member
- Nov 24, 2020
- 1,376
- 4,222
- Thread starter
- #3,561
Nimekuelewa sana, ila hawa unaowaita Pure African Women ni snakes pia huwa hatari sana, she can pretend muda wote wa uchumba then 5 weeks after marrying her anarudi default, unaanza kuona rangi ambazo hujawi kuzionaMimi namchagua Annie .
Ngoja namimi nitoe ushauri wangu . Carryn ni mwanamke ambaye atakubadilisha maisha yako huenda ukapiga hatua kifedha na ukawa mtu wa high class na sio wa kawaida Tena. Lakini Carryn Hana sifa za kuwa Mama Bora na mke Bora Kwa familia Yako. Carryn ni mwanamke ambaye uvumilivu wa kulea watoto Hana na mwisho wa siku atakuforce mzae mtoto mmoja tu , anaonekana anapenda uzungu mwingi.
Carryn hawezi kuishi kwenye umaskini she is born in rich a family, kwahivyo utaishi maisha ya kuhakikisha mda wote you have enough money in your pocket jambo ambalo kiuhalisia haliwezekani.
Carryn linapokuja swala la pesa mapenz hayapo so usije ukategemea kuwa na mahusiano nae kutakufanya unufaike na pesa zake no. Utakapohitaj pesa ya Carryn utatoa maelezo ya kutosha na atahitaji aone matokeo ya pesa alokupa imefanya nini, Carryn sio wale wanawake unaweza mwambia naomba laki Tano Kuna ishu niisolve akakupatia hawezi Fanya hivyo.
Ukiwa na Carryn ukaribu wako na ndugu na marafiki utappungua Kwa sababu hautakua na msaada kwao Tena kwani Carryn atahitaji maelezo madhubuti kuwasaidia ndugu zako na rafiki zako na wengine wataogopa hata kufika kwako.
Annie ni Pure African woman. Anaeheshim na kumsikiliza mwanaume bila kujieleza kwingi.
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Eniwei! Vote counted to Annie [emoji294][emoji294]