Ameshafeli sijui nini kinamsukuma kumpush away binti wa watu ametukia amepambana kwa sababu ya jamaa na ana real love.. ila design kama huyu jamaa hana mpango na Annie kuna kipindi kaenda Mwanza mara 2 ila bibie hawajaonana.. anapoteza dhahabu mbele ya jiweKwendraaa urafiki my foot, kama unamuacha acha aende kwa amani akakutane na watakaoiona thamani yake na naombea akusahau kabisa, huo urafiki unataka kutengeneza mazingira ya kupasha kiporo sio[emoji16][emoji16][emoji1787]
Unajidanganya mkuu, labda kama mna mtoto au ulimtoa usichana wake vinginevyo usibet kwa mwanamke kuwa awezi kukusahahu...Annie hawezi kunisahau yule, Atakayemuoa atapata shida sana
Hatma ya maisha ya mtu haiwezi kuamuliwa na mtu mwingine kamwe. Suala la kijana wa Buguruni au kuwapambanisha Annie & Caryn kwa kura za mchongo ni madoido ya kunogesha stori .. Najua unajua hilo.
SoonTunasubiri hiyo scene ya kuch kuch hot tae
Mkuu naona mnanishambulia mimi tu, mnajuaje na yeye labda ana matukio yake?Akija fahamu umemwacha kwa sababu hizo, amini kaka Hatoyama kukusikia na usije Shanghai hata kama kwa bahati mbaya alipata mimba yako, akaichomoa kabisa au mtoto akizaliwa amwambie baba yako alishafariki siku nyingi sana,
Yaani usinidanganye kwa hilo kaka, maana kila mtu anahitaji kuheshimiwa hisia zake, ila hapo kwa Annie mkuu umezingua pakubwa sana, ni kama ulishamchoka muda sana ila unaogopa kumwambia nimekuchoka, kwa yale ambayo amekutendea, ila kama umeamua kumkatili mkatili sasa kuliko kuendelea kucheza na hisia na muda wake, mkuu,
Idea ya kupigisha watu kura niliitoa kwako Mkuu, na kura yako ndio ilikuwa ya kwanza ambayo ulimpa Annie, lakini kwa masikitiko uliyempigia kura hajalaSikujua Kama wazo la kupiga kura umelifanyia kazi, since then ndo naufungua huu uzi leo, thank you mr.
But sijaelewa kwann wakulungwa wamemuona Caryn na sio Annie, kwasababu ya pesa au huo ukaribu mlio nao sasa. okey pamoja na yote bado nakutakia mema ndugu yangu, kila la kheri
Duh! Annie ana wadau sio mchezo...BM X6 yaani habari za Annie umetulambisha mwiko tu, then story za Caryn umetujazia upawa halafu kwenye kura unawaweka kwenye uzani mmoja!
Ama kweli Annie ameanza kutafutiwa sababu. Ngoja tusubiri.
Kwahiyo haya Matokeo tuyafute sio? Maana naona malalamiko yamekuwa mengiUko sahihi mkuu.. story yote imejaa content ya caryn (ambaye ni co-starring) afu at final anakuja pambanisha na special Appearance (Annie)....
Kwa akili ya kawaida tu BM X6 tayari kichwani analo chaguo lake (ambay ni caryn 99%), izi hapa ni mbwembwe tuu
Unaona hii point yako uliyoandika Paragraph ya kwanza, ndivyo hvyo hvyo nilivyoandika mimi kwenye Summary ya mambo niliyojifunza kupitia hii story, Nadhani hata kesho nikitulia naweza kuipostKupitia comment za watu nimegundua vitu vingi sana moja ni kuwa wanaume wengi wa kibongo ni waoga sana hasa wakikutana well off girl
tunakuwa na full of insecurity, kibaya zaidi Mifumo ya dunia inazidi kumempower mwanamke sijui itakuwaje wazee....
Kwa mfano
Mnaosema annie ni wife material mshajiuliza akiwa na hela ana bahave vipi mnajua mitazamo yake kuhusu maisha/ndoa mnajua family iliyomraise imemkuza ktk maadili yapi na imani ipi na mkumbuke hapa ameongelewa kwa uchache sana.
Mind you sina maana caryn ni wife material hapana kuna angle tu nimeamua kuiongelea.
Oa au olewa na mtu mnaendana up to 80% basii
kazi unayo mzee mwenzanguUnaona hii point yako uliyoandika Paragraph ya kwanza, ndivyo hvyo hvyo nilivyoandika mimi kwenye Summary ya mambo niliyojifunza kupitia hii story, Nadhani hata kesho nikitulia naweza kuipost
Humu ndani Pressure imezidi kuwa kubwa, Nadhani baada ya kesho itabidi ni Uninstall App ya Jf nianze kutumia kichwa changu maana miluzi imekuwa mingi ila najua sio kwa ubaya ni kutaka tu kuwekana sawa na nashukuru mchango wa kila mmojakazi unayo mzee mwenzangu
Kiufupi dawa umeichemsha mwenyeweHumu ndani Pressure imezidi kuwa kubwa, Nadhani baada ya kesho itabidi ni Uninstall App ya Jf nianze kutumia kichwa changu maana miluzi imekuwa mingi ila najua sio kwa ubaya ni kutaka tu kuwekana sawa na nashukuru mchango wa kila mmoja
Ndio kumbe watu tunaachwaga ivi leo ndio nmejua ,hamna kumpenda mtoto wa mtu hadi akuoe bila ivyo utakufa na pressure.wilsonwizzo3 Kura yako tafadhali