Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Sahihi kabisa umeongea fact, ngoja tuone kama itawezekana kwa upande wangu
 
Mwisho umemaliza vizuri kabisa, na Asante kwa maombi[emoji1545]
 
Una moyo mkuu,Mimi angekuwa ashachukua wadogo zake siku nyingi sana
Hapana! hiyo utakuwa una hukumu wengine kwa kosa la mtu mwingine, halafu kumbuka wale ni watoto tu ukifanya hivyo wao ndio watapata shida zaidi. Hapa namsubiri Mzee arudi nishauriane nae kuhusu wale watoto sehemu ya kukaa maana kule kwa sister ni kama nimempelekea mzigo tu japokuwa matumizi natoa mimi
 
Mungu akubariki sana
 
Last time nimepita humu, nilikuta mnapiga kura eti kumchagulia mleta mada amuoe yupi. Mmefikia wapi?

I'm sure atamuoa mtoto wa yule mzee tajiri. Maana yule binti tayari kaonyesha kumzidi akili. By the way, kijana anakwenda kumeza ndoano ya mwisho kabisa na kua MTUMWA wa familia ya huyo mzee.

Maana uzi mzima, mzee this.... Mzee that...
Kwani hauna kwenu brother? You'll never be a king in another man's territory (mzee).

Kumkimbia yule binti kule ofisini ukizuga haupendi kitonga, then kumuacha mchumba wako wa miaka na miaka ili umuoe mtoto wa mzee ni unafki first class!


Hii sio kura, ni man to man kind of a talk. Excuse my language!
 
Wote tumepost ila wewe umeua, kazi kwake BM X6
 
Tunakwenda kumuoa Caryn mzee,mtoto wa kishua lazima awe shemela wetu.
 
Mm nasimama kama "X "

Ni kwamba, mwanaume huwez kumuamini 100%.

Ikiwa tayari nimeshaamua kukupa 100% uwe mume wangu nataka nijue namkabiddhi moyo wangu mtu wa aina gani.

Mimi ni mpole najijua, yule Y tocative ...kwenye mahusiano hujui nimeshadanganywa na wale hit and run wangapi. Mwanaume ananidanganya na ahadi kibao, tena unawaza huyu si angesema tu ananitamani?!😭.

Msemo wa wanaume wote ni walewale una ukweli wake, kama ambavyo ulitaka Y ule ukimbie.

Ni kweli pesa ni kipimo cha tabia ya mtu lkn je unajua ego yangu mie? Kikawaida pesa ni gear tu, brain ipoje? nikiwa na hela, nadhani ni bora uangalie uwezo wa akili kichwani. Na aakiki yako it's balance na yangu?

Unajuaje kuwa y anakulipa fadhila zako kwake?

Bado una kitendawili, unajuaje mama y ni mama mzuri mllezi was watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…