Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Kuna Kampuni nilijichanganya sikusoma vizuri price list yao kwa product niliyokuwa nasafirisha ilikuwa ni $50 per pc mimi nilikariri ni $13.5 per kg so nikampa tu supplier addres yao

Siku nilvyotumiwa invoice ndo nikagundua nimeyakanyaga na nilikua na pc kama 6 hivi [emoji3]
 
Hongera kaka, kama sio ficition story basi Kuna vitu vingi nimevipata kwenye maisha yako
 
Ahaha, kweli uliyatimba
 
Yeah ila tulimalizana kibingwa

Tunasubiria season 3 mkuu
Season 3 mwenyewe siielewi elewi, mambo yakienda ndivyo sivyo naweza nisiiandike kwakweli, ila Bado mapema sana ngoja nisome upepo wa matukio yanavyokwenda
 
Pumbafu zako haha we jamaa muongo mno eti uliingia hukuona gari lolote zaidi ya maland cruiserV8 lakini badae unasema ukaenda kupakia chakula kwenye gari la Alphard!! Nyoko
 
Season 3 mwenyewe siielewi elewi, mambo yakienda ndivyo sivyo naweza nisiiandike kwakweli, ila Bado mapema sana ngoja nisome upepo wa matukio yanavyokwenda
Take your time sisi Tunasubiria hata ikikamilika December ni sawa tu
 
Hongera sana mkuu [emoji52][emoji52] hizi dili sisi walimu tutazisikia kwenye mabomba tuu
 
Hii story ikiiisha itabidi nikutafute bro unipe setup nzima ya hii business ya aircargo maana china Nina connection na hapa Nina kampuni ya clearing na hata Zanzibar inaweza Fanya kazi pia na Nina wadau pale Zanzibar
 
Hongera sana mkuu [emoji52][emoji52] hizi dili sisi walimu tutazisikia kwenye mabomba tuu
Unaweza ukahama fani Mkuu kama ukiona mambo huko uliko hayaendi Kikubwa tu uwe na mipango na connection, Mimi mwenyewe sikuwa huku ila kama unachokifanya kinakupa amani basi upo mahala sahihi coz wanasema Pesa ndio kila kitu ila kila kitu sio Pesa
 
Hii story ikiiisha itabidi nikutafute bro unipe setup nzima ya hii business ya aircargo maana china Nina connection na hapa Nina kampuni ya clearing na hata Zanzibar inaweza Fanya kazi pia na Nina wadau pale Zanzibar
Karibu Mkuu, halafu hii ilifaa kuwa Uzi unaojitegemea, nikipata muda kuna nyama nitajazia halafu nitapost nje ya hii story iwe thread inayojitegemea
 
BM mkuu shukrani sana kwa kushare haya madini na madili hapa

Hivi pesa ya kufungua kampuni ya design hiyo ni kiasi gani

Au kuwa agent wa hayo makampuni utahitaji kuwa na kiasi gani
 
Karibu Mkuu, halafu hii ilifaa kuwa Uzi unaojitegemea, nikipata muda kuna nyama nitajazia halafu nitapost nje ya hii story iwe thread inayojitegemea
Itakuwa vizuri zaidi bro,usisahau kunitag mkuu ukijaliwa kuanzisha hiyo thread.
 
BM X6 angekuwa wale watunzi wa kutunga vitabu

Kitabi chake kingekuwa na mafunzo makubwa mnoo.

Lkn mume BM X6 una stress don't be hubby
 
Mkuu kwahiyo kama nikiwa na mzigo wangu nahtaj kuusafirisha kutoka china kuja Tanzania tunaweza fanya kazi au unafanya na makampuni tu
Mimi nafanya na makampuni ila wewe ndio unatakiwa uende kwenye Kampuni husika ya usafirishaji wakusafirishie then mimi nakuja kuhusika kwenye process za kuutoa huo mzigo Airport na Bandarini. baada ya hapo nakabidhi mzigo kwenye Kampuni then wanakufanyia delivery ww au unaenda kuuchukua ofisini kwao
 
BM mkuu shukrani sana kwa kushare haya madini na madili hapa

Hivi pesa ya kufungua kampuni ya design hiyo ni kiasi gani

Au kuwa agent wa hayo makampuni utahitaji kuwa na kiasi gani
Kwa Kampuni at least isiwe chini ya milioni 30

Kuwa Agent hauhitaji kuwa na mtaji ni wewe tu na Experience yako au kama umesomea pia itakuwa vizuri zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…