Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Nawezaje kuanzisha kampuni ya An agency
 
Kwa Kampuni at least isiwe chini ya milioni 30

Kuwa Agent hauhitaji kuwa na mtaji ni wewe tu na Experience yako au kama umesomea pia itakuwa vizuri zaidi
Kwa budget ya 30m hapo ni setup ya ofisi hapa dar tz na china au kwa hapa dar tz tu,na kama kwa china mji gani ni mujarabu kwa wateja na kupata ofisi
 
Kwa budget ya 30m hapo ni setup ya ofisi hapa dar tz na china au kwa hapa dar tz tu,na kama kwa china mji gani ni mujarabu kwa wateja na kupata ofisi
Hiyo Budget ya Ofisi zote mbili japo kwa upande wa China utaanza kwa kujibana, hii nitakuja kuieleza zaidi kwenye thread

Na mji mzuri kuweka Ofisi ni Guangzhou kwasababu huko ndio kuna masoko mengi so ni rahisi kwa supplies kufikisha mzigo ofisini, japo unaweza kufungua Ofisi katika mji mwingine kutokana na sababu zako unazoona zinafaa
 
Isijekua ndo ww Caryn tunaekuongelea humu,maana as far as i know BM X6 kaweka code za maana humu,hebu anzia kusoma stor toka mwanzo na usome tartiibu kbs,unaeza kuta yaliyomo yamo😂
 
Si kwa kufanya kazi, unaanza kufanya kazi na mtu mwenye experience yeye ndio atakuongoza, mwisho wa siku unai master kazi
Tuambie basi..mama mjengo karudi anasemajee[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji39]

Au hujammiss[emoji1]
 
Nimeweka like ya 40 hapo!
Salute.
 
Best comment🤍♥️
 
Unajua kuwaza sawa sawa,best comment
 
Kaka nikitaka kuanzisha hii company what are the procedures
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…