Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

😁😁
Mkuu kahawa sio nzur kwa afya yako ukiitumia kwa muda mrefu
 
Asante nitaangalia alternative nyingine
 
Umekuwa robot sasa. Kiafya si nzuri hii though pesa ni tamu mkuu😊
 
Kula miraa mkuu,ila nayo ukizidisha cku 3 hujalala unaeza anguka kwa kizunguzungu na hapo usingiz hakuna ila ni mwili umechoka,
 
Mkuu kama hautojali ningependa kujua chuo ulisomea nini hasa na je kazi unazofanya sasa hivi zinahusiana na kile ulichosomea, maana binafsi nisije nikawa najilimit mwenyewe kwa kudhani kwamba kwa hiki nilichosomea, kuna kazi zinazohusiana na mambo fulani sitaweza kuzifanya kumbe ni vile tu nimekosa connection
 
Nitajali Mkuu, ila kwa kifupi courses nilizosomea hazihusiani kabisa na kazi ninazozifanya

Safari moja huanzisha nyingine, Kazi yangu ya kwanza ndio imenipa connection hizi zote kikubwa ni kujiamini tu, na kama usipojiamini ww basi onesha uwezo ili mtu wa karibu yako akuamini, kwasababu mimi mwenyewe kuna vitu vingine nilikuwa nasita kuvifanya lakini Mzee alikuwa akiniambia kuwa naweza

Hivyo kama siyo yule Mzee kwakweli hata mimi ningekuwa ni mtu wa kujilimit

Mzee (Baba yake Caryn) anakuambia Jitafute ukijipata Jitafute tena ukijipata Jitafute tena
 
Haha safi sana mkuu i love the spirit, endelea kupambana bila shaka naamini kazi unazofanya zinakupa mpunga mrefu pia, anyway vipi sasa muendelezo wa story august ndio hii hapa
 
Piga kazi mkuu
 
Truth, Yaani UKWEEELIπŸ‘† πŸ‘† πŸ‘†
 
Hii story nilikua naipita tu ila baada ya kusema acha niisome nione kuna kipi ndio nika prove the say "Do not judge the book by only looking at the cover"... Story imekuwa na mengi zaidi ya kujifunza kuliko nilivyotegemea salute kwa mleta mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…