Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Ndugu zangu mpo humu? I hope wote ni wazima. Nimepita kuwasalimia kwa jina la Jamhuri

Leo bhana nina hamu ya kuonana na member yeyote wa humu, Around saa 11 jioni nitakuwa Serena Hotel kama Kuna member yeyote atakuwa maeneo hayo tushtuane tupige story mbili tatu
 
acha kututisha bwana, yani nimekurupuka nkajua tayari kumbe wapi...BM bwana tunahitaji kujua utaleta lini mwendelezo,hizo salam zinaleta njaa....
 
Caryn atakuwepo?
 
acha kututisha bwana, yani nimekurupuka nkajua tayari kumbe wapi...BM bwana tunahitaji kujua utaleta lini mwendelezo,hizo salam zinaleta njaa....
Kabla huu mwezi haujaisha nataka nianze kuandika, kama mambo yataenda vile yalivyopangwa
 
Kabla huu mwezi haujaisha nataka nianze kuandika, kama mambo yataenda vile yalivyopangwa
daah! Japo milango ya kanisa na msikiti siijui, lakini mungu akutie wepesi, utuondelee hii arosto mkuu...
 
Nipo mkuu ila kwasasa nipo busy mno kupita maelezo ndio maana nipo kimya ila huwa naingia mara moja moja humu kuchungulia

Na nipo busy kwasababu nafanya kazi tatu katika kampuni tatu tofauti, na kazi pia zimetofautiana

Kampuni ya kwanza nadhani wote mnaijua, Ile ya Mzee ya Usafirishaji

Kampuni ya pili pia ni ya Mzee Ile ya Real Estate ambayo Michelle ndiye Director

Kampuni ya tatu hii bado sijajua kama ni ya Mzee au lah, ila connection imetoka kwake, hii ni kazi ya tofauti kidogo pengine nikija kuendeleza story nitapata wasaha wa kuielezea kiundani, ila kwa kifupi ni kazi flani inahusiana na mtandao wa simu wa hapa Bongo katika kuweka/kuboresha Internet speed (5g) na hii kazi inafanyika usiku tu

Huo mtandao hiyo tenda wamewapa wahidi na Mimi ndio nafanya nao kazi, Sasa utaona namna ratiba yangu ilivyokuwa ngumu, hapa nilipo najiandaa kwaajili ya Kazi ya Usiku huu, At least kesho Jumapili nitapumzika ila Jumatatu naamkia Ofisini kwa Michelle nikitoka kwa Michelle nalala masaa matano naingia night shift na wahindi hadi asubuhi siku hapo inakuwa imegeuka na kuwa Jumanne so natakiwa kuwepo Bandarini kwaajili ya kutoa mzigo, hadi saa sita mchana nakuwa nimeshamaliza, so muda huo naenda kwa Michelle kuendelea na Ratiba zingine hadi saa kumi jioni narudi nyumbani kulala kwaajili ya maandalizi ya Kazi ya Usiku tena (That's daily routine)

Uzuri huku kwa Caryn huwa nahitajika Jumanne na Jumamosi tu, ila kwa Wahindi ni Kila siku usiku kasoro Jumapili na kwa Michelle pia ni karibia Kila siku inategemea na wingi wa wateja pia

Changamoto yangu kubwa ni usingizi, coz sometimes nalala masaa machache hivyo nikiingia job usiku sitoboi hadi asubuhi by Saa nane au tisa usiku usingizi unanikamata kama Jana ilibidi tusitishe kuendelea na kazi kwasababu ya Usingizi

Dawa ya kukata usingizi ni gani? kahawa siwezani nazo
Dawa ya usingizi ni kulala. Kama kwa wahindi ni kila siku, jitahidi kwa Michelle nako uwe na ratiba ya kutokwenda kila siku.
Inatia moyo kuwa Tz ina shughuli za kumbana MTz mpaka hana muda wa kulala, tunayasikia ughaibuni tu. Natumaini maslahi yanaridhisha. Kila la Kheri!
 
Maslahi ni mapana, I mean si haba
 
Wakuu Serena Cancelled, now tupo Seashore Beach Resort! Kama Kuna member yupo nearby this area Come & say 'Hi' to Caryn
IMG_20230909_181428_105.jpg
 
Back
Top Bottom