Kazetela
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 1,714
- 1,642
Shukrani Sana kwa respondSawa nitaupitia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani Sana kwa respondSawa nitaupitia
acha kututisha bwana, yani nimekurupuka nkajua tayari kumbe wapi...BM bwana tunahitaji kujua utaleta lini mwendelezo,hizo salam zinaleta njaa....Ndugu zangu mpo humu? I hope wote ni wazima. Nimepita kuwasalimia kwa jina la Jamhuri
Leo bhana nina hamu ya kuonana na member yeyote wa humu, Around saa 11 jioni nitakuwa Serena Hotel kama Kuna member yeyote atakuwa maeneo hayo tushtuane tupige story mbili tatu
Caryn atakuwepo?Ndugu zangu mpo humu? I hope wote ni wazima. Nimepita kuwasalimia kwa jina la Jamhuri
Leo bhana nina hamu ya kuonana na member yeyote wa humu, Around saa 11 jioni nitakuwa Serena Hotel kama Kuna member yeyote atakuwa maeneo hayo tushtuane tupige story mbili tatu
Kabla huu mwezi haujaisha nataka nianze kuandika, kama mambo yataenda vile yalivyopangwaacha kututisha bwana, yani nimekurupuka nkajua tayari kumbe wapi...BM bwana tunahitaji kujua utaleta lini mwendelezo,hizo salam zinaleta njaa....
daah! Japo milango ya kanisa na msikiti siijui, lakini mungu akutie wepesi, utuondelee hii arosto mkuu...Kabla huu mwezi haujaisha nataka nianze kuandika, kama mambo yataenda vile yalivyopangwa
Dawa ya usingizi ni kulala. Kama kwa wahindi ni kila siku, jitahidi kwa Michelle nako uwe na ratiba ya kutokwenda kila siku.Nipo mkuu ila kwasasa nipo busy mno kupita maelezo ndio maana nipo kimya ila huwa naingia mara moja moja humu kuchungulia
Na nipo busy kwasababu nafanya kazi tatu katika kampuni tatu tofauti, na kazi pia zimetofautiana
Kampuni ya kwanza nadhani wote mnaijua, Ile ya Mzee ya Usafirishaji
Kampuni ya pili pia ni ya Mzee Ile ya Real Estate ambayo Michelle ndiye Director
Kampuni ya tatu hii bado sijajua kama ni ya Mzee au lah, ila connection imetoka kwake, hii ni kazi ya tofauti kidogo pengine nikija kuendeleza story nitapata wasaha wa kuielezea kiundani, ila kwa kifupi ni kazi flani inahusiana na mtandao wa simu wa hapa Bongo katika kuweka/kuboresha Internet speed (5g) na hii kazi inafanyika usiku tu
Huo mtandao hiyo tenda wamewapa wahidi na Mimi ndio nafanya nao kazi, Sasa utaona namna ratiba yangu ilivyokuwa ngumu, hapa nilipo najiandaa kwaajili ya Kazi ya Usiku huu, At least kesho Jumapili nitapumzika ila Jumatatu naamkia Ofisini kwa Michelle nikitoka kwa Michelle nalala masaa matano naingia night shift na wahindi hadi asubuhi siku hapo inakuwa imegeuka na kuwa Jumanne so natakiwa kuwepo Bandarini kwaajili ya kutoa mzigo, hadi saa sita mchana nakuwa nimeshamaliza, so muda huo naenda kwa Michelle kuendelea na Ratiba zingine hadi saa kumi jioni narudi nyumbani kulala kwaajili ya maandalizi ya Kazi ya Usiku tena (That's daily routine)
Uzuri huku kwa Caryn huwa nahitajika Jumanne na Jumamosi tu, ila kwa Wahindi ni Kila siku usiku kasoro Jumapili na kwa Michelle pia ni karibia Kila siku inategemea na wingi wa wateja pia
Changamoto yangu kubwa ni usingizi, coz sometimes nalala masaa machache hivyo nikiingia job usiku sitoboi hadi asubuhi by Saa nane au tisa usiku usingizi unanikamata kama Jana ilibidi tusitishe kuendelea na kazi kwasababu ya Usingizi
Dawa ya kukata usingizi ni gani? kahawa siwezani nazo
Maslahi ni mapana, I mean si habaDawa ya usingizi ni kulala. Kama kwa wahindi ni kila siku, jitahidi kwa Michelle nako uwe na ratiba ya kutokwenda kila siku.
Inatia moyo kuwa Tz ina shughuli za kumbana MTz mpaka hana muda wa kulala, tunayasikia ughaibuni tu. Natumaini maslahi yanaridhisha. Kila la Kheri!
Seashore? Asee Boss jioni hii na mm nilikuwa maeneo ya Ramada hapoWakuu Serena Cancelled, now tupo Seashore Beach Resort! Kama Kuna member yupo nearby this area Come & say 'Hi' to CarynView attachment 2744132
Wakuu Serena Cancelled, now tupo Seashore Beach Resort! Kama Kuna member yupo nearby this area Come &
Bm Kaka mkubwa tunasubr mwendelezo......say 'Hi' to C
m-tag mkuuBm Kaka mkubwa tunasubr mwendelezo......
@BM X6 huyu apa kevom-tag mkuu