Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Ulivyosema Caryn hajaonesha dalili kwa BM ndio nimeona hujasoma yote,.. mtoto kaingia kingi kitambo
[ndio nimemaliza saiv mpak anasema yupo tayr kumvumilia BM Kama kunatabia hazipendi ataacha
 
Sad news for the boy. Mungu ampe pumziko la milele
 
Poleni sana inasikitisha mno. Mkuu twakuomba umalizie stori basi maisha yasonge.
 
Kuna kigongo kipya kitaingizwa Jf kwa mara ya kwanza kabisa.
Wale wapenzi wa vitu vya kijasusi vilivyoshiba msikose hii kitu ..(MABADUNI WA SERIKALI).
Kigongo kina sura sita tu, na bado sura mbili kikamilike.


Ningepost lakini naijua arosto ya wadau humu wanaweza kukuombea dua mbaya hivyo naiheshimu sana hadhira.
Wakosoaji wasikose, narudia tena, wasikose. Maana wanaleta ukamilifu ambao nautaka...
SOON TO BE THERE.
 
Tunaisubiri kwa hamu mkuu
 
Daah rest in peace Kijana wa Buguruni, pole sana mkuu hata mimi nimeumia kiasi chake, maana ndiye sababu kuu ya kutuletea hii series
 
RIP kijana, sad news
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…