Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Sikuoni kule kwa insider mara kibao nakutag.. na story imeisha
 
Michelle humwambii kitu kwa huyo bwana ake dah hadi yupo tayari kumharibia Bm
Huko ni kukumbatia bomu. Huwezi kufanya kazi kwa weledi na mtu umpendaye kumoyo. HAIWEKEZANI asilani. Michelle Alitakiwa kumtafutia connee jamaa yake kwingine na siyo ndani ya kampuni aingozayo. Sasa kumtoa kafara BM6 ni kuharibu haiba yake, familia na kampuni kwa sababu kila kimoja ni trigger kwa kingine.
 
Habari za masiku ndugu zangu, naimani watu wote mliokuwa mnaifuatilia hii story ni wazima, maana ardhi siku hizi inameza watu kwa wingi, kwa upande wangu wote wazima isipokuwa tulipoteza maisha ya mshiriki mmoja kwenye hii story (nadhani hii taarifa nilishaitoa siku za nyuma)

Anyways, wanasema kazi ya Mungu haina makosa, pole kwa wale wote waliofiwa na ndugu, jamaa na marafiki zao naimani tuliobaki tutaumaliza huu mwaka salama, Lakini nasikitika kwamba huu mwaka hadi unaisha bado sijaleta muendelezo, kwakweli sikuwaza kwamba Itafika December halafu muendelezo bila bila!

Ila niwahakikishieni kwamba muendelezo bado upo pale pale ila sijajua ni lini lakini kwa huu mwaka ndio imeshashindikana ngoja tuangalie mwakani Mambo yatakavyoenda, Mimi Mwenyewe nasubiria kwa hamu siku nitakayoanza kuandika muendelezo wa hii story kwa sababu.... Aiseee!!! Acheni tu nyie jamani. Maisha haya
 
Nani alifariki mbona sikuona hicho kipande
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…