hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikuoni kule kwa insider mara kibao nakutag.. na story imeishaUncle BM X6 , mimi na uncles kwa aunts zangu
Statics
hermanthegreat
KipajiTz
Cauldron
Jadda
mshamba_hachekwi
pretta360
Mabusu
To yeye
Kambi ya Fisi
Kelvin35
Nourhan
Lightone
Shunie
Gentlemen_
Edo kissy
Missy Gf
hardboy
Valentina
babamwenyenyumba
Antonnia
Kambi ya Fisi
ilore
Sonko Bibo
Lamomy
akanyambasira
trudie
MIRA01
tunaomba basi muendelezo uncle.........
nichkue pia nafasi hii kupongeza TANESCO kwa leo
we acha2 maisha na mapenz ni mabaya sana, siku hz nipo kama sipo, nawaza bora nirud nyumban JFSikuoni kule kwa insider mara kibao nakutag.. na story imeisha
Kimekupata nini mkuuwe acha2 maisha na mapenz ni mabaya sana, siku hz nipo kama sipo, nawaza bora nirud nyumban JF
Duuh! polewe acha2 maisha na mapenz ni mabaya sana, siku hz nipo kama sipo, nawaza bora nirud nyumban JF
hahahaha kumbe ulikuwa na mpangoDuuh! pole
unatutisha nasi wenye mpango wa kuingia huko
Unaweza kujaribu bahati yako lakini kuw makinDuuh! pole
unatutisha nasi wenye mpango wa kuingia huko
Kikulacho ki nguoni mwako 😔😰Kimekupata nini mkuu
Huko ni kukumbatia bomu. Huwezi kufanya kazi kwa weledi na mtu umpendaye kumoyo. HAIWEKEZANI asilani. Michelle Alitakiwa kumtafutia connee jamaa yake kwingine na siyo ndani ya kampuni aingozayo. Sasa kumtoa kafara BM6 ni kuharibu haiba yake, familia na kampuni kwa sababu kila kimoja ni trigger kwa kingine.Michelle humwambii kitu kwa huyo bwana ake dah hadi yupo tayari kumharibia Bm
Km uko na story nitag bas umuNahisi careen kashauona huu Uzi. BM X6 kabananishwa ana pa kupumilia lazima atulie tu
Nani alifariki mbona sikuona hicho kipandeHabari za masiku ndugu zangu, naimani watu wote mliokuwa mnaifuatilia hii story ni wazima, maana ardhi siku hizi inameza watu kwa wingi, kwa upande wangu wote wazima isipokuwa tulipoteza maisha ya mshiriki mmoja kwenye hii story (nadhani hii taarifa nilishaitoa siku za nyuma)
Anyways, wanasema kazi ya Mungu haina makosa, pole kwa wale wote waliofiwa na ndugu, jamaa na marafiki zao naimani tuliobaki tutaumaliza huu mwaka salama, Lakini nasikitika kwamba huu mwaka hadi unaisha bado sijaleta muendelezo, kwakweli sikuwaza kwamba Itafika December halafu muendelezo bila bila!
Ila niwahakikishieni kwamba muendelezo bado upo pale pale ila sijajua ni lini lakini kwa huu mwaka ndio imeshashindikana ngoja tuangalie mwakani Mambo yatakavyoenda, Mimi Mwenyewe nasubiria kwa hamu siku nitakayoanza kuandika muendelezo wa hii story kwa sababu.... Aiseee!!! Acheni tu nyie jamani. Maisha haya
Yule kijana wa buguruni alifundishwa kazi za furnitureNani alifariki mbona sikuona hicho kipande