Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Sawa
 
Kuna muda ukiwa peke yako unaweza kuona km wewe ndy Una matatizo makubwa na unapitia magumu hapa duniani na huishi kumlalamikia MUNGU kila siku, kila saa,kila dakika,ila kuna watu wanapitia magumu mara Mia zaidi yako na hawalalamiki km wewe

Hiki kipande nimejifunza km mtu unaamka asubuhi mzima wa afya na unaenda mishe,basi ni Jambo la kumshukuru sn MUNGU maana kuna ambao hatma ya maisha Yao inategemea huruma na neema ya MUNGU..Kwao hata mlo mmoja wa siku ni tukio la kubeti

Stori ya hao madogo inasikitisha na kugusa Sana[emoji24]..

Kwetu Sisi wenye uhakika wa Kula,kuvaa na makazi tuna kila sababu ya kushukuru MUNGU Kwa vichache tulivyobarikiwa

Tunasubiri hiyo last episode
 
Huyo kijana wa buguruni (kaka mkubwa) kapiga tukio kwa mzee na wewe ndo uliwapeleka. Na mzee anaachaga pesa zake ndani.... na vile vitu vitatu ambavyo ni tamaa, njaa na upuuzi hutaki uonekane unavyo


Now it makes sense
 
Kwa ambao tunajifunza Kwa kila tukio tunainjoy story,mfano changamoto za vijana wa mtaani,nimejifunza kitu kujumuika nao ni vizur Sana na kuwakumbuka ni dhawabu kubwa mbele za mungu, umuhimu WA kuwa muaminifu,BM alienda Zanzibar karudisha chenji hakuonesha tamaa Leo hii anatakiwa kuachiwa ofisi ya bi mkubwa, amejenga connection na Mzee kwasababu ya sifa nzuri alijijengea ofisini mpaka bimkubwa akauza faili Kwa Mzee,haya ni mafunzo tunayapata,lkn bahati mbaya baadhi yetu ukiyasema haya unaambiwa ni ID ya mtoa post.

let us think Big
 
Mtoa post kuna sehemu kafeli,angeweza kuifanya story yake ionekane kisa cha kweli lakini sasa inaonekana ni story tu
 
Aaaah mambo gani sasa. Kila mara ni ngori tu mashida tu.
Landlord fungua keja hujui jana nililala njaa...
 
Ebwana kwanza nikupongeze accountant kwa kuandika namna hii maana kws kweli unaandika si mchezo nasubiri umalize nkushauri vizuri....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…