Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Nyie vijana msiokua na vifua ndo mnataka tuwape madaraka serikalini.

Yaani ndani ya muda mfupi tuu umeanza kutoa siri za nyumbani kwangu na baadhi ya mambo yangu, vipi nikikuingiza kwenye mambo ya kibiashara utaweza kweli.

Vijana badilikeni tunawapima kwa vitu vidogo Sana pia jitahidini kutunza siri za waliowaamini tafadhali sana
 
Inaendelea badae acha nipate msosi.....story yangu ina episode 2 tu, hiyo episode ya pili ndio muhimu zaidi Sababu ushauri wako ndio unahitajika hapo
Hivi "baadae" hua ni baada ya masaa mangapi naona bora ungesema itaendelea wiki ijayo..
 
Dah haya mambo haya!, napata mashaka isije ikawa kama ya bwana yule.... Yeye kila baada ya muda fulani anarudi kwao kupika sadaka then maji ambayo watu watanawa kabla na baada ya kula huyahifadhi vizuri na kurudi nayo mjini kwaajili ya mambo yake ya kuwa rich one!.

Sasa isijekuwa mwamba kaharibu alivyoosha vyombo [emoji1787]

Onyo: usiwe mwepesi wa kupokea hovyo offer, vitu vya anasa au kula kula hovyo vya watu, ipo siku itakucost in one way or another
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…