Aslan Hatun
Senior Member
- Aug 31, 2021
- 100
- 449
Nyie vijana msiokua na vifua ndo mnataka tuwape madaraka serikalini.
Yaani ndani ya muda mfupi tuu umeanza kutoa siri za nyumbani kwangu na baadhi ya mambo yangu, vipi nikikuingiza kwenye mambo ya kibiashara utaweza kweli.
Vijana badilikeni tunawapima kwa vitu vidogo Sana pia jitahidini kutunza siri za waliowaamini tafadhali sana