Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Ukishasimamisha biashara ya kijana ikasimama baadae utaulizwa

Kama umeweza kusimamisha biashara ya kijana asiye na experience yoyote kwanini wewe kila siku unasema huwezi na hujawahi kufanya biashara? Nguvu na akili uliyo itumia itumie pia kusimamisha biashara yako binafsi.
Na huo ndio utakuwa mwisho wa story
 
Ushauri wako nimeuongeza kwenye list yangu, lakini hapo kwa Caryn me naona nikipata muda nikukutanishe nae tu mkuu
 
Kama nimekuelewa vizur hapa unamaanisha nikienda nao sawa hawa watatu natoboa Yani Annie, Accountant na Caryn....huko kwingine nisiumize kichwa sio
 
Kama huna saving yeyote bank Mzee kubali kupata kamsereko wakati ukijipanga baadae unachukua talaka yako unarudi kwa Annie

Ishu ya biashara ingependeza ujue kijana Anaweza nini kupitia yeye utajua cha kufanya na unaweza kuomba ushauri kupitia mawazo yake humu utakosa watalaamu
 
Mtihani uliopo Hapo sio wa huyo dogo kufanikiwa Kwenye hiyo biashara utayomuanzishia Hadi amudu kulipia Kodi ya nyumba baada ya miezi sita,

Mtihani uliopo ni wewe kuanzisha biashara yako uisimamie kilakitu huyo dogo ndo awe mfanyakazi mkuu ndani ya miezi sita faida inayopatikana iweze iweze kuendesha maisha ya dogo na wadogo zake pamoja na kulipia Kodi ya nyumba watayokuwa wanaishi ambayo Kodi Ni laki kwa mwezi.

Ukifanikisha Hilo mzee ndo atajua unaweza kusimamia biashara effectively(umeweza kum_manage mtoto wa kitaa)

Hivyo atakupa miradi yake usimamie na caryn ukipendezwa naye Ni wewe tu unaoa.
 
Ni muandishi mzuri wa hadithi kusema ukweli, ila kama unazitoa kwenye vitabu vya wazungu tutakudaka, by the way very nice story iliyo na mpangilio mzuri pia mzeiya, big up.
 
Kwenye wafanyakazi wako wale wa take away
 
Huu ndio ushauri asipokusikiliza hatokua na mwisho mzuri
 
Ni muandishi mzuri wa hadithi kusema ukweli, ila kama unazitoa kwenye vitabu vya wazungu tutakudaka, by the way very nice story iliyo na mpangilio mzuri pia mzeiya, big up.
Huu ni uhalisia Mzee, kwa kifupi hapa tuliposhia hata Mimi mwenyewe sijui muendelezo utakuwaje, kitakachotokea ndicho nitakacho kiandika huko mbeleni
 
Kumuoa tena Caryn!!! Sasa na Annie nitamuachia nani mkuu?
 
Aisee bonge la changamoto kikubwa tulia na ujioe mida wa kutafakari kwenye hicho kipindi cha likzo yako ili urudi na majibu yatakayo kuweka huru pande zote mbili
 
Kwanini ninasema ni ya kutunga?
Tittle/heading ya kijana wa Buguruni uliiweka mwanzo wa uzi lkn mtihani wenyewe umewa juzi tu na Caryn alipomshauri babake awasaidie hao vijana.

Lakini wewe ulishamtaja kijana kweny
Excellent observation.
 
Nauzingatia ushauri wako mkuu, utajua pia nikiacha Kazi huu mtihani wa Mzee nitashindwa kuufanya maana unahitaji pesa na Mzee kasema nitumie Pesa yangu, hapo nambie inakuaje?
Mwambie Huyo mama ofisini akupe mda zaidi wa kufikiria kumvisha Pete mwanae...kikwazo no hao wa office. Wapange wasikupelekeshe!
 
Kula kitu kinawezekana..wakipata biashara sahihi inayotoka fasta has a hayo maeneo ya buguruni..
Ila jamaa hajajua biashara gani maana hajawahi hata kuuza kyupi according to his Convo with caryn
So hapa ni kama unakuja ujumbe kutoka kwa mzee
"UNATAKA KUWA MFANYABIASHARA LAKINI HATA WAZO LA BIASHARA NDOGO HUWEZI,UKILIWEZA HILI DOGO KWA PESA YAKO,NTAKUWEZESHA LILE KUBWA KWA PESA YANGU,SIWEZI RISK PESA YANGU BILA KUKUJARIBU"
 
Hapana, According to Caryn, Mzee kasema atatoa Kodi ya miezi sita ila Mtaji ndio natoa mm ila tu nihakikishe baada ya miezi sita kijana aweze kujilipia Kodi kupitia Biashara nitakayomfungulia
"HUWEZI FANYA MAKUBWA KAMA MADOGO YANAKUSHINDA.MZEE KAKUPA HUO MTIHANI KUKUPIMA.MAANA UMESEMA HUJAWAHI UZA HATA CHUPI
ATARISK PESA YAKE.
HAPA MZEE ANAKUPA EXPERIENCE ULIMWENGU WA BIASHARA.ANAKUPIMA UWEZO WAKO.
HUWEZI BUNI WAZO LA BIASHARA HAT LA MIL MOJA UNATAKA UWE MFANYABIASHARA MKUBWA WA MIL 50?
UKIFELI HILI SAHAU KUFANYA BIASHARA.UNAPiMWA KWA KIDOGO.
 
Mkuu wewe una hekma Sana. Mungu akubariki.. ila Kuna upande una story nao kwenye jinsi ulivyokutana na Annie..

Kisa chako kilinikumbusha mbali Sana, mwanamke nilidate nae chuo Mwaka wa pili wakati tunarejea Chuo nikakuta jamaa mmoja amenipindua. Pale getho Chuo(chumba Chao mtu4) nilikuta mgeni na Kuna snacks watu wanakula. MTU mzima Ile naingia sikustukia haraka baadae nikivyoaga nikajiuliza maswali.

Yule jamaa ni nani, Kwa nini nne usiku Yuko room Tena Kwa mwanamke ninayemtarajia awe mke. Mchizi alimchakaza papuchi yake hatari. Kitu kama miezi 6 hivi akamwaga. Sasa Kwa sababu nimekuwa nikimsumbua Sana na GPA zilikuwa zinashuka, Mzee Mimi nikashamgaa binti yule wa kinyaturu ananitejelea.

Tukaanza uhusiano nikiwa block Moja hiv na mate wangu, wazee wakati nakagua Ile papuchi jamaa kaichakaza hadi mashavu yametepeta na yamebadilika rangi

Mkuu nilipinduliwa. Ni miaka 10 na zaidi sintasahau.
 
Dah![emoji1544][emoji1544] huyo jamaa kwani alikuwa anaifanyaje hiyo Papuchi asee
 
Duh, kwahiyo Demu akawa hayupo katika ubora wake tena sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…