Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Kujipima nkama najua business nianze na chupi
 
Acha maisha ya uongo uongo coz inaonekana huwezi kuyamudu.

Mwambie mama ukweli, usikute huyo acc. ana mtu wake basi tu anapenda vile anakuhandle na ww unajaa kweli.

Kuhusu mzee, we mtafute dogo ukae nae umuulize mawili matatu na yeye anawaza nini? Maana kumoa mtaji mkubwa na dogo hajawah kushika pesa ndefu ni kumchanganya tu dogo.
 
watu wanakela sana aseeeee
 
Mkuu bm X kama unahitaji kujua ni Aina gani ya biashara ya kumfungulia huyo dogo nitafute nikupe kitabu kinaitwa BUNI WAZO LA BIASHARA kimetayarishwa na ILO shirika la kazi duniani. Kama unapata shida ya kujua ni biashara gani itakuwa suitable kwa huyo dogo.

Hiki kitabu kina formula zote hata wewe mwenyewe kitakusaidia hata kwa biashara yenye mtaji wa 100 M. PM namba yako nikupigie naishi Makumbusho kazi zangu nafanyia Gerezani Kariakoo na Posta.
 
Hope wote mko sawa

Ndugu zangu Jana nilienda kuwachukua wale madogo kule, niliongea na sister angu kwake anachumba Cha nje, hicho chumba ni kama vile Cha kufikia wageni, Sasa nilimuelezea situation nzima Nikamuomba akae na hawa madogo kwa kipindi hiki huku nikiendelea kuwatafutia nyumba, Mungu mkubwa sister akakubali, so Jana ndio niliwaleta huku

Sasa Leo nilikuja kuwachukua Hawa madogo niwapeleke hospital sana sana huyu wa kike....nilichokutana nacho huku hospitalini Sasa ndio kimenichosha

Yani mtu wa maabara anaongea na simu huku Kuna wagonjwa wanasubiri huduma, Kwenye Madawa ndio funga mwaka, nae alikuwa ni mdada, alichokifanya huyu mdada eti kaenda kulala kwenye meza ya mwenzake anaye wahudumia wamama wenye watoto, Sasa tumekaa karibia nusu saa Ile kuchungulia chungulia si ndio akaonekana huko amelala!!!

Hospital yenyewe inaitwa Makangarawe ipo huku Yombo, asee kama kuna wahusika mpo humu pitieni haya maeneo na kwingineko raia wanapata shida

All in All Madogo wanaendelea vizuri, ila Caryn anasumbua jamani, ananipeleka mbio sana, lakini si kwa ubaya coz bila yeye nisingewachukua Hawa madogo na kuwapeleka kwa Sister
 
Nyota njema, hapo ni HEKIMA tu pamoja na mikazo
 
Kitabu bei gan?
 
Kitabu bei gan?
Hivyo vilikuwa vinauzwa sh 10,000 lakini sasa hauwezi kukipata labda uende Ofisi za Shirika la Kazi duniani ILO na hapa Dar Ofisi naona kama hazifunguliwi siku nadhani mpaka Dodoma. Nitafute PM nikupe ukatoe photocopies
 
Salaam ndugu! Hongera kwa uandishi poa, ila pole kwa yanayokukabili, utashinda Muamini Mungu, wacha mm nikushauri wazo zuri la biashara ambapo mm nimemwezesh mtua kwa mtaji wa huu;

1.boda used ya 1.5
2.akatiwe leseni class d tu kama laki2
3.bima ya boda kama 70k
4.latra ya 25k
5.helment 2 za 30k na kasha la simu kama la 15k.
6.smart phone kama ya laki2 tu.
7.kumuunga bolt na uber bure.

Udereve kumfundisha ntamfunza mm, najitolea na alama zote za barabarani, pamoja na usimamizi na kucheki anaendeleaje ntakusaidia.
Hapa ataweza kulaza 20k kiwango cha chini per day.yaani hapa yeye anakuwa kishakula milo mi3 na kuwalipa bolt na uber ndio inabaki 20k ,na kiwango kinaweza kupanda, maana huyu wangu siku zingine analaza 25k au 30k, ambapo kwa mwezi ni mingi..kwa maelezo zaidi njoo pm
 
mtafitie location mwagizie mzigo yizid zanzibar nae ajiongeze awe anakusanya
 
Bado Nina siku za kutosha, acha nifikirie namna Bora zaidi, siku zikiisha na sijapata namna basi Sina budi kufanya hivyo ulivyoeleza
 
sikia fanya ivi

mpe dogo mindset za kibiashara
mbadili saikolojia yake na mwonekano
mtest na biashara za apa na pale
pia mhoji anataka nini ili afanikiwe na wenzie

ktk kpnga nyimba hakikisha inawepo karib na maeneo wenzake wanapoish

washirikiane ili wasimtegemee kaka yao

biashar zipo nyingi bana kwa wale

ktk mambo yako sasa

hiv mzee akikuliza mke wamjib nini
na akipewa taarifa na mama inakwaje so inabid weka waz kila2 ili maj yasizid sembe
 
Kila jambo linawezekana,unaweza kuanzia hapa;
1.Elimu
Mtafute dogo umpe psychology mpya utayofuta mindset ya kuombaomba, ajue maisha utayapata hata kwa kujituma mwenyewe.

Mpeleke sehemu wa wajuzi wa biashara utakayofikiria akale mafunzo staiki.
2.kuhusu mapenzi sijui chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…