Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 944
- 1,138
Yaani amebaki Kama gofuDuh, kwahiyo Demu akawa hayupo katika ubora wake tena sio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani amebaki Kama gofuDuh, kwahiyo Demu akawa hayupo katika ubora wake tena sio
Kujipima nkama najua business nianze na chupi"HUWEZI FANYA MAKUBWA KAMA MADOGO YANAKUSHINDA.MZEE KAKUPA HUO MTIHANI KUKUPIMA.MAANA UMESEMA HUJAWAHI UZA HATA CHUPI
ATARISK PESA YAKE.
HAPA MZEE ANAKUPA EXPERIENCE ULIMWENGU WA BIASHARA.ANAKUPIMA UWEZO WAKO.
HUWEZI BUNI WAZO LA BIASHARA HAT LA MIL MOJA UNATAKA UWE MFANYABIASHARA MKUBWA WA MIL 50?
UKIFELI HILI SAHAU KUFANYA BIASHARA.UNAPiMWA KWA KIDOGO.
Haha..!Si hizo ngeli, plus swagga zake n ushua 😅😅😅
Tuachie sis we endelea na mambo ykoStory ilinoga mwanzo saizi anaandika mambo ya kipuuzi tu. Thread unsubscribed!!
watu wanakela sana aseeeeeHuwa nasema kila siku ya kwamba,baadhi ya watanzania wana matatizo ya utindio wa ubongo lakini sieleweki,yaani mtu kavurugwa na maisha huko anataka hasira zake aje azimalizie kwenye nyuzi za watu hapa Jamii forum,Kwanini hambadiliki?
Kila stori zinapoletwa hapa Jamii forum ziwe za maisha ya kweli au zile za kutunga basi lazima hao watanzania baadhi niliowataja hapo juu wataanza vituko,iwe kupinga,iwe kukatisha tamaa,iwe kukejeli,iwe matusi n.k,huu ni utindio wa ubongo kwasababu hakuna mtu aliye na akili timamu akawa kila uzi ni kupingapinga tu na kukejeli bila sababu za msingi.
Hebu badilikeni,acheni haya mambo ya kipumbavu.
Kama unaona ni chai na wewe nenda kachemshe yako ukanywe na familia yako!.
Kama unaona stori inawekwa mambo mengine yasiyokuwa na ulazima nenda kaanzishe ya kwako na ukaweke mambo ya msingi ili wanaopenda mambo ya msingi waje wasome.
Mleta mada kaamua kuweka kila kitu ili kupunguza maswali ya baadhi ya watu ambao huwa wanapenda maswali yasiyokuwa ya msingi,lakini bado pamoja na hilo kuna wajinga hawataki!.
Bado mtu anatumia muda wake mwingi kuandika stori yake akiwa na maana watu wajifunze lakini baadhi ya wapumbavu wanakejeli na kukatisha tamaa!
HIVI NYIE WAPUMBAVU MTABADILIKA LINI?,MBONA MENGI YENU NI MAJITU MAZIMA LAKINI AKILI MNAZIDIWA NA KUKU?
HAMTAKI KUSOMA PITENI KUSHOTO LAKINI SIYO KUMPANGIA MWANDISHI NINI AANDIKE NA NINI AKIACHE!.
BADILIKENI WAPUMBAVU NYIE!
#USIPOBADILIKATUTAKUBADILISHA
sawa dada mambo ndo kama hayo😅😅Haha..!
Cha kusikitisha ni kuwa sina hata kimojawapo, daamn.!
AccountFixed?
Nyota njema, hapo ni HEKIMA tu pamoja na mikazoHope wote mko sawa
Ndugu zangu Jana nilienda kuwachukua wale madogo kule, niliongea na sister angu kwake anachumba Cha nje, hicho chumba ni kama vile Cha kufikia wageni, Sasa nilimuelezea situation nzima Nikamuomba akae na hawa madogo kwa kipindi hiki huku nikiendelea kuwatafutia nyumba, Mungu mkubwa sister akakubali, so Jana ndio niliwaleta huku
Sasa Leo nilikuja kuwachukua Hawa madogo niwapeleke hospital sana sana huyu wa kike....nilichokutana nacho huku hospitalini Sasa ndio kimenichosha
Yani mtu wa maabara anaongea na simu huku Kuna wagonjwa wanasubiri huduma, Kwenye Madawa ndio funga mwaka, nae alikuwa ni mdada, alichokifanya huyu mdada eti kaenda kulala kwenye meza ya mwenzake anaye wahudumia wamama wenye watoto, Sasa tumekaa karibia nusu saa Ile kuchungulia chungulia si ndio akaonekana huko amelala!!!
Hospital yenyewe inaitwa Makangarawe ipo huku Yombo, asee kama kuna wahusika mpo humu pitieni haya maeneo na kwingineko raia wanapata shida
All in All Madogo wanaendelea vizuri, ila Caryn anasumbua jamani, ananipeleka mbio sana, lakini si kwa ubaya coz bila yeye nisingewachukua Hawa madogo na kuwapeleka kwa Sister
Kitabu bei gan?Mkuu bm X kama unahitaji kujua ni Aina gani ya biashara ya kumfungulia huyo dogo nitafute nikupe kitabu kinaitwa BUNI WAZO LA BIASHARA kimetayarishwa na ILO shirika la kazi duniani. Kama unapata shida ya kujua ni biashara gani itakuwa suitable kwa huyo dogo. Hiki kitabu kina formula zote hata wewe mwenyewe kitakusaidia hata kwa biashara yenye mtaji wa 100 M. PM namba yako nikupigie naishi Makumbusho kazi zangu nafanyia Gerezani Kariakoo na Posta.
Hivyo vilikuwa vinauzwa sh 10,000 lakini sasa hauwezi kukipata labda uende Ofisi za Shirika la Kazi duniani ILO na hapa Dar Ofisi naona kama hazifunguliwi siku nadhani mpaka Dodoma. Nitafute PM nikupe ukatoe photocopiesKitabu bei gan?
Bado Nina siku za kutosha, acha nifikirie namna Bora zaidi, siku zikiisha na sijapata namna basi Sina budi kufanya hivyo ulivyoelezaAcha maisha ya uongo uongo coz inaonekana huwezi kuyamudu.
Mwambie mama ukweli, usikute huyo acc. ana mtu wake basi tu anapenda vile anakuhandle na ww unajaa kweli.
Kuhusu mzee, we mtafute dogo ukae nae umuulize mawili matatu na yeye anawaza nini? Maana kumoa mtaji mkubwa na dogo hajawah kushika pesa ndefu ni kumchanganya tu dogo.