Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

[emoji23][emoji23]
 
Ilitakiwa utoe chakula cha huyo jamaa tu(mzee), sasa wewe ukapuyanga kuongezea na cha kununua kwa Mama lishe hilo ndio kosa mkuu.

Na alitaka kuwaibia nyota zenu na inavyoonekana unayo nyota kali ya kazi na biashara.
 
Mkuu mrejesho tena!


Hii Dunia Ina mambo kama wasemavyo watu pori. Hapa tena hakuna mrejesho mzigo ushakuwa wa Dunia, we close chapter & go back to sleep. Tukutane asbh tuone kama chupa litaamka na chai au uji [emoji1787]
Hahahahaaa sawa mkuu
 
Nafikiri kosa kubwa hajauliza kuwa familia ya nje ataihudumia wapi
 
Naona walimwengu wameamua kuweka conclusion zao mapema hata kabla simulizi haijakamilika.

Wabongo wape kichwa cha habari tu, utapata essay za kutosha!
Tumeamua kuilia denge story yake ili kama ataamua kuja na part two asituchoshe kwa ngonjera nyingi, aende tu kwenye conclusion.

vinginevyo itabidi arudi mezani ku edit story nzima.
 
Naomba namba ya mzee tafafhali 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…