Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Leo tarehe 12 October bado hatujapata muendelezo wa huu mkasa shida nini mtoa mkasa
 
Leo tarehe 12 October bado hatujapata muendelezo wa huu mkasa shida nini mtoa mkasa
Mwamba katuacha mataa ya Ubungo, hatujui tuelekee Posta[emoji3591]Mwenge[emoji3591]Mbezi au Buguruni kabisa story hii ilipoanzia
 
I'm Back wakuu, sijaingia Jf karibia Mwezi Sasa, Pilika Pilika zimekuwa ni nyingi kwasasa Majukumu yameongezea, God is Good Bado tunapumua

Muendelezo wa hii story naanza kuiandika Usiku huu, japokuwa Safari hii naona nikipata ugumu katika kuiandika ila kabla huu mwezi haujakatika kitu kitakuwa mezani
 
We are waiting take your time
 
Sawa ndugu. Wengine walihisi umeingia mitini. Welcome back!
 
Mzee yuko smart sana upstairs so is Caryn. Now I'm definetly seeing a big picture kwanini hatma ya maisha yako yapo juu ya kijana wa buguruni.
 
Nahisi unaeza rudi hapa tena feb2023,na hivi caryn ashakuonjesha mbususu ndio bas tena😂,...........
Karibu tena jamvini mkuu BM X6
 
Tunasubiri
 
[emoji23][emoji23] ila kweli, halafu siku zinavyozidi kwenda ndio story inazidi kuwa ndefu
Ni kuendelea tu na maombi mkuu,ili jamaa arejee ktk hali yake ya kawaida 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…