Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Kwa kweli this story is amazing niliisubir sana bt inasimuliwa mno taratibu Bm
 
Umezingua, unaachaje kazi kisa ushauri wa mwanamke?

Tena ni mwanamke anayekushauri ili ukabiliane na mwanamke mwenzie. Aisee!!

Mm huwa naheshimu Sana ushauri wa mwanaume Mwenzangu, Mwanamke ni mwanamke Tu Wana vitabia Flani ivi vya kuoneana wivu.
 
Dah! Mwamba kafungisha, kajifunga tena goli la mkono na refa kapeta
 
Back
Top Bottom