Dah! Mwamba kafungisha, kajifunga tena goli la mkono na refa kapetaUmezingua, unaachaje kazi kisa ushauri wa mwanamke?
Tena ni mwanamke anayekushauri ili ukabiliane na mwanamke mwenzie. Aisee!!
Mm huwa naheshimu Sana ushauri wa mwanaume Mwenzangu, Mwanamke ni mwanamke Tu Wana vitabia Flani ivi vya kuoneana wivu.