BM X6 chukua hii
Weka kwenye main postWakuu Siku kadhaa zilizopita niliwaeleza kama Kuna majanga niliyapata japo sio kubwa kivile, kifupi nilipasua Taa ya Gari ya Caryn, Taa ya mbele na nikalikwangua rangi, (Gari yake kabisa sio Jeep ya Mzee) Taa yenyewe sasa bei yake, Taa nimeambiwa inauzwa milioni na laki kadhaa huko na Caryn alivyoona Gari yake aliniambia tu anataka niirudishe kama nilivyoichukua
Nilichokifanya sasa, nikaipeleka Garage kwanza kunyooshwa na kupakwa rangi ikanikula laki 3 na nusu sasa kwenye Taa (Headlight) badala ya kununua mpya kama mwenyewe alivyotaka mimi nikaipeleka kwa jamaa Kariakoo kunibadilishia lens kitu kikakaa sawa
Ili mtu asione utofauti kwenye Taa zote mbili nilichokifanya nikaziwekea Stickers za rangi ya blue maana lens iliyowekwa ilikuwa inag'ara sana, nilivyoirudisha chombo kwa mwenyewe si akajua ni Taa mpya, nilikuja kuumbuka mvua iliponyesha, Taa si ikaingiza Maji aisee! yule aliyeniwekea lens sijui aliniwekea vibaya au ndivyo inavyokuwa kwamba ukibadilisha lens hakuna ujanja Maji lazima yaingie?
Caryn alivyokuja kugundua uhuni nilioufanya dah nyie acheni tu....
All in All swala nimeshaliweka sawa japo ulikuwa ni mtiti, kesho tutaendelea tulipoishia wajameni View attachment 2431972
Sawa, na kwenye hayo maelezo yaliyoandikwa nyongeza niyapaste kama yalivyo?Weka kwenye main post
Season 1 Epsiode 1
Season 1 Epsiode 2
Season 1 Epsiode 3
Season 1 Epsiode 4
Season 1 Epsiode 5
Season 1 Epsiode 6
Season 2 Epsiode 1
Season 2 Epsiode 2
Season 2 Epsiode 3
Season 2 Episode 4
nyongeza
nyongeza
nyongeza
nyongeza
nyongeza
nyongeza
nyongeza
nyongeza
nyongeza
nyongeza
nyongeza
nyongeza
Hebu minya hizo nyongeza uzisome,,, Mimi nimeona tu niziite nyongeza ila pengine kuna neno mbadala zuri zaidi, nilitaka kuziita updates, nikafikiri niziite extras, nikafikiri niziite ya ziada, n.k, nilikuwa nimechoka nikaamua tu kuziita nyongeza ila naona huenda kuna neno zuri mbadala,,, wewe ungependa kuziandiakaje ??Sawa, na kwenye hayo maelezo yaliyoandikwa nyongeza niyapaste kama yalivyo?
Duuh pole mzee baba. Huyo Caryn inaoknekana ni kisanga kingineWakuu Siku kadhaa zilizopita niliwaeleza kama Kuna majanga niliyapata japo sio kubwa kivile, kifupi nilipasua Taa ya Gari ya Caryn, Taa ya mbele na nikalikwangua rangi, (Gari yake kabisa sio Jeep ya Mzee) Taa yenyewe sasa bei yake, Taa nimeambiwa inauzwa milioni na laki kadhaa huko na Caryn alivyoona Gari yake aliniambia tu anataka niirudishe kama nilivyoichukua
Nilichokifanya sasa, nikaipeleka Garage kwanza kunyooshwa na kupakwa rangi ikanikula laki 3 na nusu sasa kwenye Taa (Headlight) badala ya kununua mpya kama mwenyewe alivyotaka mimi nikaipeleka kwa jamaa Kariakoo kunibadilishia lens kitu kikakaa sawa
Ili mtu asione utofauti kwenye Taa zote mbili nilichokifanya nikaziwekea Stickers za rangi ya blue maana lens iliyowekwa ilikuwa inag'ara sana, nilivyoirudisha chombo kwa mwenyewe si akajua ni Taa mpya, nilikuja kuumbuka mvua iliponyesha, Taa si ikaingiza Maji aisee! yule aliyeniwekea lens sijui aliniwekea vibaya au ndivyo inavyokuwa kwamba ukibadilisha lens hakuna ujanja Maji lazima yaingie?
Caryn alivyokuja kugundua uhuni nilioufanya dah nyie acheni tu....
All in All swala nimeshaliweka sawa japo ulikuwa ni mtiti, kesho tutaendelea tulipoishia wajameni View attachment 2431972
Ooh Sasa nimeelewa, nilikuwa sijapress haya maandishi yaliyoandikwa nyongeza, Mimi nilidhani umeandika hivyo kwaajili ya Episodes zijazo, acha niicopyHebu minya hizo nyongeza uzisome,,, Mimi nimeona tu nizite nyongeza ila pengine kuna neno mbadala zuri zaidi, nilitaka kuziita updates ila haikukaa sawa, sikuumiza sana kichwa nikaziita nyongeza,,, wewe ungependa kuziandiakaje ??
hii itapendezaOoh Sasa nimeelewa, nilikuwa sijapress haya maandishi yaliyoandikwa nyongeza, Mimi nilidhani umeandika hivyo kwaajili ya Episodes zijazo, acha niicopy
Hii taa lens niliweka kwa laki mbili na sitini (260,000/=)
Ikaingiza Maji kama hivyo inavyoonekana, Mwenye Gari akawaka kwasababu nilimdanganya nimenunua Taa mpya.
Eti huo mvuke unaouona mtu aligoma kuendesha gari hadi iwekwe Taa mpya, badae huo mvuke ulikauka Taa ikawa inaonekana vizuri tu kama haikuingiza Maji lakini Bado aligoma
Ikanitoka Milioni moja na laki nne (1,400,000/=) nikanunua Taa mpya bila kupenda
Turudi Darasani
Panel Beating = 350,000
Lens = 260,000
Headlight mpya = 1,400,000
Total = 2,010,000/= (Milioni mbili na elfu kumi)
Sidhani kama nitaligusa lile gari tena, labda la Michelle
View attachment 2431980
Acha tu kichwa Cha moto mkuu, To be honest Salary haizidi laki 7 lakini ganji nilizokuwanapiga kwa wiki si chini ya milioni moja lakini Sasa hivi Caryn amebana kote, ameziba mifereji yote ya pesa (utakuja kunielewa vizuri kwenye muendelezo wa story)subiria tu salary nadhani ita cover,,
Monthly earnings zinacheza takribani sh ngap ?? (Salary + posho + kaduka kama unako )
Nakumbuka hapo nyuma Caryn alisema kazi unayofanya inakulipa vizuri na akawa anashangaa kwanini hujajenga, maan yeye anataka kujenga ila biashara zake ambazo si haba bado hazijachanganya kwa ubongo wake wa ki caryn carynAcha tu kichwa Cha moto mkuu, To be honest Salary haizidi laki 7 lakini ganji nilizokuwanapiga kwa wiki si chini ya milioni moja lakini Sasa hivi Caryn amebana kote, ameziba mifereji yote ya pesa (utakuja kunielewa vizuri kwenye muendelezo wa story)
Amna, alikuwa hapigii hesabu ya mshahara kabsa, alikuwa anazungumzia Pesa ninazopata kwenye trips za Zanzibar, kwa week huwa naenda mara moja lakini nikifikisha mzigo Dar nikishacheza vizuri na TRA na mambo yote ya bandalini pamoja na Airport huwa mfukoni nabaki na 1.2 au 1 kamili Yani hapo ni minimum lakini mzigo ukiwa wakueleweka huwa nakunja Hadi Mita 2, Sasa zidisha mara 4Nakumbuka hapo nyuma Caryn alisema kazi unayofanya inakulipa vizuri na akawa anashangaa kwanini hujajenga, maan yeye anataka kujenga ila biashara zake ambazo si haba bado hazijachanganya kwa ubongo wake wa ki caryn caryn
So alikuwa anazungumzia kipato cha huo mshahara wa laki 7, hizo ganji za kila wiki nje ya kazi au ?
Kaa chonjo, siku maza huyo mwenye kampuni au mtoto wake huyo ulielazimishwa kumoa akijua utazitapika zote hata kama umeshaondoka kwenye kampuni 😂Amna, alikuwa hapigii hesabu ya mshahara kabsa, alikuwa anazungumzia Pesa ninazopata kwenye trips za Zanzibar, kwa week huwa naenda mara moja lakini nikifikisha mzigo Dar nikishacheza vizuri na TRA na mambo yote ya bandalini pamoja na Airport huwa mfukoni nabaki na 1.2 au 1 kamili Yani hapo ni minimum lakini mzigo ukiwa wakueleweka huwa nakunja Hadi Mita 2, Sasa zidisha mara 4