Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Usiwe na haraka mkuu take your time
 
Bm isiwe too much
Nitajitahidi kutokukawia sana lakini nikishusha [emoji3468] kitakuwa ni kitu kweli, unajua shida sio kuandika tu, tatizo ni kumbukumbu pia

Siku nikiwa free na nikadhamiria kuandika naweza kuandika ndani ya nusu saa tu, lakini huwa inanichukua muda kupost kwasababu kuna matukio mengine huwa siyakumbuki Kwa haraka, so nikikumbuka kabla sijapost huwa nayaweka lakini nikishapost ndio imetoka hivyo
 
Sipo kwa Mzee bhana, Caryn ndio ameenda leo, mm nadhani kesho mapema tu ndio nitaelekea huko kwa Mzee (lakini sio Mbezi Beach)

Ni nani kwani alikuambia kuwa kwa Mzee ni Mbezi Beach?
Wataalam wa kufungua code hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…