Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwisho wa mwaka huu lazima saiv utakua umealikwa mbezi beach kwa mzeeAhahah kwanini unauliza mkuu
Sipo kwa Mzee bhana, Caryn ndio ameenda leo, mm nadhani kesho mapema tu ndio nitaelekea huko kwa Mzee (lakini sio Mbezi Beach)mwisho wa mwaka huu lazima saiv utakua umealikwa mbezi beach kwa mzee
Usiwe na haraka mkuu take your timeLaiti kama Members wote wangekuwa kama wewe hii story ingekuwa nzuri sana zaidi ya hapa watu wanavyoiona kwasababu nikiandika huwa nakimbizana na muda ili nisiwacheleweshe sana so kuna matukio mengine nayasahau.
Ila kama ningekuwa napost at least kila baada ya wiki mbili ningekuwa napata muda mzuri wa kukumbuka matukio na kukumbuka maongezi jinsi yalivyokuwa
Kama Episode iliyopita kile kipande nipo na Mzee Ile Conversation ilitakiwa iwe ndefu na maongezi yalikuwa muhimu sana lakini Nimekuja kukumbuka baadhi ya sehemu nikiwa tayari nishapost
basi nipitie kesho tangi bovu hapaSipo kwa Mzee bhana, Caryn ndio ameenda leo, mm nadhani kesho mapema tu ndio nitaelekea huko kwa Mzee (lakini sio Mbezi Beach)
Ni nani kwani alikuambia kuwa kwa Mzee ni Mbezi Beach?
Nitajitahidi kutokukawia sana lakini nikishusha [emoji3468] kitakuwa ni kitu kweli, unajua shida sio kuandika tu, tatizo ni kumbukumbu piaBm isiwe too much
Wataalam wa kufungua code haoSipo kwa Mzee bhana, Caryn ndio ameenda leo, mm nadhani kesho mapema tu ndio nitaelekea huko kwa Mzee (lakini sio Mbezi Beach)
Ni nani kwani alikuambia kuwa kwa Mzee ni Mbezi Beach?
Hahaaaa yaani kuna kitu nimewaza apaWataalam wa kufungua code hao
Kitu gani? Ebu tusanueHahaaaa yaani kuna kitu nimewaza apa
Umughaka ni Mwamba Real sanamwamba anayumba sana yani kajua kututesa atlist angekuwa kama Umughaka sio hivi ani paragraph moja unaiandika wiki tatu?