Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Laiti kama Members wote wangekuwa kama wewe hii story ingekuwa nzuri sana zaidi ya hapa watu wanavyoiona kwasababu nikiandika huwa nakimbizana na muda ili nisiwacheleweshe sana so kuna matukio mengine nayasahau.

Ila kama ningekuwa napost at least kila baada ya wiki mbili ningekuwa napata muda mzuri wa kukumbuka matukio na kukumbuka maongezi jinsi yalivyokuwa

Kama Episode iliyopita kile kipande nipo na Mzee Ile Conversation ilitakiwa iwe ndefu na maongezi yalikuwa muhimu sana lakini Nimekuja kukumbuka baadhi ya sehemu nikiwa tayari nishapost
Usiwe na haraka mkuu take your time
 
Bm isiwe too much
Nitajitahidi kutokukawia sana lakini nikishusha [emoji3468] kitakuwa ni kitu kweli, unajua shida sio kuandika tu, tatizo ni kumbukumbu pia

Siku nikiwa free na nikadhamiria kuandika naweza kuandika ndani ya nusu saa tu, lakini huwa inanichukua muda kupost kwasababu kuna matukio mengine huwa siyakumbuki Kwa haraka, so nikikumbuka kabla sijapost huwa nayaweka lakini nikishapost ndio imetoka hivyo
 
Sipo kwa Mzee bhana, Caryn ndio ameenda leo, mm nadhani kesho mapema tu ndio nitaelekea huko kwa Mzee (lakini sio Mbezi Beach)

Ni nani kwani alikuambia kuwa kwa Mzee ni Mbezi Beach?
Wataalam wa kufungua code hao
 
Back
Top Bottom