Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Story ya Khumbu ya Konda msafi.....How I met my wife.....Ally mpemba by Umughaka....Peniela....vipepeo weusi..... Story ya Hamida na hii ya BM.....ni story tamu zaidi nimewahi kuzisoma hapa JF.

Hii alosto kali sana mkuu BM X6
Kesho naanza vipepeo weus kila nikisema niisome majukumu yananifokea ila kesho nipo nayo
 
mkuu maswali yako yanafikirisha nje ya box,
 
Story ya Khumbu ya Konda msafi.....How I met my wife.....Ally mpemba by Umughaka....Peniela....vipepeo weusi..... Story ya Hamida na hii ya BM.....ni story tamu zaidi nimewahi kuzisoma hapa JF.

Hii alosto kali sana mkuu BM X6
Naomba link hiyo story ya Hamida
 
Kwa mawazo yangu, Hiyo issue ya mapenzi mzee hajaambiwa na Caren, mzee kawawekea spy kila sehem! Alivyosikia tu mnaenda wote Zanzibar akaweka mapandikizi.
 
Story ya Khumbu ya Konda msafi.....How I met my wife.....Ally mpemba by Umughaka....Peniela....vipepeo weusi..... Story ya Hamida na hii ya BM.....ni story tamu zaidi nimewahi kuzisoma hapa JF.

Hii alosto kali sana mkuu BM X6
Ipi ni Kali zaidi kati ya hizo mkuu ili tuanze nayo
 
Ipi ni Kali zaidi kati ya hizo mkuu ili tuanze nayo
1. How I met my wife
2. Story ya Khumbu
3. Penzi la Amida.
4. Peniela
5. Vipepeo weusi.

NB:
1. Namba 4 na 5 ni story za kutunga. 1,2 na 3 ni true stories

2. Huu ni mpangilio tu ambao nimeutoa lakini hizi stories ni hatari sana. Yaani kama umchukue MESSI kwenye Ubora wake na RONALDO kwenye ubora wake....Hapo nani zaidi ni Debate ambayo haina mwisho...Anza tu na mpangilioa niliokupa afu ukimaliza kusoma wewe ndiyo utajua ipi ndiyo kali zaidi kuliko zote maana nimeshindwa kuzi-rank

Kitu pekee nachukuhakikishia....HAUTAJUTIA time yako kama wewe ni Mtu wa kupenda stories!!!
 
Nimekupata mkuu

Je tukisema tuziweke katika mpangilio kati ya hizi true stories yani hiyo How I met my wife na Story ya Khumbu & Penzi la Amida pamoja na hii ya BM, unadhani ipi itaanza na ipi itamaliza

NB: in particular order
 
Kwangu mimi, with all due respect ningepanga/nazipanga hivi:

1. How I met my wife by Kigakoyo
2. Story ya Khumbu by Konda msafi
3. Penzi la Amida
4. Story ya BM

Huu ndio mpangilio wangu kwa ubora.

Ila ile Peniela kama ingekuwa ni true story....Ingekaa hapo namba moja....Story moja ina ujasusi wa kutisha.
 
Naomba link hiyo story ya Hamida

James Jason
 
Yaani nilivosoma hizi process nikajikuta nimekua tra
 
Khumbu sio alikua mwandende?
 
Kwa muda mfupi kichwa kiliwaza mambo mengi sana hicho ni kichwa Cha juu sasa, kichwa Cha chini nacho kilikuwa kimeshapata Notification kwamba muda wowote kuanzia sasa kunaweza kukanuka so be Attention
🤣🤣🤣🤣
 
Nimekupata mkuu

Je tukisema tuziweke katika mpangilio kati ya hizi true stories yani hiyo How I met my wife na Story ya Khumbu & Penzi la Amida pamoja na hii ya BM, unadhani ipi itaanza na ipi itamaliza

NB: in particular order
Kwa vile sijaisoma how I met my wife naweza nikaweka khumbu first afu second ikakaa hii
 
Mkuu naomba link ya how I met my wife
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…