Nakuona ukikesha Leo. Maana sio poa😍Huku sijapita kabisa mkuu naonaga tu kule mkitaja mwarabu, kijana wa Buguruni mwarabu kijana wa Buguruni ngoja nianze nukta after nukta!
Asante sana
Hamna sikeshi naperuzi kidogo tu nalala sasahivi!Nakuona ukikesha Leo. Maana sio poa😍
SawaaaaHamna sikeshi naperuzi kidogo tu nalala sasahivi!
Ntaendelea keshoo!!
kuna story huko inaitwa niliemdhania kahaba kumbe kibra ni bonge moja la story..1. How I met my wife
2. Story ya Khumbu
3. Penzi la Amida.
4. Peniela
5. Vipepeo weusi.
NB:
1. Namba 4 na 5 ni story za kutunga. 1,2 na 3 ni true stories
2. Huu ni mpangilio tu ambao nimeutoa lakini hizi stories ni hatari sana. Yaani kama umchukue MESSI kwenye Ubora wake na RONALDO kwenye ubora wake....Hapo nani zaidi ni Debate ambayo haina mwisho...Anza tu na mpangilioa niliokupa afu ukimaliza kusoma wewe ndiyo utajua ipi ndiyo kali zaidi kuliko zote maana nimeshindwa kuzi-rank
Kitu pekee nachukuhakikishia....HAUTAJUTIA time yako kama wewe ni Mtu wa kupenda stories!!!
How I met my wife nimeisoma usiku huu na nimeimaliza ina unyama mwingiKwa vile sijaisoma how I met my wife naweza nikaweka khumbu first afu second ikakaa hii
Natoka kuimaliza hapa naunga mkono hojaHow I met my wife nimeisoma usiku huu na nimeimaliza ina unyama mwingi
Kila muda nilikua nadindeer dah[emoji3]Natoka kuimaliza hapa naunga mkono hoja
[emoji16][emoji38][emoji16]sema KigaKoyo ni bonge la writerKila muda nilikua nadindeer dah[emoji3]
Ipi ni Kali zaidi kati ya hizo mkuu ili tuanze nayo
Hivi vipepeo weusi iliisha? Nilisoma ikaishia Kati hivi1. How I met my wife
2. Story ya Khumbu
3. Penzi la Amida.
4. Peniela
5. Vipepeo weusi.
NB:
1. Namba 4 na 5 ni story za kutunga. 1,2 na 3 ni true stories
2. Huu ni mpangilio tu ambao nimeutoa lakini hizi stories ni hatari sana. Yaani kama umchukue MESSI kwenye Ubora wake na RONALDO kwenye ubora wake....Hapo nani zaidi ni Debate ambayo haina mwisho...Anza tu na mpangilioa niliokupa afu ukimaliza kusoma wewe ndiyo utajua ipi ndiyo kali zaidi kuliko zote maana nimeshindwa kuzi-rank
Kitu pekee nachukuhakikishia....HAUTAJUTIA time yako kama wewe ni Mtu wa kupenda stories!!!
Hatari mzee mikeka mirefu lakini haichoshi[emoji28][emoji28][emoji16][emoji38][emoji16]sema KigaKoyo ni bonge la writer
Hii vipepeo weusi ni soo sikuaimaliza though1. How I met my wife
2. Story ya Khumbu
3. Penzi la Amida.
4. Peniela
5. Vipepeo weusi.
NB:
1. Namba 4 na 5 ni story za kutunga. 1,2 na 3 ni true stories
2. Huu ni mpangilio tu ambao nimeutoa lakini hizi stories ni hatari sana. Yaani kama umchukue MESSI kwenye Ubora wake na RONALDO kwenye ubora wake....Hapo nani zaidi ni Debate ambayo haina mwisho...Anza tu na mpangilioa niliokupa afu ukimaliza kusoma wewe ndiyo utajua ipi ndiyo kali zaidi kuliko zote maana nimeshindwa kuzi-rank
Kitu pekee nachukuhakikishia....HAUTAJUTIA time yako kama wewe ni Mtu wa kupenda stories!!!
Ndugu naombeni link ya hizo story hasa Ile ya KUMBU niliisoma sikuimaliza. Msaada.......Story ya Khumbu ya Konda msafi.....How I met my wife.....Ally mpemba by Umughaka....Peniela....vipepeo weusi..... Story ya Hamida na hii ya BM.....ni story tamu zaidi nimewahi kuzisoma hapa JF.
Hii alosto kali sana mkuu BM X6
Ndugu naombeni link ya hizo story hasa Ile ya KUMBU niliisoma sikuimaliza. Msaada.......
Mkuu weka kipande hata kifupi tuu leo plzHiyo Comment sikuiona, kumbe jamaa alitabiri na mambo yakatokea kama alivyosema[emoji1544]