Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

We BM huna shukran,ungemuoa huyo accountant ,maana ndo Mungu kamtumia akutoe mavumbin,..huyo Annie cjui Carren wangekujulia wap ,km siyo huyo accountant kukuita kazin,ukaanza kushika pesa ukamuona hafai.looh kuwa na fadhila kijana
kuoa usiyempenda ni adhabu
 
We BM huna shukran,ungemuoa huyo accountant ,maana ndo Mungu kamtumia akutoe mavumbin,..huyo Annie cjui Carren wangekujulia wap ,km siyo huyo accountant kukuita kazin,ukaanza kushika pesa ukamuona hafai.looh kuwa na fadhila kijana
Story hujaielewa mchumba anaetakiwa asimsaliti ni Annie km hujui soma vzr walipotoka
 
Sana mwanangu. Ngoja tutulie,tutaiweka sawa hii kwenye movie. Weka akilini hili BM. Natamani iwe movie hatari. Ikiwezekana tutaongea vingi iwe na series kabisa,mfano ni kuurefusha tu sehemu kama za kuwasaka machaliii. Izoe matuzo kibao huko nje ya mipaka.
Watu wasihofu hapa unaweza ukaimalizia tu ukipenda,sisi movie tutaibadirisha maudhui kiaina.
Na kama hili litakaa sawa wahusika wengi watatoka humu humu. Tukijipanga tutakuwa tunachomoa mmoja mmoja humu kuhusika.
Kidogo upande wa akina Caryn tutahitaji wajitokeze wenye chura ya ukweli na awe kichwa kweli (joking....🤣🤣🤣😜😜...! Upande wa Anie tutamtumia Anie huyu huyu wetu..
Hapo kwenye characterization ya caryn umekosea mkuu; wanawake wenye Chura kubwa wao na akili ya maisha ni vitu viwili tofauti. Yaani yule caryn ni flat screen flan hivi, ila ana sura moja amising!

Hiyo character ya chura ni Account, sana saaana tena kwa kulazimisha labda Michelle.
 
Back
Top Bottom