Bonsipele69
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 364
- 915
stori ya kusisimua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuoa usiyempenda ni adhabuWe BM huna shukran,ungemuoa huyo accountant ,maana ndo Mungu kamtumia akutoe mavumbin,..huyo Annie cjui Carren wangekujulia wap ,km siyo huyo accountant kukuita kazin,ukaanza kushika pesa ukamuona hafai.looh kuwa na fadhila kijana
Story hujaielewa mchumba anaetakiwa asimsaliti ni Annie km hujui soma vzr walipotokaWe BM huna shukran,ungemuoa huyo accountant ,maana ndo Mungu kamtumia akutoe mavumbin,..huyo Annie cjui Carren wangekujulia wap ,km siyo huyo accountant kukuita kazin,ukaanza kushika pesa ukamuona hafai.looh kuwa na fadhila kijana
Hapo kwenye characterization ya caryn umekosea mkuu; wanawake wenye Chura kubwa wao na akili ya maisha ni vitu viwili tofauti. Yaani yule caryn ni flat screen flan hivi, ila ana sura moja amising!Sana mwanangu. Ngoja tutulie,tutaiweka sawa hii kwenye movie. Weka akilini hili BM. Natamani iwe movie hatari. Ikiwezekana tutaongea vingi iwe na series kabisa,mfano ni kuurefusha tu sehemu kama za kuwasaka machaliii. Izoe matuzo kibao huko nje ya mipaka.
Watu wasihofu hapa unaweza ukaimalizia tu ukipenda,sisi movie tutaibadirisha maudhui kiaina.
Na kama hili litakaa sawa wahusika wengi watatoka humu humu. Tukijipanga tutakuwa tunachomoa mmoja mmoja humu kuhusika.
Kidogo upande wa akina Caryn tutahitaji wajitokeze wenye chura ya ukweli na awe kichwa kweli (joking....🤣🤣🤣😜😜...! Upande wa Anie tutamtumia Anie huyu huyu wetu..
Yupo na carlen geto,anakula tunda kimasihara[emoji1787]BM vp mkuu ulituambaia unatupia ofa ya muendelezo wa story yetu pendwa j2 ndio hiyo tupe maelekezo
Nimecheka acha!Yupo na carlen geto,anakula tunda kimasihara[emoji1787]
Alisema Jumapili ya pasakaBM vp mkuu ulituambaia unatupia ofa ya muendelezo wa story yetu pendwa j2 ndio hiyo tupe maelekezo
Ngoja tuone Jumapili ya mitendeAlisema Jumapili ya pasaka
Bado tuliadiwa jmosi au j2 but still nothing lakini hatuja nuna tunasubiri maelekezo Ya mkuu wetu BXWatu mnachat sana [emoji22] nikajua mwendelezo umeletwa
Sasa ofisi zao clearing zipo maeneo hayo hayo Zanzibar anakwenda tu kupakua mzigoMkuu BM x6 ukiwa unatoka ZANZIBAR pita basi ata hapa samora na ZANAKI ili tupate kupiga story mbili tatu mkuu.
Unicheck dm
Bado naendelea kumsaka Caryn na Bmw x3Sasa ofisi zao clearing zipo maeneo hayo hayo Zanzibar anakwenda tu kupakua mzigo
Ngoja niendelee kukodoa macho tu Kwa demu mwenye bmwx3 maeneo haya haya maana na Mimi ndio nashinda mitaa hii hii.Sasa ofisi zao clearing zipo maeneo hayo hayo Zanzibar anakwenda tu kupakua mzigo